NIPASHE

23Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yamethibitishwa na wakili wa Zitto, Emmanuel Mvula ambae ndie aliyemdhamini na kusema anatakiwa kuripoti katika kituo kikuu cha Polisi cha Mkoa wa Morogoro siku ya Jumatatu Machi 12, 2018....
23Feb 2018
Yasmine Protace
Nipashe
DED awaambia alizikabidhi ofisi ya DC, Mwenyewe ajibu ‘ni jambo la kiutendaji’, Mkaguzi wa Fedha asema haki yao kudai
Katika dai lao, madiwani wanasema wamejinyima bajeti ya mlo wao katika vikao vya Baraza la Madiwani Mkuranga, kutoka bajeti ya Baraza la Madiwani, ili ifanye kazi ya kuondoa mifugo. Madiwani hao...

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, akizindua mtambo wa kuzalisha umeme wa jua kijijini Mkalama, wilayani Hai, akiongozana na viongozi wa Taasisi ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia Afrika (NM-AIST) na Kituo cha Ubunifu wa Teknolojia na Nishati (ITEC).

23Feb 2018
Beatrice Philemon
Nipashe
Anna Mghwira aagiza kurekebishwa kasoro zote kijijini, Mwenyekiti kijiji alilia umeme Tanesco, kilimo umwagiliaji
 Ni mtambo unaotarajiwa kutumika kukuza biashara, pia kuboresha sekta ya elimu na afya. Hayo ni mafanikio ya kipindi cha mpito cha miaka 58 ya wanakijiji hao kuishi bila ya umeme.Hapo inagusia...

Shughuli za ujasiriamali, ambazo zinatakiwa kuwa sehemu ya dira ya vijana kujiajiri. PICHA: MTANDAO.

23Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Vijana wengi kuanzia ngazi ya elimu ya msingi, sekondari na hata vyuo vikuu, wamekuwa wakihaha kutafuta ajira serikalini mara baada ya kuhitimu masomo yao, badala ya kuitumia elimu waliyoipata...
23Feb 2018
Rahma Suleiman
Nipashe
Kampuni rasmi ziko 230, zinazolipa kodi ni 30 tu, ‘Papasi ’ ni watu wanaofanya biashara ya kuongoza watalii Zanzibar kienyeji, yaani wasio na leseni za kufanya kazi hiyo watu ambao hawalipi kodi na wengi hawana hata ofisi za kufanya hayo wanayoyafanya.
Pamoja na ukweli huo hivi sasa sekta hiyo imepata tishio kubwa la watu wanaojulikana kama ‘papasi ’ wanaoelezwa, iwapo hawatadhibitiwa basi wataiyumbisha na kudidimiza sekta hiyo nyeti...
23Feb 2018
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Akizungumza jijini katika kongamano la wataalam wa ufugaji nyuki toka mataifa sita duniani, Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Stella Manyanya, alisema misitu iliyopo hasa maeneo ya...

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira.

23Feb 2018
Mary Mosha
Nipashe
Aliyasema hayo jana katika hafla ya kutoa mikopo kwa vikundi 35 katika Halmashauri ya Manispaa ya Moshi na zaidi ya Sh. milioni 189 zilitolewa kwa vijana  na kinamana ikiwa ni...
23Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ofisa Misitu wa Halmashauri ya Mbogwe, Emmanuel Bwai, alisema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kuwa wamekuwa wakipambana na wachimbaji wadogo wanaovamia hifadhi...
23Feb 2018
Stephen Chidiye
Nipashe
Waliofikishwa mahakamani hapo ni Issa Abdallah (30) na Mariam Rashid (24) ambao wameshtakiwa katika kesi mbili tofauti.Mwendesha mashtaka, Inspekta Steven Msongaleli, alidai kuwa katika kesi ya...
23Feb 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Lakini ni bahati mbaya, baadhi yao wamebweteka na kudhani jukumu ni la walimu pekee. Wao hawana nafasi ya kutoa ushirikiano. Ni hali inayosababisha kukosekana kwa mawasiliano kati ya pande hizo mbili...

ZITTO KABWE.

23Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hivyo, ndugu Zitto ametuhumiwa kufanya Unlawful Assembly S. 74 cap 16 ya Sheria ya Kanuni ya Adhabu. Lakini kosa hilo amefunguliwa peke yake tu.Baada ya kuandika maelezo akiwa na Wakili wake, ndugu...

gari la mariam mziwanda likiwa limebanwa na lori baada ya ajali hiyo.

23Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mziwanda alikuwa akiendesha gari dogo lenye namba za usajili T222 DJX ndipo lilipo gongana na lori la mizigo lenye namba za usajili T 495 na kisha kuingia katikati na kubanwa na lori lingine la...

Rais Dkt. John Magufuli akiwa ameshikana mkono na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta huku wakifurahia jambo, walipokutana nchini Uganda kwenye mkutano wa Wakuu wa EAC. Pembeni ni Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir (mwenye kofia)

23Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu ilisema jana kuwa Rais Magufuli alitoa wito huo jana mjini Kampala, Uganda wakati akichangia katika mkutano wa wakuu wa nchi za EAC...

Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama wa TPSF, Louis Accaro

23Feb 2018
Romana Mallya
Nipashe
Imesema ushirikiano na wenzao wa Uturuki, utasaidia kuinua sekta hiyo nchini ikiwa ni pamoja na kujenga viwanda vya kuzalisha mashine.Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama wa TPSF, Louis Accaro, alitoa...

Kocha wa Singida United, Hans va der Pluijm.

23Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Singida United inashika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 34 huku ikipitwa kwa pointi tatu tu na Yanga wanaoshika nafasi ya pili na pointi moja nyuma ya Azam wanaoshika nafasi ya...

KOCHA msaidizi wa Azam, Iddi Cheche.

23Feb 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Azam itaumana na timu hiyo iliyopanda daraja kwenye uwanja huo uliopo Chamazi nje kidogo ya Dar es Salaam.Akizungumzia mchezo huo utakaochezwa usiku, Cheche, alisema kuwa hawatafanya makosa ya...

Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma.

23Feb 2018
Somoe Ng'itu
Nipashe
Simba inayodhaminiwa na Kampuni ya Kubashiri Matokeo Michezoni ya SportPesa sasa itakutana na Al Masry ya Misri katika hatua ya awali baada ya kuiondoa Gendarmarie Nationale FC kwa jumla ya mabao 5-0...
23Feb 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Walezi au wazazi kutofika katika vikao ni njia mojawapo ya kumnyima haki hata mtoto wake, ambayo itamfanya asijue kitu gani kilichokuwa kikitakiwa kujadiliwa katika vikao hivyo.Vikao vinapoandaliwa...
23Feb 2018
Mhariri
Nipashe
Hali hiyo inatokana na kero ambazo zimeendelea kuwakabili wananchi kutokana na baadhi kutozipata kabisa au huduma hizo kutowatosheleza wengine.Malalamiko ya wananchi kuhusu kero za kukosa shule,...

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Utafiti wa Masuala ya Afya Afrika (Amref)  Tanzania, Dk. Frolence Temu.

23Feb 2018
Happy Severine
Nipashe
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Utafiti wa Masuala ya Afya Afrika (Amref)  Tanzania, Dk. Frolence Temu, alisema hayo juzi alipozungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa pozungumza wakati...

Pages