NDANI YA NIPASHE LEO

Upendo Msuya.

20Jul 2017
Romana Mallya
Nipashe
Jaji Msuya amefariki dunia ikiwa takriban miezi mwili tangu alipomwomba Rais John Magufuli kuacha kazi. Alikuwa amelazwa hospitalini hapo kwa matibabu. Msuya ambaye alifariki dunia usiku wa...
20Jul 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Tukio hilo lililoshuhudiwa na kushangaza watu kadhaa waliokuwa na taharuki, lilitokea juzi karibu na eneo la Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA). Katika tukio hilo ambalo lilitokea majira ya mchana...
20Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wamiliki watakaoshindwa kutekeleza agizo hilo, ikiwa njia ya kukwepa kulipa kodi ya serikali, ameagiza vituo vyao vifungwe na kufutiwa leseni. Rais Magufuli alitoa agizo hilo jana wakati...
20Jul 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
kigogo mwingine wa Chadema, Edward Lowassa, naye anatarajiwa kukiona cha moto leo jijini Dar es Salaam. Dk. Mashinji na viongozi wengine wanane wa Chadema, jana walifikishwa katika Mahakama ya...

Erasto Nyoni.

20Jul 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
**Atoa sababu kuitema Yanga, kipa bora Cosafa naye afunguka kutua...
Nyoni anatua Simba akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Azam FC wakati Mohammed naye ameshamaliza mkataba na Mtibwa Sugar ya Manungu, Turiani ya Morogoro. Taarifa kutoka katika...
19Jul 2017
Frank Monyo
Nipashe
Kauli hiyo ameizungumza leo katika kipindi cha East Africa Breakfast kinachorushwa na East Africa Radio, na kusisitiza Watanzania wanatakiwa kutumia simu zao za mikononi kutuma ujumbe au picha...
19Jul 2017
Neema Emmanuel
Nipashe
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella alitaja idadi hiyo wakati akizindua kampeni ya kupambana na magonjwa hayo ambayo hapo nyuma yalikuwa hayapewi kipaumbele. Mongella amesema magonjwa hayo ni...
19Jul 2017
Frank Monyo
Nipashe
Hayo yamesemwa na wakazi wa kijiji hicho wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego anayefuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo, pamoja na kuwalipa wakulima wa korosho zaidi ya Sh...

Mkuu wa wilaya ya Igunga, Mkoani Tabora, John Mwaipopo.

19Jul 2017
Frank Monyo
Nipashe
Akizungumzia tukio hilo, Mwaipopo alisema kukamatwa kwa watumishi hao pia kulihusisha pia wakazi watano wakazi wa Mtaa wa Mwayunge waliokuwa wakikabiliwa na tuhuma za kuchoma moto hovyo kwenye makazi...

mazingira ya mgodi mgodi mdogo wa Mwakitolyo.

19Jul 2017
Marco Maduhu
Nipashe
Hayo yalibainishwa juzi na diwani wa kata hiyo, Agustine Limbe, kwenye mkutano wa hadhara mara baada ya kupata malalamiko kutoka kwa wananchi ya kukuta vinyesi vikiwa kwenye mifuko ya plastiki na...
19Jul 2017
Frank Monyo
Nipashe
Hali hiyo ni baada ya transfoma ya kupima mkondo wa umeme wenye msongo mkubwa wa Kilovoti 220 kulipuka na kuungua kabisa katika kituo cha kupoozea umeme cha Mwakibete, jijini Mbeya na kusababisha...
19Jul 2017
Frank Monyo
Nipashe
Rais Magufuli ametoa agizo hilo wakati wa ufunguzi wa barabara ya Kigoma-Biharamulo-Lusahunga yenye urefu wa KM 154 huku akiwataka mawaziri wenye dhamana kuhakikisha wanafuatilia maagizo hayo kuanzia...
19Jul 2017
John Ngunge
Nipashe
Kiasi hicho kimetolewa baada ya miaka ya 10 ya sintofahamu baina ya pande mbili hizo hali iliyosababisha kuzorota kwa shughuli mbalimbali katika hifadhi hiyo. Akikabidhi mfano wa hundi ya kiasi...
19Jul 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Akizungumza katika mahafali ya tatu ya kuhitimu kwa wanafunzi 110 baada ya kufikia ukomo wa ufadhili wa umri wa miaka 22, yaliyofanyika katika kanisa la KKKT Maji ya Chai, msimamizi wa Compassion...
19Jul 2017
Robert Temaliwa
Nipashe
Wanachama wengi wameonekana kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi, huku sifa kubwa ya kuchaguliwa ikiwa ni jinsi mgombea anavyokubalika kwa wapigakura. Hiyo ni tofauti na miaka ya nyuma...
19Jul 2017
Theodatus Muchunguzi
Nipashe
Kila siku yanajitokeza matukio mapya, ambayo yanaibua shaka na kukatisha tamaa matumaini ya chama hicho kuondokana na mgogoro na kuendeleza harakati za kutaka kushika dola, ambalo ndilo lengo hasa la...

KATIBU Mkuu wa klabu ya Yanga, Boniface Mkwasa.

19Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ngoma alikuwa Afrika Kusini akifanyiwa uchunguzi wa goti lililomuweka nje kwa miezi minne. Mkwasa, alisema ripoti ya madaktari waliomfanyia uchunguzi Ngoma imemruhusu straika huyo kuanza kucheza...

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

19Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Miongoni mwa dawa hizo ni ya kuongeza damu kwa wajawazito iitwayo Foriki Asidi na dawa ya usingizi na kuonya kuwa kiongozi wa kituo cha afya ataadhibiwa kujiuzulu kama kituo kitabainika kutokuwa na...

Naibu Katibu Mkuu Uzalishaji na Sekta ya Jamii katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Christophe Bazivamo.

19Jul 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Licha ya kuwa na nguvu kazi ya asilimia 80 iliyojikita katika kilimo kwa nchi nyingi za barani Afrika, bado haijawanufaisha wananchi wake kiuchumi. Naibu Katibu Mkuu Uzalishaji na Sekta ya Jamii...
19Jul 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Kama walivyosema wahenga, mtu anaweza kuwa na utitiri wa marafiki katika maisha yake, lakini rafiki wa kweli ni yule anayebaki na wewe wakati wote, iwe muda wa raha na hata wa shida, lakini sana sana...

Pages