NDANI YA NIPASHE LEO

Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Biswalo Mganga.

19Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akitoa ombi hilo mwishoni mwa wiki, Wakili John Mallya, anayewatetea washtakiwa wawili Michael Ndele Laizer na Lucas Joseph Mmasi, alidai washtakiwa wamekaa ndani tangu mwaka 2015 muda ambao ni...
19Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Maneno yanayodaiwa kuambatanishwa na picha hiyo yamesomeka "mnahisi mna bahati, ninyi watu msio na thamani" (“Do you feel lucky, greenie punks?”)Chama cha Green kimesema kwamba...
19Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo James Karayemaha amesema anahitaji Machi 5 mwaka huu mtuhumiwa huyo atakapo fikishwa Mahakamani hapo apewe majibu hayo, ili Mahakama iendelee na utatratibu wa...
19Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kuwa mzazi kunaelekea kukusaidia kuwa na umri mkubwa, huku wazazi wakiishi miaka mingi kuliko wale ambao hakubahatika kupata mtoto, watafiti wa Sweden wamegundua. Tofauti ya miaka haikuwa kubwa sana...

Laudit Mavugo.

19Feb 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Mavugo aliyesajiliwa na Simba kutoka klabu ya Vital'O ya kwao, Burundi, licha ya kupata nafasi ya kucheza baadhi ya michezo msimu huu, bado ameshindwa kuonyesha makali yake.Akizungumza na Nipashe...

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium
Lager, Pamela Kikuli.

19Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kauli hiyo inakuja ikiwa ni takriban wiki mbili kabla kufanyika kwa mbio hizo maarufu ndani na nje ya nchi ambazo huwaleta pamoja zaidi ya washiriki 10,000 kutoka nchi zaidi ya 45.Akizungumza jijini...

kocha msaidizi wa YANGA, Shadrack Nsajigwa.

19Feb 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
***Ajibu, Tshishimbi wapewa jukumu la Chirwa wakitaka bao la mapema ili...
...........amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuanika sababu za kutoka na ushindi.Kuelekea mchezo huo utakaopigwa keshokutwa, Jumatano mjini Victoria, Shelisheli, Yanga inayodhaminiwa na...
19Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Simba iliondoka jana majira saa 11 jioni kuelekea Djibouti kwa ajili ya mchezo wao wa marudiano dhidi ya Gendamarie ya nchini humo huku Wekundu wa Msimbazi hao wakiwa na hazina kubwa ya mabao 4-0...
19Feb 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Kiungo Jonas Mkude wa Simba ni mmoja wa wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kusakata kandanda.Kocha msaidizi wa Simba, Masudi Djuma, hivi karibuni alikaririwa  akisema kuwa Mkude ndiye namba sita...
19Feb 2018
Mhariri
Nipashe
Pamoja na wageni wengine, pia atakuwapo Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika (Caf), Hamad Hamad.Ugeni huo ambao utakuwa na wajumbe kutoka mataifa 21, utafanya mkutano wa Fifa utakaofayika...
19Feb 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Lakini pia soka ni kazi kama ilivyo kazi nyingine huku wachezaji wakiwa ndio wafanyakazi na klabu zao ndizo husimama kama kampuni.Kwa miaka hii ya sasa, wanasoka ni miongoni mwa wafanyakazi...

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, PICHA NDOGO NI Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe, Frank Bahati.

19Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Majaliwa alimpa mkurugenzi huyo siku tatu jana wakati akizungumza na madiwani na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe akiwa katika siku ya nne ya ziara yake ya kikazi mkoani Mwanza. ...

Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu (CCM).

19Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kanyasu (48), pia alizungumzia masuala ya kitaifa yanayohusu siasa, elimu na ustawi wa jamii.Katika sehemu ya pili ya mahojiano maalum hayo leo, mtaalamu huyo wa uvuvi, mahesabu, biashara na fedha...
19Feb 2018
Margaret Malisa
Nipashe
Aidha mkuu huyo wa mkoa alisema wanaangalia uwezekano wa kuandika barua kwa Wizara ya Uvuvi na Mifugo, ili Kituo cha Ruvu Darajani cha kupumzikia ng'ombe wanaosafirishwa kutoka mikoani kifungwe...

PICHA HII HAIHUSIANI NA HABARI HII.

19Feb 2018
Friday Simbaya
Nipashe
Tukio hilo limetokea majira ya saa 5:30 asubuhi wakati familia ya Onesmo Cosmas ikiwa ndani ikiendelea na shughuli. Chanzo za moto kinadaiwa kuwa ni mtungi wa gesi kulipuka.Mwandishi wa Nipashe...

Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa Chadema, Bensoni Kigaila.

19Feb 2018
Elizaberth Zaya
Nipashe
Uchaguzi huo ulifanyika juzi na kushuhudiwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikitangazwa mshindi kikifuatwa na chama kikuu hicho cha upinzani bungeni.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
19Feb 2018
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Akwilina alipigwa risasi akiwa ndani ya daladala eneo la Mkwajuni, Kinondoni na polisi waliokuwa wakijaribu kutawanya maandamano ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ijumaa...

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye.

19Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Jengo hilo linatarajiwa kuhudumia abiria milioni 1.5 kwa mwaka.Waziri Nditiye alitoa maelekezo hayo kwa TAA wakati wa ziara yake uwanjani hapo juzi, kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la...
19Feb 2018
Mary Mosha
Nipashe
Erick  Massawe kutoka Kata ya Biriri, Juvenali Mwacha Kata ya Naibili na Rafaeli Mollelwalisema  mara nyingi pembejeo zimekuwa zikichelewa hali ambayo inawakwamisha kulima...

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker.

19Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Meneja wa tawi hilo, Adam Mwaisumo, alisema mwishoni mwa wiki kuwa benki hiyo itaendelea kutoa misaada ya kijamii pale itakapohitajika."Vifaa tiba vilivyotolewa ni pamoja na vitanda vya...

Pages