Habari »

23Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mwanamke raia wa Tanzania Basaida Zena Jaffary amehukumiwa miaka 5 jela baada ya kukamatwa akiwa...

23Feb 2018
Ismael Mohamed
Nipashe

Diwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya Namwawala wilaya ya Kilombero Godfrey Luena.

Diwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya Namwawala wilaya ya Kilombero...

23Feb 2018
Na Waandishi Wetu
Nipashe

MABANGO yenye ujumbe mbalimbali wa kuomboleza na kulaani mauaji ya mwanafunzi wa Chuo cha Taifa...

23Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ameachiwa huru kwa dhamana ya Polisi ya thamani ya milioni...

23Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

ZITTO KABWE.

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, ndugu Kabwe Z. Ruyagwa Zitto Zuberi amechukuliwa maelezo...

23Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

gari la mariam mziwanda likiwa limebanwa na lori baada ya ajali hiyo.

Mwandishi wa habari wa Gazeti la Uhuru, Mariam Mziwanda, jana usiku Februari 22,2018 amejeruhiwa...

23Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Rais Dkt. John Magufuli akiwa ameshikana mkono na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta huku wakifurahia jambo, walipokutana nchini Uganda kwenye mkutano wa Wakuu wa EAC. Pembeni ni Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir (mwenye kofia)

RAIS John Magufuli ametoa wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kusimamia...

23Feb 2018
Romana Mallya
Nipashe

Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama wa TPSF, Louis Accaro

TAASISI ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), imewataka wafanyabiashara wazawa kuchangamkia fursa ya...

23Feb 2018
Happy Severine
Nipashe

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Utafiti wa Masuala ya Afya Afrika (Amref)  Tanzania, Dk. Frolence Temu.

WAKATI serikali na wadau wa afya wamekuwa wakisisitiza suala ya afya ya uzazi salama na kampeni...

23Feb 2018
Sanula Athanas
Nipashe

WAKATI Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu (CAG), akibainisha kuwa asilimia 94 ya gesi asilia...

23Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

barcodes YA TANZANIA.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa, ameagiza viwanda vyote nchini kuhakikisha vinatumia alama za...

23Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

BENKI tisa nchini zimewahakikishia wafanyabiashara uwapo wa fedha za kutosha kuwakopesha, ili...

Pages