NDANI YA NIPASHE LEO

Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe.

24May 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amesema watu hao ambao jumla yao ni 7,085 walikamatwa kwa tuhuma hizo, kupitia doria 349,102 ndani na nje ya maeneo yaliyohifadhiwa...
24May 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhandisi Atashasta Nditiye, alitoa ushauri huo alipowasilisha bungeni mjini hapa jana taarifa ya kamati yake kuhusu makadirio ya...

Kamishna Mkuu wa (DCEA), Rogers Sianga.

24May 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Aidha Kamishna Mkuu wa (DCEA), Rogers Sianga alisema matumizi ya dawa aina ya heroine na cocaine yamepungua kwa kiwango kikubwa kulinganisha na miaka ya nyuma. Sianga alikuwa akizungumza na...

Shukuru Kisango.

24May 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Muhimbili imebaini sababu za tabia hiyo isiyo ya kawaida ya Kisango baada ya kumfanyia vipimo tangu alipofikishwa hospitalini hapo Jumanne iliyopita akitokea Songea, mkoani Ruvuma. Kisango pia...
24May 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Imebainika kuwa operesheni hiyo haijaathiri mwenendo wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam baada ya watumishi 24 tu kukumbwa na kadhia hiyo kati ya 1,664 waliohakikiwa, sawa na asilimia 1.4 tu. Aidha,...

Kamanda Sirro.

24May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Almasi aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi Jumapili ya wiki iliyopita, katika eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam, jirani na mahali penye mashine ya kutolea fedha kwa njia ya kieletroniki (ATM) ya...
24May 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Wanasema hivyo wakiwa na maana kwamba wako tayari kukabidhiwa majukumu ya uongozi wa nchi na wakayatekeleza vizuri badala ya kuendelea kusubiri kesho ambayo haitabiriki vile itakavyokuwa. Dhana...
24May 2017
Michael Eneza
Nipashe
Viongozi wa ngazi za mashina na vijiji katika eneo hilo sasa wameelewa kuwa kuna mtandao ambao labda hautaki wawepo kabisa, au kuna maswali wasiyotakiwa kuuliza, kuwa wakiona kitu kisicho cha kawaida...
24May 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Nachukizwa na viongozi wanaoifitini nje Zanzibar inyimwe misaada
Uchaguzi ambao ulisusiwa na Chama Kikuu cha Upinzani visiwani hapa, Chama cha Wananchi (CUF), ambacho pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM) ndio walioasisi mfumo mpya wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (...
24May 2017
Flora Wingia
Nipashe
Mchakato ulianza vizuri mpaka ilipopatikana rasimu ya Pili ya Katiba na mchakato ulivurugika ulipofikia ngazi ya Bunge la Katiba, sehemu ya wabunge wa Bunge hilo walisusia mchakato, wakati wabunge...
24May 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Kimsingi, michango hiyo imekuwa ikitolewa kwa lengo la kuwasaidia wahusika kutokana na matatizo waliyoyapata , baada ya watu hao kuguswa na kuamua kutoa walichonacho ili kuwasaidia. Kutokana na...

Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu', .

24May 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Simba imewasilisha rufani yao hiyo pamoja na vielelezo vingine Fifa kupinga hatua ya TFF kuwapokonya pointi hizo walizozipata baada ya Kagera Sugar kumchezesha Mohamed Fakhi anayedaiwa kuwa na kadi...

KATIBU Mkuu wa Klabu ya Yanga, Boniface Mkwasa.

24May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Ni kuhusu mwenyekiti wao kujiuzulu, kamati tendaji sasa yasubiri barua mezani...
Taarifa zilizozagaa jana kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii huku mingine ikionyesha barua ya mwenyekiti huyo aliyoiandikia Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo, imeeleza kuamua kujiweka pembeni...
24May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akitangaza udhamini huo, Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa Sportpesa Tanzania, Abbas Tarimba alisema kampuni yake imeingia mkataba wa mwaka mmoja na klabu hiyo ya mkoani Singida na endapo...

BEKI wa Mbao FC, Yusuph Ndikumana.

24May 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza na Nipashe muda mfupi kabla ya kuingia mjini Dodoma kutakapofanyika mchezo huo, Ndikumana alisema kikosi chao kimepania kushangaza kwa kukata tiketi ya kushiriki michuano ya kimataifa kwa...
24May 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, aliliambia bunge wakati akijibu swali la Mbunge wa Newala Mjini (CCM), George Mkuchika. Mkuchika alitaka kujua katika miaka  mitatu...

Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha.

24May 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha, alisema hayo alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Fakharia Shomari Khamis. Katika swali hilo, mbunge huyo alitaka...
24May 2017
Mhariri
Nipashe
Katika maeneo mengi zimeripotiwa taarifa za nyumba za wananchi kuzingirwa na maji, kuanguka na nyingine kuezuliwa paa kutokana na upepo mkali. Athari nyingine zilizoripotiwa ni uharibifu wa...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi Hamisi Issah.

24May 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Mtuhumiwa huyo anayefahamika zaidi kama ‘Mbongoo’ au Noel Padoi Simbei, alipigwa risasi ya miguu na kiunoni, wakati akijaribu kujibishana kwa mapigano ya bunduki, karibu na makazi ya watumishi wa...
24May 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Ushauri huo ulitolewa na mwanaharakati Stephen Mejuali (25), mkazi wa Sakina Kata ya Oloirieni mkoani Arusha, wakati akielezea mafanikio ya matembezi yake ya hiari, kuhamasisha vijana kufanya kazi na...

Pages