NIPASHE

Makamu wa Rais wa shirikisho hilo, Michael Wambura akiwa na Rais wa TFF Wallace Karia.

16Mar 2018
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Wakili wake asema hawaitambui hukumu hiyo, wanajipanga kukata rufani...
Wambura ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Mara (FAM) na Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Soka Tanzania (FAT sasa TFF) alifikishwa katika kamati hiyo akiwa anakabiliwa na makosa matatu....

JACKSON Rugakingira

15Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rugakingira alitoweka juzi na taarifa hiyo imeripotiwa kituo cha polisi Urafiki na kufunguliwa jalada lenye namba URP/RB/1847/2018, kwa mujibu wa shemeji yake, Keffa Mwizambi."Tunaomba wasamaria...
15Mar 2018
Godfrey Mushi
Nipashe
Mkuu wa Maabara ya Utafiti Kilimanjaro, Dk. Irene Kiwelu, alisema kwa sasa wanaendelea kufanya uchunguzi wa kitafiti wa dawa nyingine zenye uwezo wa kukabiliana na makali ya virusi hivyo. ...

Rais John Magufuli.

15Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakizungumza na waandishi wa habari katika eneo hilo la mgogoro, jirani na eneo lililopendekezwa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa kisasa utakaojengwa chini ya ufadhili wa serikali ya Morroco,...

rais wa zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mkuu wa kiwanda cha Sukari cha Zanzibar

15Mar 2018
Rahma Suleiman
Nipashe
Akieleza masikitiko hayo mbele ya Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi, Meneja Uhusiano wa kiwanda hicho, Fatma Salumid Ali, alisema sukari inayozalishwa katika kiwanda hicho na kuuzwa Zanzibar...
15Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mama huyo (Avintishi) alifanya ujasiri huo wa kumwambia Rais Magufuli leo, Machi 15 katika afla ya uzinduzi wa kiwanda cha Sigara cha Philip Morris, Morogoro.“Wanatunyang’anya bidhaa zetu...

picha hii haihusiki na habari hii.

15Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Picha hii imetumika kama kuenesha mfano wa mto lakini haina uhusiano wowote na habari hii.Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Yusuph Ilembo amesema miili hiyo...

Waziri wa mambo ya ndani, Dk. Mwigulu Nchemba.

15Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
 Tayari Rais Dr John Magufuli ameshatoa kwa idara hiyo Sh bilioni 10  na kwamba ujenzi wa ofisi hizo  unatarajiwa kuanza hivi karibuni. Akizungumza wakati alipotembelea ofisi hizo...
15Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe, Ashura Baraka, kwa niaba ya wanakikundi wenzake, alisema waliamua kuanzisha shughuli hiyo, ili kuonyesha mchango wao katika kipato cha kaya zao kwa kuwa kwa hali ya sasa ...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mfano wa Reli hiyo ya Kisasa itakayotumia umeme mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika eneo la Ihumwa stesheni mkoani Dodoma.

15Mar 2018
Augusta Njoji
Nipashe
Agizo hilo lilitolewa jana Ihumwa, Dodoma na Rais John Magufuli alipokuwa akiweka jiwe la msingi la sehemu ya pili ya ujenzi wa mradi wa reli ya kisasa (SGR) ambao utaanzia Morogoro hadi Makutupora,...
15Mar 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Mbali na shule za sekondari, pia serikali ilishaona haja ya elimu itolewe bure kuanzia elimu ya awali hadi sekondari.Wazazi mna kila sababu ya kuchangamkia fursa hiyo kwa kuhakikisha watoto walio na...
15Mar 2018
Mhariri
Nipashe
Kuna matukio yaliyosababishwa na mvua hizo katika maeneo kadhaa nchini, lakini kuna ya hivi karibuni ambayo yamesababisha vifo vya watu nane.Mvua hizo zilizonyesha katika mikoa ya Tanga na Dodoma...
15Mar 2018
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Akizungumza jana jijini hapa, Kaimu Mkuu wa Takukuru, Frida Wikesi, alisema ofisi yake ilipokea taarifa kwa raia wema Machi 9, mwaka huu, kuwa mwenyekiti huyo amegeuza mtaji vitambulisho hivyo....

Mwanajeshi Ramadhan Mlaku, akiwa amebebwa kwenye kitanda cha machela wakati alipofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana.

15Mar 2018
Hellen Mwango
Nipashe
Jana saa 5:10 asubuhi, gari ya wagonjwa lenye za usajili 3406 JW12 ya JWTZ iliingia katika viunga vya Mahakama ya Kisutu.Ndani ya gari hiyo, mshtakiwa alikuwa chini ya ulinzi wa Polisi Jeshi na...
15Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mojawapo katika hilo huwa ni madini ya chuma na vitu vingine katika mahitaji hayo. Kiafya, kuwepo kiasi fulani cha madini hayo na baadhi ya mengine, katika lishe ya mwili wa binadamu ni hitaji muhimu...

Naibu Waziri Dk. Faustine Ndugulile.

15Mar 2018
Yasmine Protace
Nipashe
o Inashika nafasi ya nane kuua wanawake, o Kila mwaka yapeleka nje wagonjwa 35
Kitaalamu, inaelezwa kuwa ugonjwa wa figo unatokana ni matokeo ya kuugua maradhi kama shinikizo la damu pamoja na kisukari. Katika jitihada za kupambana na ugonjwa huo, kuna ushauri wa kijamii...

Balozi wa Ufaransa nchini, Frederic Clavier.

15Mar 2018
Gwamaka Alipipi
Nipashe
OIF inajumuisha nchi wanachama 84 duniani, huku asilimia 43 ya mataifa duniani yanatumia lugha ya kifaransa yenye watu wanaokadiriwa kufikia milioni 300, na nusu yao wanatokea nchi za Afrika.Balozi...
15Mar 2018
Ahmed Makongo
Nipashe
Uamuzi huo umefanywa na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya hiyo kwa lengo la kuipunguzia JKT mzigo katika utoaji wa mafunzo kwa vijana wanaojiunga.Mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye pia ni Mkuu wa...
15Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Inaelezwa kuwa, sababu kuu inatokana na kupungua nguvu ya mishipa ya misuli mwilini.Watafiti wanasema katika kazi zao kuwa, katika idadi ya watu 168 waliofanyiwa majaribio, ni kwamba mtu anapofika...

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia mtoto na mama yake baada ya kuongea na wananchi eneo la Kigongo akiwa katika ziara. picha na maktba

15Mar 2018
Augusta Njoji
Nipashe
Alikuwa akiweka jiwe la msingi la sehemu ya pili ya ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) ambayo itaanzia Morogoro hadi Makutupora Dodoma.Katika hafla hiyo iliyofanyika Ihumwa Manispaa ya Dodoma, Rais...

Pages