NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

13Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Alfred Lucas aliyeongozana na Taifa Stars nchini Zimbabwe, alisema jana kwamba timu ZBC nao wameipa haki Azam TV ya Tanzania kuonyesha pia mchezo...

marehemu Saleh Ramadhan Ferouz akipelekw amakaburini kwa ajili ya maziko.

13Nov 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Ametajwa kama kiongozi aliyekuwa akifikiria zaidi Zanzibar na mustakabali wake kisiasa, kupatikana kwa hatima ya umoja imara na maendeleo thabiti ya watu wake…
Miongoni mwa vigogo walioshiriki maziko hayo kutoka CCM ni pamoja Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi , Rais mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume, Naibu Katibu Mkuu wa CCM...

Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.

13Nov 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Pengo aliyasema hayo jana wakati akimkabidhi tuzo ya heshima aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Afya wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Dk. Fredrick Kigadye, aliyetumikia nafasi hiyo kwa miaka 35....
13Nov 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Tuliboronga kwenye kukusanya kodi, uwekezaji, ajira hewa, kuajiri kwa upendeleo, kupandisha vyeo kwa upendeleo, kuchukua na kutochukua hatua za kinidhamu. Tuliharibu kwenye taratibu za manunuzi na...
06Nov 2016
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Muundo huo upo kwenye waraka mpya uliotolewa na Wizara ya Elimu, Sayansi,Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi. Katibu Mkuu shirikisho hilo, Benjamin Nkonya, akizungumza na Nipashe jana alisema serikali...

Thomas Ngawaiya.

06Nov 2016
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Thomas Ngawaiya, alisema Tanzania ilikuwa imefikia pabaya, hali iliyosababisha kutizamwa tofauti na mataifa mengine kutokana na tabia ya baadhi ya viongozi wa umma...

MWENYEKITI wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini, Peter Mziray.

06Nov 2016
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Mziray ambaye pia ni Mwenyekiti wa taifa wa chama cha APPT Maendeleo, alisema kwa mujibu wa kanuni zinazotokana na Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, vikao vinatakiwa vifanyike mara nne kwa...
06Nov 2016
Steven William
Nipashe Jumapili
Taarifa zaidi zilidai kuwa wanafunzi walioshiriki fumanizi hilo dhidi ya mwalimu na mwanfunzi mwenzao walimuadhibu mtuhumiwa (mwalimu) wao na kufanikisha kukamatwa kwake. Kamanda wa Polisi Mkoa...

WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge.

06Nov 2016
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Mwaka 2015 hali ya utoaji huduma ya maji kwa nchi nyingi za Afrika ilikuwa chini ya asilimia 50 kwa vijijini na mijini, kwa upande wa Tanzania, vijijini ilikuwa asilimia 60 na mjini asilimia 76...
06Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*Polisi yatoa angalizo, wenye benki wafunguka
Uchunguzi uliofanywa na Nipashe kwa kuhusisha mahojiano na watu mbalimbali waliowahi kukumbwa na kadhia hiyo, polisi na wadau wa masuala ya fedha jijini humo, umebaini kuwa njia hizo mpya ni pamoja...
06Nov 2016
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Hali hiyo ilijitokeza wakati wa kuchangia muswada huo, uliowasilishwa juzi bungeni na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye. Chenge alifikia hatua hiyo, baada ya Mbunge wa...
06Nov 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Kwa Falme za Kiarabu, Jengo la refu zaidi duniani la Burj Khalifa lililopo Dubai, likiwa na urefu wa mita 829.8 (sawa na futi 2,722) na makazi ya watu 30,000, ni miongoni mwa vivutio vya utalii....
06Nov 2016
Chauya Adamu
Nipashe Jumapili
THRDC imechukua uamuzi huo baada ya kugundua maoni  ya wananchi hayakupewa kipaumbele na kwamba kuna haja ya kurudia upya mchakato huo kwa kuwa ulivamiwa na wanasiasa. Hayo yalisemwa jana jijini...
06Nov 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Kupadisha bei ya umeme kwa wateja si ufumbuzi wa kupunguza gharama za uendeshaji lazima serikali itafute chanzo kipya na nafuu cha kuzalisha umeme Zanzibar ili wananchi wapate umeme wanaoumudu.
Imeamua kuliruhusu Shirika la Umeme Zanzibar (Zeco), kupandisha bei ya umeme kwa asilimia 20 kuanzia Novemba Mosi na kuibua mjadala miongoni mwa wananchi. Zeco imeamua kupandisha bei ya umeme...
06Nov 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili
Kwa miaka yote mahitaji ya wananchi yamekuwa yakibadilika mara kwa mara kutegemeana na uongozi uliopo madarakani. Kwa mfano, jinsi uchumi ulivyobadilika duniani, ndivyo ilivyobadili uchumi na...
06Nov 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Unaona shida, hujawahi kuwa na raha lakini hufunguki na kutafuta chanzo chake. Hakuna jambo linalotokea pasipo chanzo. Na hakuna chanzo cha tatizo kisicho na ufumbuzi au jawabu. Hata kwa wenye...
06Nov 2016
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Akizindua kituo hicho kilichopo Matemwe Kigomai, mkoa wa Kaskazini Unguja mwishoni mwa wiki, Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira, Salama Aboud Talib, kwa niaba ya Makamu wa Pili wa Rais,...
06Nov 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Pupa imemuondoa duniani bondia Thomas Mashali, kwa kupigiwa kelele za “mwizi” na watu kwa pupa ‘wakamuua mwizi’ ambaye pengine hakuwa mwizi!
Kwanza kuna wataalamu wa utafiti wa udongo wa Chuo cha Kilimo cha Seliani Arusha, waliuawa na wanakijiji cha Iringa -Mvumi mkoa wa Dodoma kwa pupa ya kuwadhania kuwa ni watu wabaya waliofika eneo...

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Riziki Juma.

06Nov 2016
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
*Waziri wa Elimu, Riziki Juma asema kila kitu kinaenda vizuri, kujengwa shule 10 za kisasa
Aidha, Riziki alisema wizara yake inaendelea kutekeleza mipango iliyojiwekea kwa lengo la kuhakikisha kuwa mazingira ya shule yanaendelea kuwa mazuri kwa utoaji wa elimu na kiwango kinazidi...
06Nov 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Kwa ujumla tangu Rais aingie ofisini na kuonyesha utekelezaji wa kauli mbiu ya kampeni ya hapa kazi tu, kumekuwa na mabadiliko mengi katika sekta za kiuchumi na amejipambanua kama mtetezi wa haki za wananchi wa kawaida kivitendo.
Ni ule utani kuwa namba imewekwa juu ya Mlima Kilimanjaro kila mtu anaisoma raia na asiye Mtanzania, hiyo ikitokana na wimbo maarufu wakati wa kampeni za CCM wa ‘wataisoma namba’ Kwa ujumla tangu...

Pages