NDANI YA NIPASHE LEO

04Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Adai ni msaada kwake, Ligi Kuu yamnyima usingizi aweka kando Mapinduzi Cup, Chirwa apelekwa kwa mtaalamu...
Akizungumza na gazeti hili muda mfupi baada ya mazoezi ya timu hiyo visiwani Zanzibar, Lwandamina alisema amekuwa akipata ushirikiano mzuri kutoka kwa Pluijm na kwamba taarifa kuwa kocha huyo wa...
04Jan 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Zahoro alifanikiwa kuifungia timu yake bao moja dhidi ya Mbao FC ukiwa ni mchezo wake wa kwanza tangu ITC yake ilipowasili nchini kutoka klabu ya FC Lupopo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo....

KIUNGO wa Simba, Mohamed Ibrahim 'Mo'.

04Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ibrahim ameibuka kuwa mchezaji muhimu kwenye kikosi cha kocha Joseph Omog huku mabao yake muhimu yakiing'arisha nyota yake. Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu kutoka Zanzibar, Ibrahim...
03Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Novemba mwaka jana, iliripotiwa kuwa sehemu ya miundombinu ya shule hiyo yakiwamo mabweni, ilikarabatiwa kwa fedha za michango ya tetemeko la ardhi ili kupokea baadhi ya wanafunzi kutoka Shule za...
03Jan 2017
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Aidha, Dk. Mwakyembe amefafanua maboresho ya huduma za mahakama ndani ya mwaka mmoja uliopita wa uongozi wa Rais John Magufuli. Dk. Mwakyembe, katika mahojiano maalum na Nipashe wiki iliyopita,...
03Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, Mwigulu alisema juzi alikutana na mama wa Chidi Benz nyumbani kwake, Ilala jijini Dar es Salaam na kusikitika mno juu ya hali ya msanii huyo. “Nimekutana na kufanya...

Ofisa Habari wa TFF, Alfred Lucas.

03Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Ofisa Habari wa TFF, Alfred Lucas, Mayanga anachukua nafasi ya Boniface Mkwasa ambaye mkataba wake unafikia mwisho Machi mwaka huu...

mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu.

03Jan 2017
Nipashe
-Usajili wa Misri wafungwa, Ajibu akikubaliana nao kabla...
Dirisha la usajili la Misri lilifungwa jana na Haras El Hodoud hawakuwa wamefanya mawasiliano yoyote na Simba hadi jana jioni na haifahamiki endapo jina la Ajibu lipo katika orodha ya wachezaji...

Katibu wa Yanga, Baraka Deusdedit.

03Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katibu wa Yanga, Baraka Deusdedit aliliambia Nipashe jana kwamba kanuni zipo wazi kwamba timu inapomchezesha mchezaji ambaye si halali inapaswa kupokonywa pointi. “Hatushitushwi na propaganda...
03Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akiwa hospitalini hapo jana, Waziri Mkuu alisema amefurahi baada ya kumkuta Mbunge huyo anaendelea vizuri na kwamba afya yake inaridhisha. Waziri Mkuu ametumia fursa hiyo kumtakia afya njema...
03Jan 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Ushauri huo ulitolewa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar, Salehe Mohamed Said, alipokuwa akihutubia wananchi katika uzinduzi wa Kituo cha Polisi Paje Mkoa wa Kusini Unguja jana. “...
03Jan 2017
Idda Mushi
Nipashe
Mwandishi wa habari hizi alifika katika stesheni ya reli ya mjini Morogoro na kukuta makundi ya abiria yakishauriana kuandamana kwenda kwa Mkuu wa mkoa kuelezea adha hiyo ya usafiri, ili waendelee na...
03Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Wilbroad Mutafungwa, alisema mtalii huyo alipoteza maisha Desemba 31, mwaka huu, majira ya saa 9:30 alasiri, baada ya kupanda kupitia lango la Rongai, lililopo...
03Jan 2017
Grace Mwakalinga
Nipashe
Wakizungumza hivi karibuni kwa nyakati tofauti mjini Itumba baadhi ya wakulima hao walisema, matunda hayo yamekuwa ni msaada mkubwa kwa kuwa wameweza kujiongezea kipato na kukuza uchumi wa familia...
03Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kauli hiyo aliitoa hivi karibuni mara baada ya kuwapo kwa ongezeko la wafanyabiashara wanaotoka nchi za Malawi na Zambia kununua ndizi kwa bei ya ulanguzi na kuziuza nchini kwao kwa bei ghali....
03Jan 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Maneno hupotoshwa kila siku. ‘Fulia’, ‘Sepa’, ‘kitaa’, ‘mechi imepigwa’, ‘mashaka’, ‘kufuru’, ‘balaa’, ‘kishenzi’, ‘mhanga’ n.k. Tuanze na ‘fulia.’ Neno hili hutumiwa mtu anaposhindwa kufanya...
03Jan 2017
Charles Kayoka
Nipashe
Tumetengeneza madawati kadhaa, tumedahili wanafunzi kadhaa, tumesajili walimu kadhaa.Idadi hii imevuka asilimia fulani, imeshindwa kuvuka asilimia fulani. Na kuna wakati najiuliza kwa mfano, kwenye...
03Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hata hivyo, ndoto hiyo imekabiliwa na changamoto kubwa inayomfanya ajikute anaishi maisha ambayo hakuyatarajia. Anabeba mtutu wa bunduki kila uchao ikibidi kuua watu ukiwa ndio mfumo wake mpya wa...
03Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Jengo la shule ya Msingi Masanza,lililojengwa miaka mitatu iliyopita bila ya kuezekwa kwa kile kilichoelezwa kuwa, uhaba wa fedha, mazingira yakalazimisha wanafunzi kusoma ndani ya jengo hilo huku...
03Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ndege hao wanaohama, husafiri masafa marefu hadi kuwasili katika maeneo yao ya kuzalia ya asili kwa karibu siku moja kabla kulingana na kiwango cha ongezeko la joto duniani kupanda, utafiti umegundua...

Pages