NDANI YA LETE RAHA LEO

Mrisho Khalfan Ngassa

31Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Akizungumza na Lete Raha juzi kutoka Bethlehem, Ngassa alisema kwamba Ligi ya Afrika Kusini inamboa kwa sababu ya mapumziko marefu baada ya mchezo mmoja. “Kwa mfano sasa hivi tulicheza mechi ya...

Nicholas Musonye

31Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Tanzania itafungua dimba na Rwanda Septemba 12, kabla ya kucheza na Ethiopia Sept 16, wakati Nusu Fainali zitakuwa Septemba 18 na mchezo wa kusaka mshindi wa tatu na Fainali zitakuwa Septemba 20....
31Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Taifa Stars inayofundishwa na mchezaji wake wa zamani, Charles Boniface Mkwasa inakwenda Nigeria kukamilisha ratiba tu, kwani tayari imekwishatupwa nje yam bio za Gabon, baada ya kufungwa 2-0 na...

kikosi cha mbeya city

14Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Meneja Usajili wa Mbeya City, Frank Mfundo, aliiambia Lete Raha juzi kuwa nyota wengine watatu kutoka mataifa ya nje watatangazwa mara baada ya taratibu zao za uhamisho kutoka klabu walizokuwa...

KIKOSI CHA AZAM

14Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Azam FC juzi usiku ililazimishwa sare ya 1-1 na URA ya Uganda katika mchezo wa kirafiki, shukrani kwa nahodha wake, John Bocco ‘Adebayor’ aliyeisawazishia bao mwishoni mwa kipindi cha pili katika...
14Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Katibu wa Simba, Patrick Kahemela, ndiye aliyelieleza Lete Raha taarifa hizo juzi jioni jijini Dar es Salaam. “Tupo katika hatua za mwisho za kushughulikia uhamisho wa Mavugo, ili ahalalishwe...

Winga wa Yanga Simon Msuva, akiruka kumiliki mpira wakati wa mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi yao na Mo Bejaia kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam

14Aug 2016
Mahmoud Zubeiry
Lete Raha
baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mouloudia Olympique Bejaia ya Algeria katika mchezo wa marudiano Kundi A Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Shujaa wa Yanga katika mchezo huo wa jana...

laudit mavugo.

14Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
“Tupo katika hatua za mwisho za kushughulikia uhamisho wa Mavugo, ili ahalalishwe kuichezea timu yetu mara moja,”alisema juzi jioni Katibu wa Simba, Patrick Kahemele alipozungumza na Lete Raha mjini...

Kocha wa Lyon, Ramadhani Aluko.

14Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Kocha wa Lyon, Ramadhani Aluko ameiambia Lete Raha juzi jioni kwamba na ikiwa huko, timu hiyo itapata mechi kadhaa za kujipima nguvu. “Tunataka kutumia vizuri kipindi hiki cha wiki ya mwisho ya...
14Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Hatua hiyo inafuatia ombi la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa FIFA, baada ya Yanga SC kuchelewa kutuma usajili wake katika siku ya mwisho Agosti 6, mwaka huu. Katibu wa TFF, Selestine...
14Aug 2016
Mhariri
Lete Raha
Kikosi hicho kilichotangazwa juzi, kinaunda na Talib Ame, Ahamada, Mohammed Makame, Ahamed Rajab, Khamis Said na Yacob Mohamed wote kutoka Zanzibar, Ally Raby, Mwalimu Akida, Khalifa Mgaya, Rolland...

makocha wapya wa azam kutoka Hispania.

14Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Azam FC juzi ililazimishwa sare ya 1-1 na URA ya Uganda katika mchezo wa kirafiki – shukrani kwa nahodha wake, John Raphael Bocco ‘Adebayor’ aliyesawazishia bao mwishoni mwa kipindi cha pili \Uwanja...
14Aug 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Amestaafu akiwa amefunga bao moja tu msimu uliomalizika wa 2015/16 kwenye mechi ya mwisho kabisa, Simba ikifungwa mabao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu. Hilo ndilo lilikuwa goli lake lake la mwisho kabisa...
14Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Meneja Usajili wa Mbeya City, Frank Mfundo aliiambia Lete Raha juzi kwamba nyota wengine watatu kutoka mataifa ya nje watatangazwa mara baada ya taratibu zao za uhamisho kutoka kabu walizokuwa...

Laudit Mavugo.

14Aug 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Licha ya kuwepo kwa mastraika wengi, wachezaji wa kigeni wa idara ya ushambuliaji wanapewa nafasi kubwa ya kufanya vizuri msimu ujao. Vyombo vya habari mbalimbali, wachambuzi wamekuwa wakiwataja...

mbwana samatta

10Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Samata aliyeingia dakika ya 66 Uwanja wa Ghelamco-Arena mjini Gent kuchukua nafasi ya Nikolaos Karelis, anatarajiwa kuiongoza timu yake katika mchezo mwingine wa Ligi ya Ubelgiji Jumamosi wiki...

Kevin Yondan

10Aug 2016
The Guardian Reporter
Lete Raha
Yondan aliumia wiki mbili zilizopita katika mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Medeama nchini Ghana wakati Yanga ikilala 3-1. Hata hivyo, baada ya kukosa mchezo wa kirafiki...

Laudit Mavugo

10Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Akizungumza na Lete Raha juzi baada ya kuisaidia Simba kushinda 4-0 dhidi ya AFC Leopard ya Kenya, Mavugo alisema amefurahia mwanzo mzuri katika timu hiyo yenye makazi yake mtaa wa Msimbazi jijini...
10Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Akizungumza na Lete Raha jana jijini Dar es Salaam, Kifukwe alisema baada ya mkutano wa Jumamosi, alimwambia mfanyabiashara anayetaka kuikodisha timu kwa miaka 10, awasilishe maombi yake kwa...
10Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Simba ilisherehekea vyema kutimiza miaka 80 Jumatatu kwa kucheza mchezo wa kirafiki na AFC Leopard na kuibuka na ushindi huo ambao umeleta faraja kwa timu hiyo kuelekea kuanza kwa Ligi Kuu Agosti...

Pages