NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

31Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza juzi akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Morogoro, Mwanjelwa aliwataka wafanyabiashara wote wa mbegu ambao wamekuwa wakifanya biashara hiyo kwa njia zisizo halali, kuacha mara moja. ...
31Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Iimefahamika kuwa  lina faida nyingi kwa walaji, ikiwamo kuwapunguzia uwezekano wa kupata baadhi ya maradhi ya kansa, shinikizo la damu maarufu ‘presha’ na kiharusi. Kwa mujibu...

Askofu Zacharia Kakobe.

31Dec 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Kamishna Mkuu wa TRA, Charles Kichere, ndiye aliyefichua siri hiyo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.Kuanzia juzi, sauti ya mtu anayedaiwa kuwa ni Askofu Kakobe...

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo.

31Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo, alisema hayo juzi wakati wa ziara yake katika Kijiji cha Nyabichune, Kata ya Matongo wilayani Tarime kwenye mkutano na wananchi na wachimbaji wadogo....

Zitto Kabwe .

31Dec 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Pia katibu huyo aliiambia Nipashe kuwa bado hajauona muswada anaodai Zitto kuwa tayari amewasilisha zaidi ya mara moja kutaka kuwapo kwa sheria itakayowalazimisha wabunge na mawaziri kuweka wazi kwa...
31Dec 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
*Wizara ya Afya yaanika msimamo wake, *Ni baada ya ndugu kudai kuiandikia barua
Baada ya ndugu kudai kuiandikia barua serikali kwa nia ya kuitaka isaidie kumgharimia huku wizara inayoshughulikia masuala ya afya ikitoa msimamo unaoashiria kuwa haihusiki moja kwa moja na jambo...
24Dec 2017
Rose Jacob
Nipashe Jumapili
Meneja wa TFDA Ofisi ya Kanda ya Ziwa,  Moses Mbambe,alisema kuwa mfanyabiashara huyo mmiliki wa duka la kuuza vipodozi lililoko Mtaa wa Lumumba jijini Mwanza amekuwa akikiuka sheria ya Chakula...

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (mwenye miwani), akiwa na viongozi wa ranchi ya mifugo nchini akionyeshwa mbuzi wanaofugwa katika ranchi ya Ruvu alipotembelea ranchi hiyo hivi karibuni.

24Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Miezi miwili yaibua mazito mikataba ranchi za taifa,  mifugo holela kutoka nje, utoroshaji wa samaki
Katika kipindi cha zaidi ya miezi miwili iliyopita, tayari kuna mabadiliko kadhaa yamefanywa katika sekta hiyo chini ya Waziri Luhaga Mpina na naibu wake, Abdallah Ulega, lengo likiwa ni kuona kuwa...
24Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Katika maisha ya sasa, ambapo changamoto za ukosefu wa ajira ni jambo lililotamalaki katika maeneo mengi duniani na hasa kwenye nchi zetu zinazoendelea kama Tanzania, elimu ya ujasiriamali ni muhimu...
24Dec 2017
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Dk. Tulia aliyasema hayo juzi kwa nyakati tofauti alipokuwa anatoa vifaa mbalimbali vya ujenzi vyenye thamani ya Sh. 7,000,000 kwa Sekondari ya Bujela na Kanisa la Bujela ambavyo ni miongoni mwa...
24Dec 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Maaskofu wakerwa uasherati, ulevi kupindukia, waonya Yesu kuondolewa mioyoni mwa waamini
Lakini hivi siku hiyo inasherehekewa ipasavyo? Kipaumbele ni kuokoa roho ama kuangamia? Kwa zama hizo maaskofu na viongozi wa dini ya Kikristo wanaona kuwa kuna ulegevu na mmomonyoko mkubwa wa...
24Dec 2017
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Akitoa taarifa ya utekelezaji wa mpango huo jana wakati wa kukabidhi mkopo wa Shilingi milioni 84 kwa vikundi 20, Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri hiyo, Benard Winga, alisema mpaka sasa...
24Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mbrazil huyo inasemekana amepoteza mvuto kwa kocha Antonio Conte, kufuatia kuhoji mbinu... Mourinho: Ratiba Krismas inatuua Jose Mourinho anahisi Manchester United haikutendewa haki...
24Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Waumini hao walizama ziwani baada ya boti waliyokuwa wakisafiria, MV Pasaka kugongana uso kwa uso na boti ya Atakalo Mungu katika Ziwa Tanganyika, Kata ya Sinuka wilayani Uvinza.Mwenyekiti wa Chama...
24Dec 2017
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
***Kocha asema sasa kinachofuata Ligi Kuu ni...
Simba inayodhaminiwa na Kampuni ya Kubashiri Matokeo Michezoni ya SportPesa, juzi usiku ilijikuta ikivuliwa ubingwa na timu ya Jeshi ya Green Warrious kwa mikwaju ya penalti 4-3 kufuatia matokeo ya...
24Dec 2017
Ahmed Makongo
Nipashe Jumapili
Katibu Tarafa ya Chamriho, Boniphace Maiga, aliethibitisha kutokea kwa tukio hilo juzi asubuhi, wakati tembo huyo aliyekuwa ametoka katika hifadhi ya taifa ya Serengeti  alipofika kijijini hapo...
24Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hii inaonyesha kuwa upo uwezekano wa kupata mapato zaidi iwapo kutaongezwa uaminifu, uadilifu na uwajibikaji wa wananchi , wadau na TRA, hali inayoweza kuliondoa taifa kwenye utegemezi wa fedha za...

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega (katikati), akifafanua jambo kuhusiana na mapambano dhidi ya matumizi ya nyavu haramu wakati wa ziara yake katika Kijiji cha Buhingu, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma mwishoni mwa wiki.

24Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Naibu Waziri Ulega alitoa maelekezo hayo jana wakati alipokuwa katika Kijiji cha Buhingu, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma na kushiriki operesheni ya kuchoma nyavu haramu na utoaji wa vyeti kwa vikundi...
24Dec 2017
Peter Mkwavila
Nipashe Jumapili
Kufuatia ushindi huo, Kaimu Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Hozen Mayaya, alijidai kufanya vizuri huko kunatokana na chuo hicho kuwa na wanafunzi wengi wenye vipaji na kuzialika timu kongwe nchini za Simba...
24Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Wanasema kuwa mtu mzima hufikiria nyakati tatu, wakati uliopita, uliopo na ujao na kwamba hayo anayotunza akilini huwa yanatumika kumsaidia kuchanganua changamoto mbalimbali katika maisha.Kwenye...

Pages