NDANI YA NIPASHE LEO

14Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kuna idadi kubwa sana ya watu wanaomaliza maisha yao hapa duniani bila kufahamu ni aina gani ya kipaji walichonacho. Wengine hata hawaamini kuwa wanaweza kuwa na kipaji. Kwa sababu hiyo...
14Nov 2017
Happy Severine
Nipashe
Wanaojiunga na darasa la awali, la kwanza  na sekondari kuwa kubwa “ ndivyo anasimulia Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka. Mtaka anasema kutokana na uhaba huo ni vizuri kila mzazi aweke mkazo...
14Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Zipo aina mbalimbali za magari zenye matumizi tofauti tofauti. Baadhi ya magari ni matoleo ya muda mrefu na yanahitaji uangalizi na umakini mkubwa katika utunzaji wake. Utunzaji na uangalizi...
14Nov 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Ndani ya basi nafundishwa matamshi kuwa mji ninakokwenda ni Mirerani, na siyo Mererani kama ambavyo Watanzania wengi wamezoea kuuita. Inanichukua mwendo wa kama saa mbili na nusu za kuambaa na...

Dk. Louis Shika akipongezwa na mkurugenzi wa Yono Christina Kevela kwa kununua nyumba za lugumi.

14Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Leo ni siku ya tano tangu Dk. Louis aibue kioja cha kutaka kununua nyumba tatu za Lugumi kwa jumla ya Sh. bilioni 3.3 huku akishindwa kutoa asilimia 25 ya kiasi hicho kama kanuni za mnada zinavyotaka...

Meneja wa Azam FC, Philipo Alando.

14Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Simba ina pointi 19 kileleni sawa na Azam, lakini Wekundu wa Msimbazi hao wanaongoza msimamo huo wa ligi kutokana na kuwa na tofauti kubwa ya mabao ya kufunga na kufungwa dhidi ya Wanalambalamba hao...

Katibu Mkuu wa TSA, Ramadhani Namkoveka.

14Nov 2017
Renatha Msungu
Nipashe
Wachezaji waliochaguliwa na TSA ikishirikisha kamati yake ya ufundi ni Celina Itatiro na Sonia Tumiotto kwa upande wa wasichana, upande wa wavulana ni Hilal Hilal na Collins Saliboko. Katibu Mkuu...

Mbunge wa Temeke (CUF) Abdallah Mtolea.

14Nov 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Mchakato huo umesimama kwa takribani miaka mitatu sasa huku serikali ikikiri bungeni kwamba haina mpango wa kuuendeleza kwa sasa hadi pale itakapoimarisha makusanyo yake ya mapato. Kauli hiyo...

MBUNGE wa Msalala, Ezekiel Maige (CCM), akiwa na waziri mkuu kassim majaliwa katika viwanja vya bungeni.

14Nov 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Maige ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika serikali ya awamu iliyopita, alitoa ombi hilo bungeni mjini hapa jana alipokuwa anauliza swali la nyongeza kwa Wizara ya Nchi, Ofisi ya...

Ajibu

14Nov 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Timu hiyo awali ilikuwa ikifanya mazoezi mara moja asubuhi chini ya Kocha Msaidizi, Shadrack Nsajigwa. Nsajigwa aliliambia Nipashe jana kuwa, wataongeza nguvu ya mazoezi kwa kuwa watakuwa na...

ZITTO KABWE.

14Nov 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Onyo hilo lilitolewa bungeni mjini hapa jana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni mstaafu George Mkuchika alipokuwa anajibu swali la nyongeza...
14Nov 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Vijana hao, ambao ni maarufu kwa jina la 'wapigadebe', wamekuwa wakiita abiria ili waingie katika daladala, kazi ambayo kwa kawaida inapaswa kufanywa na makondakta wa magari hayo. Kwa utaratibu...
14Nov 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Dk. Kigwangalla ambaye hivi karibuni alipandishwa cheo na Rais John Magufuli kutoka Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, alitoa tuhuma hizo dhidi ya Nyalandu bungeni...
14Nov 2017
Mhariri
Nipashe
Kutolewa kwa orodha hiyo mpya kunafanya jumla ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo hadi sasa na HESLB kufikia 31,353. Ikumbukwe kuwa katika awamu ya kwanza, wanafunzi 10,196 wa...
14Nov 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Wapo watoto ama vijana wanaoishi kwenye mazingira magumu maarufu kwa jina la ‘watoto wa mitaani’. Kazi yao kimsingi huwa ni kuombaomba kila siku katika mitaa na makutano tofauti ya majiji na miji...

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti (kulia) akikagua maandalizi ya ujenzi wa ukuta unaozunguka migodi ya madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani.

14Nov 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Ujenzi huo unafanyika kutokana na agizo la Rais John Magufuli la Septemba 20 alipotembelea eneo hilo na kutoa amri kujengwe haraka ukuta kuzunguka maeneo yote ya machimbo ya tanzanite. Akichangia...
14Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkuu wa wilaya hiyo, Majura Kasika ndiye aliyetoa wito huo juzi wakati akihutubia kwenye mkutano wa ufunguzi wa msimu mpya wa kilimo pamoja na kusikiliza kero za wakazi wake. Alisema mazao ya...
14Nov 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Mabishano hayo yaliibuka jana, baada ya shahidi wa 13 wa upande wa mashtaka, Elirehema Msuya maarufu Kakaa ambaye ni dereva wa Hoteli ya SG Resort iliyopo Sakina mjini Arusha, kutoa ushahidi wake...

Elizabeth Kimemeta Michael (22), maarufu kama Lulu akipandisha kwenye gari la polisi kupelekwa gerezani baada ya hukumu kutolewa.

14Nov 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Hukumu hiyo ilisomwa jana na Jaji Sam Rumanyika aliyesikiliza kesi hiyo. Akizungumza nje ya Mahakama Kuu baada ya Lulu kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, Flora alisema "namshukuru Mwenyezi...
14Nov 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Lengo la Maafande hao kuwafuta mashabiki machozi Mbeya lamtisha...
Maafande hao ambao walienda kuweka kambi mkoani Njombe, wanatarajiwa kuikaribisha Simba katika mechi ya raundi ya 10 ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayofanyika kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine,...

Pages