NDANI YA NIPASHE LEO

22Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalibainishwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndungulile, juzi wakati  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, alipokagua na kuweka jiwe la msingi...
22Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
 Katika jiji la Dar es Salaam, Manispaa mpya ya Kigamboni kwa sasa haina mtandao rasmi wa majisafi na uondoaji majitaka. Hiyo inatokana na ukweli kwamba manispaa hiyo iko mbali na vyanzo vya...
22Feb 2018
Rose Jacob
Nipashe
Akizungumza mbele ya Waziri Mkuu  Kassim Majaliwa wakati wa uzinduzi wa kliniki saidizi za tiba kwa waathirika wa dawa za kulevya (MAT) kwa kutumia dawa aina ya Methadone katika...

Mwanasheria wa Halmashauri hiyo, Alphonce Sebukoto (KULIA) na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, Anthony Bahebe. (kushoto).

22Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
limemkamata Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, Anthony Bahebe na Mwanasheria wa Halmashauri hiyo, Alphonce Sebukoto, kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na ubadhirifu fedha za...
22Feb 2018
Lilian Lugakingira
Nipashe
Rai hiyo ilitolewa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kagera, Willy Mutabuzi, wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Kombe la Diwani wa Kata ya Ijuganyondo iliyoko...

WATUHUMIWA KESI YA Bilionea’ Erasto Msuya, WAKIINGIA MAHAKAMANI.

22Feb 2018
Godfrey Mushi
Nipashe
Bilionea Msuya (43) aliuawa kwa kupigwa risasi 22 Agosti 7, 2013 majira ya saa 6:30 mchana katika eneo la Mijohoroni, Kando ya Barabara kuu ya Arusha-Moshi, karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurean Ndumbaro.

22Feb 2018
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Aidha, serikali imewataka watumishi wenye madai lakini hawajawasilisha nyaraka zake kuzipeleka kwa waajiri wao haraka ili waingizwe katika orodha nyingine za malipo.Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-...

Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael.

22Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tofauti na miaka ya nyuma, kwa sasa washiriki wa mbio hizo wanaweza wakajisajili moja kwa moja kwa kutumia njia ya simu kupitia namba *149*20#.Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Meneja...
22Feb 2018
Rahma Suleiman
Nipashe
Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira, Salama Aboud Talib, aliwaambia wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, wakati akitoa ufafanuzi kufuatia kujitokeza kwa tatizo la uhaba wa nishati hiyo katika...
22Feb 2018
Somoe Ng'itu
Nipashe
Simba inayodhaminiwa na Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha Matokeo ya SportPesa imetinga hatua ya awali ya michuano hiyo baada ya kuifunga Gendarmarie Nationale FC ya Djibouti mabao 5-0, ilipata...

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi.

22Feb 2018
Rahma Suleiman
Nipashe
Alisema jumuiya za chama ni muhimili wa chama chenyewe akiitaja ile ya wazazi ambayo ndio kongwe zaidi inayotegemewa na CCM katika kusaidia nguvu za chama hicho.Balozi Iddi alitoa kauli hiyo wakati...
22Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Daktari Kenya mahakamani kuutetea; ....    Tanzania vita vya kuuzuia ni vikubwa 
 Dk. Tatu Kamau anasema sheria inayoharamisha ukeketaji wanawake na wasichana nchini humo, inakiuka utamaduni katika jamii nyingi za Kiafrika.Katika hilo anataka, pia bodi iliyoundwa nchini humo...

MKUU wa Wilaya ya Kondoa, Sezaria Makota.

22Feb 2018
Augusta Njoji
Nipashe
Makota alitoa kauli hiyo alipokuwa akizindua bodi hiyo ambayo ni ya kwanza tangu kugawanywa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa na kupatikana Halmashauri ya Mji.Alisema kwa sasa usimamizi wa...

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Benson Bagonza.

22Feb 2018
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Viongozi hao pia walijadili uimara wa taasisi za madhehebu ya dini, uimara wa mfumo wa serikali, pamoja na uimara wa taasisi za vyama vya siasa tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992....

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Mponjoli Mwabulambo.

21Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akithibitisha kutokea tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Mponjoli Mwabulambo amesema tukio hilo lilitokea Februari 18,2018 saa tano asubuhi katika mlima Gambiwe, ambapo mtoto huyo...

Mbunge wa Bunge hilo kutoka Tanzania Maryam Ussi Yahya.

21Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalibainishwa na wabunge hao walipokuwa wakizungumza na Waandishi wa habari kuhusu ziara yao katika nchi zilizo katika ukanda wa kati ndani ya jumuiya hiyo kabla ya kukutana na Waziri wa Mambo...
21Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na Mkurugenzi Mkuu wa benki hiyo, Dinesh Arora, Mkuu wa kitengo cha Rasilimali Watu, Frederick Kanga na menejimenti na wafanyakazi wengine waliwapa pongezi hizo ikiwa...
21Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa kutoka KRA imesema, mtuhumiwa huyo alikamatwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) akiwa na miche ya dhahabu.Kwa mujibu wa KRA, Mtanzania huyo mwenye umri wa miaka 46...
21Feb 2018
Allan lsack
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi mkopo huo, Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Noah Lembris, alisema Serikali Kuu  imezitaka halmashauri zote hapa nchini, kutenga...
21Feb 2018
Flora Wingia
Nipashe
Uchumi Soko Huria unavyovuruga matamanio ya ajira kwa vijana, Washangaa umri wa kustaafu utumishi wa umma kuongezwa
Kwa kawaida kustaafu huwa ni kati ya umri wa miaka 55 na 60 ambapo Watanzania wengi hawaishi na kufikia miaka hiyo kwa sababu mbalimbali; nyingine zimo ndani ya uwezo wao nyingine nyingi ni kwa kudra...

Pages