NDANI YA NIPASHE LEO

Msemaji wa Jeshi la Polisi Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Barnabas Mwakalukwa. PICHA: MTANDAO

20Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
 Wakati mwingine, Binadamu huwa ndiye kisababishi kwa kutenda au kutotoa taarifa za haraka ili kero au changamoto zinayomkabali ziweze kutatuliwa. Miongoni mwa kero na changamoto...

Wakurugenzi Watendaji wa Kampuni ya Spash International Co Ltd Shafeek Purayil (kulia) na Japhet Alexander wa Kampuni ya Kamanda Security Guard Co. Ltd, wakipelekwa mahabusu ya Mahakama ya kisutu jijini Dar es Salaam leo Februari 19, 2018

20Feb 2018
Hellen Mwango
Nipashe
Kesi tatu kati ya nne zilisomwa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Victoria Nongwa, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana.  Katika kesi ya kwanza, Wakili...

KIUNGO wa klabu ya Simba, Saidi Ndemla.

20Feb 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Kiungo huyo ambaye kwa sasa yupo kwenye kiwango cha juu, awali alikuwa na mpango wa kutimkia Sweden kwa ajili ya kucheza soka la kimataifa lakini mpango huo bado haujafanikiwa.Akizungumza na Nipashe...

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charled Kichere.

20Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
 Kutokana na hali hiyo, wafanyabiashara hao wamefarijika na ziara ya Kichere wakisema imewasaidia kutatua changamoto mbalimbali za kulipa kodi, ukiwamo usumbufu kutoka kwa mawakala wa kuuza na...

NGULI wa mitindo nchini, Mustafa Hassanali.

20Feb 2018
Elizaberth Zaya
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Hassanali alisema sherehe hizo zinatarajiwa kuwa na wabunifu 52 pamoja na wataalam wa sanaa za mikono kutoka nchi tofauti za Jumuiya hiyo....
20Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalibainishwa na Ofisa Mifugo wa Halmashauri ya Nyang’hwale, Gabriel Nyahinga, wakati akizungumza na waandishi wa habari na kusema Nyang’hwale ina wafugaji wengi huku wengi wakifuga...

‘Bilionea’ Erasto Msuya (43).

20Feb 2018
Godfrey Mushi
Nipashe
Kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa sita mchana jana, shahidi huyo alikuwa hajatokea mahakamani na kumlazimu Jaji Salma Maghimbi kuahirisha shauri hilo la mauaji ya kukusudia hadi leo.Kabla ya Jaji...

Tito Machibya, maarufu kama ‘Nabii Tito’ (45).

20Feb 2018
Augusta Njoji
Nipashe
Mahakama hiyo, Februari 5, mwaka huu, iliamuru kuwasilishwa kwa vielelezo vinavyoonyesha Nabii Tito ana matatizo ya akili na kufanyiwa vipimo katika Taasisi ya Afya ya Akili Mirembe Isanga.Akitoa...

Ofisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakiwa na mtoto huyo.

20Feb 2018
Beatrice Shayo
Nipashe
Familia hizo zilikutana jana kwenye ofisi za Ustawi wa Jamii Makao Makuu jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo yaliyofikia mwafaka huo.Wazazi hao, Baraka Malali na Ashura Mussa, walikamatwa...

Akwilina Maftah (22).

20Feb 2018
Romana Mallya
Nipashe
Akwilina alipigwa risasi akiwa ndani ya daladala eneo la Mkwajuni, Kinondoni na polisi waliokuwa wakijaribu kutawanya maandamano ya wafuasi wa Chama cha Demokrasaia na Maendeleo (Chadema), Ijumaa...

Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma.

20Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Ili kujiimarisha kuwavaa Waarabu katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika...
Mechi hiyo inatarajiwa kufanyika kuanzia saa 10:00 jioni kwa saa za Djibouti, sawa na muda kama huo kwa saa za Afrika mashariki.Simba ambao wanadhaminiwa na Kampuni ya Kubashiri Matokeo ya SportPesa...

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa.

19Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesema shule hiyo yenye wanafunzi zaidi ya 700 lazima iwe na chombo cha usafiri kitakachotumika kwa ajili ya shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na dharura za kuwapeleka hospitali wanafunzi pale...

PICHA YA MAKTABA.

19Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Muswada ambao kwa sasa umewasilishwa mbele ya bunge la Iceland unapendekeza hadi miaka sita jela kwa mtu yeyote atakayetekeleza tohara hiyo isipokuwa tu kwa ajili ya sababu za kimatibabu.Wakosoaji...

Peter Mrisho (41).

19Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili, Fatuma ambaye ni mama mzazi wa Peter alisema mwanaye kwa sasa yupo katika hali mbaya, hawezi kutembea wala kunyanyuka kutoka kitandani.“Ni mtu wa kulala tu kitandani...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchini, Dkt. Mwigulu Nchemba.

19Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakati akizungumza na askari na pamoja na wananchi waliofika katika uzinduzi huo aliwapa taarifa askari hao kuwa anayo taarifa ya baadhi ya askari wanaokiuka maadili ya kazi na masharti ya wahalifu...

Prof. Makenya Abraham Maboko.

19Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Uteuzi wa Prof. Maboko ambaye ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) unaanza rasmi leo tarehe 19 Februari, 2018.   
19Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Awali ndugu hao waligoma kuchukua mwili wa mpendwa wao kwa kile kilichodaiwa kuwa wanahitaji ripoti kamili ya kifo chake.Aquilina ambaye alikuwa akisoma chuo cha cha NIT, alifariki baada ya kupigwa...
19Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ajali hiyo ilitokea wakati msafara wake ulikuwa ukielekea makao ya rais wa zamani Keneth Kaunda eneo la Lusaka East.Gari dogo liligonga gari lililokuwa kwenye msafara wa rais ambapo Rais Kabila na...
19Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akiwa katika ziara wilayani humo, Majaliwa aliagiza kuchimbwa kwa kisima chenye urefu wa kati cha mita 60, ili kukiwezesha Kituo cha Afya Kasahunga kuwa na maji ya bomba.Waziri Mkuu aliutaka uongozi...
19Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Alitoa tahadhari hiyo alipozungumza  na wananchi wa vijiji vya Cheki Maji, Kawaya na Mkarama baada ya ziara ya kutembelea mfereji wa kilimo cha umwagiliaji skimu ya Mtambo ambapo alikuta...

Pages