NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

24Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mbaraka amegundulika na tatizo hilo baada ya kufanyiwa uchunguzi juzi  kwenye Hospitali ya Vincent Pallotti ya jijini Cape Town, Afrika Kusini.Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Daktari wa...
24Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza jana na wakazi wa Kata ya Mwengemshindo katika mkutano wa hadhara, majaliwa alisema serikali ya awamu ya tano inatambua kilio chao ambacho alisema ni cha muda mrefu na kwamba alishawahi...
24Dec 2017
Said Hamdani
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo ilibainika baada ya makuli na madereva wa magari yanayoshusha mazao katika ghala hilo kulalamika kuwa wanapata shida ya kujisaidia wakiwa ghalani hapo alipotembelea sehemu hiyo. ...
24Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wakizungumza na Nipashe kwa nyakati tofauti, makamanda wa jeshi hilo katika mikoa ya Kilimanjaro, Tanga na Pwani, walisema kuwa mbinu zote wanazotumia wahalifu wa aina hiyo zinafahamika na pia maeneo...
24Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza juzi baada ya kutoka hospitalini, Christina alisema nyumba hiyo  yenye vyumba vinane na sebule moja, iliungua baada ya chumba cha mmoja wa wapangaji wake kulipuka kutokana na mafuta...
24Dec 2017
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Mradi wa umeme wa Stieglers Gorge, utajengwa ndani ya Mto Rufiji mkoani Pwani. Hayo yalisemwa jana na Mkurugenzi Msaidizi wa Tanesco (Uzalishaji), Mhandisi Abdalah Ikwasa, wakati wa ziara ya...
24Dec 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Kituo hicho kimeshika kasi kwa wafanyabiashara na wanunuzi wa bidhaa mbambali ambazo hapo awali walikuwa wakilazimika kuzifuata Kariakoo.Hatua hiyo ya kuwapunguzia wateja wenye magari usumbufu wa...
24Dec 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Ajali hiyo imetokea ikiwa ndani ya wiki moja tangu ajali ya basi la Saratoga kugongana na Yoyota Hiace katika Kijiji cha Kabeba, wilaya ya Uvinza na kusababisha vifo vya watu saba.Mbali na watu hao...
24Dec 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Wapo wasomaji wengi walibahatika kuisoma makala ile na kutoa maoni yao kuhusiana na uamuzi ule. Hebu leo tumsikie msomaji mmojawapo kuhusu jinsi alivyolipokea na kulitafakari tukio lile.Kupitia email...
24Dec 2017
Happy Severine
Nipashe Jumapili
Hayo yalibainishwa jana na Mkurugenzi wa asasi ya Kawiye , Ezekiel Kasanga wakati wa warsha ya siku mbili kwa wadau wa mapambano ya ukatili wa wanawake na watoto yaliyofanyika katika Halmashauri ya...
24Dec 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Madai kwamba baadhi ya wauzaji wasio waaminifu huchanganya supu yao na vitu vya ziada kama dawa za kaisili za kusaidia upungufu wa nguvu za kiume, ndizo zinaoongeza umuhimu wa kuwa makini kwa kila...
24Dec 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Hali hiyo ambayo hutokea kila ifikapo nyakati kama hizi kuelekea mwishoni mwa wiki, ilitokana na mahitaji ya usafiri ya idadi kubwa ya abiria kulinganisha na mabasi yaliyopo.Kutokana na hali hiyo...
17Dec 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Wazee hao wanaoteseka kwa kutuhumiwa kuwa ni wachawi, baadhi yao hunyanyaswa na watoto wao wa kuwazaa, ndugu zao na majirani.Baadhi ya wazee hao hutengwa na kufukuzwa kwenye miji yao kwa kuitwa...
17Dec 2017
Paul Mabeja
Nipashe Jumapili
Akizungumza mjini Dodoma jana wakati wa mapokezi yake kwenye makao makuu ya CCM, akiwa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Thwaiba Kisasi, Kabaka alisema sasa ni wakati muafaka wa...
17Dec 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Wiki iliyopita nilisimulia kisa cha mama mmoja aliyefikia hatua ya kujiua, chanzo kikiwa ni bughudha aliyokuwa akiipata mara baada ya mumewe kuoa mke mwingine na kumjengea mji wake. Mama kutokana na...
17Dec 2017
Furaha Eliab
Nipashe Jumapili
Alitoa amri hiyo baada ya ujenzi wake unaodaiwa kuwa umekuwa ukisuasua japo sasa umeanza lakini hapo kwenye viwango na kasi hivyo, akaagiza kazi ifanyike kwa muda huo.Ujenzi wake unasuasua  ...
17Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Kwa kifupi ni kwamba watu wengi kwa kiwango kikubwa hupata huduma zinatolewa na wamachinga kwa vile wafanyabiashara hawa wameonekana kuwa kiungo muhimu kwa maisha ya Watanzania. Hii ni kwa sababu...
17Dec 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Miongoni mwa wanasiasa waliotangaza kujiengua kwenye vyama hivyo ni pamoja na wabunge Lazaro Nyalandu (Singida Kaskazini-CCM) aliyehamia Chadema, Dk. Godwin Mollel (Siha -Chadema) na Maulid Mtulia (...

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (kushoto), akimsikiliza mmoja wa wakazi wa Kijiji cha Handa, Jumanne Sadick, aliyekuwa akielezea tatizo la mipaka linalowakabili kwa muda mrefu.

17Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ni baada ya Serikali kufuta faini zote zisizozingatia sheria za nchi
Wafugaji Jerumani Waline, Mabula Mwala, Joel Tahan, Elizabeth Hamisi na Elizabethi Nyambi wa kijiji cha Handa kinachopakana na Hifadhi ya Msitu wa Jamii wa Mgori uliopo kwenye mkoa wa Singida, ni...
17Dec 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Zanzibar Heroes imefika fainali baada ya kuwavua ubingwa Uganda (Cranes) kutokana na kuwachapa mabao 2-1 katika mchezo wa nusu fainali iliyofanyika juzi mjini Kisumu wakati Kenya iliwafunga Burundi...

Pages