NDANI YA NIPASHE LEO

20Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Polisi wa Uganda waliwazuia wanahabari wa gazeti la Daily Monitor kuondoka katika ofisi zao mjini Kampala kwa tuhuma kwamba gazeti hilo liliandika tahariri ya kuikashfu serikali.Taarifa hiyo...
20Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere kwamba,  Askofu Kakobe aliandika barua kwa Rais Magufuli kuomba radhi kutokana na...

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe AKIONYESHA PICHA YA MAREHEMU Katibu wa Chama hicho kata ya Hananasifu, Daniel John.

20Feb 2018
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Daniel alikutwa amefariki dunia kwenye ufukwe wa Coco, Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam huku mwili wake ukiwa na majeraha na inadaiwa alitekwa na watu wasiojulikana akitokea katika shughuli...

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk.Harrison Mwakyembe.

20Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk.Harrison Mwakyembe, alisema kuwa Infantino anatarajiwa kuwasili nchini leo kwa ajili ya kushiriki mkutano wa Fifa...

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji, Nzinyangwa Mchany (kulia) na Meneja Mawasiliano wa Ewura, Titus Kaguo wakionyesha ngao ya utambuzi waliokabidhiwa jana, jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), Abdul-Razaq Badru (kushoto) kwa kufanya vizuri katika urejeshaji mikopo ya elimu ya juu kutoka kwa wafanyakazi wanufaika. PICHA: EWURA

20Feb 2018
Mary Geofrey
Nipashe
Akizungumza jijini Dar es Salama jana, Badru alisema asilimia 75 ya watumishi walio katika sekta za umma na binafsi wenye elimu ya shahada ya kwanza wamesomeshwa na serikali, hivyo waajiri wana...
20Feb 2018
Mhariri
Nipashe
Linaendelea kuwagusa wengi kutokana na mazingira yake kutawaliwa na utata mkubwa.Baadhi ya maswali yasiyo na majibu ni nani alifanya shambulizi la risasi iliyomuondolea uhai wake na kumkatisha...
20Feb 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Wajumbe hao wa nyumba kumi walikuwepo vijijini na mjini na moja ya majukumu yao yalikuwa ni hilo la usalama kwenye maeneo yao ya utawala kwa kuhakikisha kila mgeni anayefika katika nyumba zilizo...

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa.

20Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amechukua hatua hiyo baada ya mwanasheria huyo kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo ikiwa ni pamoja na kushindwa kuishauri vyema halmashauri hiyo na kuisababishia hasara ya Sh. milioni 279....
20Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Watafiti hao wameainisha vyakula ikiwemo keki, kuku na mikate na kusema kuwa vinasindikwa sana.Utafiti uliofanywa kwa watu 105,000 umeonyesha kuwa vyakula hivyo huliwa zaidi, hivyo wanaovitumia...

Mbunge wa Jimbo la Busega Dkt. Raphaele Chegeni akizungumza mbele ya Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan.

20Feb 2018
Happy Severine
Nipashe
Mbunge huyo aliwasilisha ombi hilo jana kwenye uwanja wa mchezo mjini Lamadi katika siku ya kwanza ya ziara ya Makamu wa Rais mkoani Simiyu. Chegeni alimwomba Samia amsaidie shule hiyo...
20Feb 2018
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Maziwa ya binadamu yagundulika na plastiki...
Ifikapo mwaka 2050 wataalamu wanaeleza kuwa bahari zitajaa plastiki kuliko samaki.Vina na vilindi vyake badala ya kuwa makao ya viumbe hai –wanyama, wadudu na mimea yatapatikana marundo ya...

Baadhi ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali za wilaya ya Chamwino, wakiwa mchezoni katika Shule ya Sekondari ya Chamwino. PICHA: MTANDAO

20Feb 2018
Renatha Msungu
Nipashe
Wajinoa kudumisha nafasi, wakilenga taifa
Hiyo ni baada ya hamasa kubwa ya bidii kuzifikisha katika nafasi ya pili kitaifa, kwenye matokeo ya vidato vya pili na nne katika mkoa wa Dodoma. Katika hilo, Tume sasa inajigamba kuwa ni...

Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Stella Manyaya.

20Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Stella Manyaya, alisema hayo akiwa katika kiwanda cha Tembo Chipboard  kilichoko Mkumbara, Korogwe, ikiwa sehemu ya ziara yake ya kutembelea...
20Feb 2018
Elizaberth Zaya
Nipashe
*Watelekeza shule mikoa ya mbali kuajiriwa 'kusotea' ng'ombe mmoja kwa miezi sita hadi 12 au fedha kiduchu kwa mwezi
Nini kikubwa? Ni simulizi ya kutia huzuni, kutokana na wazazi kutumikisha watoto wao wadogo kwa lengo la kuipatia familia kipato.Kwa kutumikishwa huko, dhana ya shule na safari yake hutoweka, kana...
20Feb 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Waandishi wa habari/makala za michezo, wasome methali hii: “Usijitie hamnazo* kucheza ngoma utakazo.”*Hamnazo ni purukushani au kujifanya hujali wala huelewi. Maana yake usijitie tabia ya...

Msemaji wa Jeshi la Polisi Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Barnabas Mwakalukwa. PICHA: MTANDAO

20Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
 Wakati mwingine, Binadamu huwa ndiye kisababishi kwa kutenda au kutotoa taarifa za haraka ili kero au changamoto zinayomkabali ziweze kutatuliwa. Miongoni mwa kero na changamoto...

Wakurugenzi Watendaji wa Kampuni ya Spash International Co Ltd Shafeek Purayil (kulia) na Japhet Alexander wa Kampuni ya Kamanda Security Guard Co. Ltd, wakipelekwa mahabusu ya Mahakama ya kisutu jijini Dar es Salaam leo Februari 19, 2018

20Feb 2018
Hellen Mwango
Nipashe
Kesi tatu kati ya nne zilisomwa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Victoria Nongwa, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana.  Katika kesi ya kwanza, Wakili...

KIUNGO wa klabu ya Simba, Saidi Ndemla.

20Feb 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Kiungo huyo ambaye kwa sasa yupo kwenye kiwango cha juu, awali alikuwa na mpango wa kutimkia Sweden kwa ajili ya kucheza soka la kimataifa lakini mpango huo bado haujafanikiwa.Akizungumza na Nipashe...

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charled Kichere.

20Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
 Kutokana na hali hiyo, wafanyabiashara hao wamefarijika na ziara ya Kichere wakisema imewasaidia kutatua changamoto mbalimbali za kulipa kodi, ukiwamo usumbufu kutoka kwa mawakala wa kuuza na...

NGULI wa mitindo nchini, Mustafa Hassanali.

20Feb 2018
Elizaberth Zaya
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Hassanali alisema sherehe hizo zinatarajiwa kuwa na wabunifu 52 pamoja na wataalam wa sanaa za mikono kutoka nchi tofauti za Jumuiya hiyo....

Pages