NDANI YA NIPASHE LEO

21Feb 2018
Ani Jozen
Nipashe
 Mabadiliko hayo yanaendana na mpangilio wa kijeshi ambao umekuwepo tangu kuundwa kwa Israel mwaka 1947, na kuanza kubadilika kwa hali za kisiasa, kiuchumi na kijeshi kwa nchi tofauti. Bado...
21Feb 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Ndiyo kaulimbiu wanayoitumia wakilenga kuwashirikisha wananchi katika shughuli za kubadilisha maisha yao kwa kushirikiana na viongozi wao wa kisiasa.Mbunge wa jimbo hilo, Profesa Sospeter Muhongo (...

Cyril Ramaphosa.

21Feb 2018
Miki Tasseni
Nipashe
Hakuna cha kustaajabisha kwani aliyekuwa makamu wake, Cyril Ramaphosa, alishashinda kura za uongozi wa chama tawala, na hivyo ilikuwa ni suala tu la kumwapisha mapema, bila kungoja mwaka mwingine na...
21Feb 2018
Elizaberth Zaya
Nipashe
Pamoja na kwamba ulikuwa uchaguzi mdogo, lakini macho na masikio ya Watanzania yalielekezwa huko kufuatilia kila kitu kilichokuwa kikiendelea kwani ulijaa maswali ambayo majibu yake yangetoa picha ya...
21Feb 2018
Gwamaka Alipipi
Nipashe
...........kinailazimisha jamii kufikiri kuwa pengine kuna uhasama baina ya baadhi ya polisi ambao ni wasimamizi wa sheria na walinzi wa usalama wa raia pamoja na mali zao kwa upande mmoja na wafuasi...
21Feb 2018
Ashton Balaigwa
Nipashe
Mbali na ongezeko hilo, pia hifadhi hiyo imeendelea kuimarisha ulinzi wa wanyama waliokuwa wakigongwa na kuuawa katika mageti ya kuingilia na kutoka kwa kutumia barabara ya kuingia hifadhini ya...
21Feb 2018
Augusta Njoji
Nipashe
Mganga Mkuu wa Mkoa huo, Dk. James Kiologwe, alisema jana kuwa ugonjwa huo tangu uingie Dodoma Oktoba, mwaka jana, hadi sasa umesababisha vifo hivyo na idadi hiyo ya wagonjwa.Alisema wagonjwa wengi...
21Feb 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Lakini kuna wasiwasi kwani, hali inavyokwenda ni kama mambo hayako vizuri kwani upendo, uvumilivu kwa wanasiasa vinaelekea kupungua kutokana na matukio ambayo yanajitokeza kwenye uchaguzi mbalimbali....
21Feb 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Hongera kwa kushinda na karibuni kwa kazi ya kuwatumikia Watanzania. Wengi waliingia kwenye kinyang’anyiro hicho baadhi yao ni Salumu Mwalimu, wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema...

WAZIRI WA VIWANDA CHARLES MWIJAGE.

21Feb 2018
Said Hamdani
Nipashe
Ushauri huo ulitolewa kwenye kikao kazi cha kujadili na kuweka mkakati wa kutekeleza sera ya viwanda.Wadau walitoa ushauri huo, kufuatia taarifa iliyowasilishwa kwenye kikao hicho na kamati iliyokuwa...

WAKULIMA WA VIAZI.

21Feb 2018
Grace Mwakalinga
Nipashe
Kutokana na hali hiyo, wamelalamika kuwa  ni kumkandamiza mkulima.Walitoa malalamiko hayo wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani, na kueleza kuwa  kwa kipindi kirefu wafanyabiashara...
21Feb 2018
Ahmed Makongo
Nipashe
Dawa hizo ni za maji za Duduall 450 EC, Duduba 450 EC na Careti 5 EC,   na kuiomba serikali iwapelekee dawa ya mafuta.Malalamiko hayo yalitolewa juzi na madiwani wa Halmashauri ya...
21Feb 2018
Mhariri
Nipashe
Kero nyingi zimekuwa zikihusu masuala ya afya, elimu, maji, ardhi, miundombinu na matumizi mabaya ya baadhi ya viongozi, hivyo malalamiko ya wananchi kutegemea majibu sahihi kutoka kwa viongozi....
21Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalisemwa jana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, alipokuwa akizungumza na viongozi na watendaji wa Halmashauri za Jiji la Mwanza, Ilemela na Nyamagana akiwa katika siku ya sita ya ziara yake...

KOCHA wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila.

21Feb 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Mtibwa juzi ilikubali kipigo cha bao 2-1 kutoka kwa Ruvu Shooting na kuifanya timu hiyo kushuka mpaka nafasi ya sita kwenye msimamo wa ligi kuu ikiwa na pointi 27 baada ya kucheza michezo 19.Katwila...
21Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Muhoja amesema kuwa amerudi kuwania uongozi ndani ya BFT baada ya kuona Shirikisho hilo linapoteza mvuto na ushawishi wake kwa jamii."Kwa sasa naona mambo...

Kocha msaidizi wa Yanga, George Lwandamina.

21Feb 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
*** Lwandamina ataka dakika 20 za kwanza ziwamalize wapinzani...
Yanga inawakabili wapinzani wao hao huku wakiwa mbele kwa bao 1-0 kufuatia ushindi walioupata kwenye mchezo wa kwanza jijini Dar es Salaam.Kocha msaidizi wa Yanga, George Lwandamina, aliiambia...

Emmanuel Okwi.

21Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mshambuliaji raia wa Uganda, Emmanuel Okwi, aliifungia Simba bao hilo pekee katika dakika ya 53 na kuifanya Simba sasa kukutana na 'Waarabu' wa Al Masry.Simba imesonga mbele kwa jumla ya...
21Feb 2018
Elizaberth Zaya
Nipashe
*Watelekeza shule mikoa ya mbali kuajiriwa 'kusotea' ng'ombe mmoja kwa miezi sita hadi 12 au fedha kiduchu kwa mwezi
Nini kikubwa? Ni simulizi ya kutia huzuni, kutokana na wazazi kutumikisha watoto wao wadogo kwa lengo la kuipatia familia kipato.Kwa kutumikishwa huko, dhana ya shule na safari yake hutoweka, kana...

Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, akitoa heshima ya mwisho kwa katibu wa Chadema Kata ya Hananasif, Daniel John wakati wa shughuli ya kuaga katika Kanisa la Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Anna jijini Dar es Salaam jana. PICHA: HALIMA KAMBI

21Feb 2018
Gwamaka Alipipi
Nipashe
John aliuawa wiki iliyopita katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, eneo la Coco wakati akitokea katika kampeni za uchaguzi mdogo wa marudio jimbo la Kinondoni na mwili wake uliokotwa katika ufukwe wa...

Pages