NDANI YA NIPASHE LEO

Mkuu wa Wilaya siha, Dk. Charles Mlingwa

09Jun 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Wawekezaji hao walitoa kilio hicho juzi mbele ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Dk. Charles Mlingwa, aliyetembelea mashamba yao yaliyopo eneo la West Kilimanjaro, ambako kunatajwa kuwa nguzo ya uchumi wa mkoa...

meli ya Mv Maendeleo

09Jun 2016
Lulu George
Nipashe
Akizungumza katika mahojiano na Nipashe, Ofisa Mfawidhi wa Sumatra Dk. Walukani Luhamba alisema meli hiyo ilianza kazi Jumanne na imebeba abiria 98 huku ikiwa na wafanyakazi 37. Dk. Luhamba...
09Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, bodi imeonya kuwa kufanya hivyo kunasababisha zao hilo kukosa viwango kwenye soko la dunia. Akizungumza na wakulima na wanunuzi wa zao hilo wa wilaya za mikoa ya Mara, Mwanza na Simiyu...
09Jun 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Mazingira hayo ndiyo yanayosababisha watu wengi wajikute hawana namna nyingine zaidi ya kuutegemea usafiri huo. Kukithiri kwa ajali za barabarani nchini hata kusababisha watu wengi kupoteza maisha...
09Jun 2016
Mhariri
Nipashe
Serikali imeandaa bajeti ya Sh. trilioni 29.54 kwa matumizi ya kawaida na maendeleo. Hii ni bajeti ya kwanza tangu Rais John Magufuli, ashike dhamana ya kuongoza Serikali ya Awamu ya Tano,...
09Jun 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Zitto alifika kituoni hap saa 9:32 akiwa amesindikizwa na wafuasi wake na kuingia moja kwa moja ndani huku askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wakiwa wametanda na magari yao pamoja na gari...
09Jun 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Aidha, katika bajeti hiyo, serikali imepanga kufuta msamaha wa kodi kwenye kiinua mgongo cha wabunge, kuongeza ushuru wa namba binafsi za magari na kuongeza tozo ya asilimia 10 katika miamala ya simu...
09Jun 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Akiwasilisha hotuba yake bungeni mjini hapa jana kuhusu hali ya uchumi mwaka 2015 na mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka wa fedha 2015/16, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, alisema ni...

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango

09Jun 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, alisema hayo jana wakati akiwasilisha bungeni mjini hapa taarifa ya hali ya uchumi ya mwaka 2015 na mpango wa maendeleo wa taifa kwa mwaka wa fedha 2016...
09Jun 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, alisema hayo wakati akiwasilisha bungeni mjini hapa jana taarifa ya hali ya uchumi ya mwaka 2015 na mpango wa maendeleo wa taifa kwa mwaka wa fedha 2016...

Rais John Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wabunge

09Jun 2016
Restuta James
Nipashe
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2016/17 bungeni mjini Dodoma jana, alisema nia ya kufanya hivyo ni kuleta tija kwa...
09Jun 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Inajiandaa kuweka kambi nchini kwa ajili ya mchezo wa kwanza Kombe la Shirikisho ugenini Algeria...
Yanga iko Kundi A, na mchezo wake wa kwanza wataifuata Mouloudia Olympique Bejaia (Mo Bejaia) Juni 17, mwaka huu. Katika kundi hilo, pia wamo TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC...

Boniface 'Master' Mkwasa

09Jun 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana jijini Dar es Salaam, Mkwasa alisema kuwa bado hafahamu mustakabali wake na timu hiyo baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Misri na kuzima 'ndoto' za...

kocha mkuu wa timu ya soka ya Mtibwa Sugar, Mecky Mexime

09Jun 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Ni baada ya Simba na Yanga kuanza kusajili wachezaji wa timu hiyo huku wengine wakitajwa pia wako kwenye mazungumzo...
Tayari wachezaji wawili wa kikosi cha kwanza cha Mtibwa Sugar wametajwa kukihama kikosi hicho, akiwamo mshambuliaji Shiza Kichuya aliyejiunga na Simba, huku beki Vicent Andrew akisajiliwa na mabingwa...

STRAIKA wa kimataifa wa Azam FC kutoka Burundi, Didier Kavumbagu

09Jun 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana kwa njia ya simu kutoka jijini Mbeya, Katibu Mkuu wa timu hiyo, Emmanuel Kimbe alisema lengo la kumsajili Kavumbagu ni kutaka kuboresha kikosi chao. "Bado...
09Jun 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Hayo yalibainishwa jana bungeni mjini hapa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mipango, wakati akiwasilisha taarifa ya Hali ya Uchumi ya mwaka 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa ya mwaka 2016...
09Jun 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Mbali na maelezo hayo, Rais Magufuli alisisitiza kwa kusema: “Kodi ni kitu cha muhimu hata kwenye maandiko matakatifu wamesema tulipe kodi, ya Kaisari mpe Kaisari ya Mungu mpe Mungu. “Huwezi...

MKUU wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi

08Jun 2016
Said Hamdani
Nipashe
Amesema kufanya hivyo hivyo ni kuwaumiza wananchi wasio na hatia, wakiwamo wafungaji wanaotekeleza ibada hiyo. Zambi alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na wafanyabiashara wanaouza bidhaa za...

Benerdetha Msigwa

08Jun 2016
Margaret Malisa
Nipashe
Mganga huyo, maarufu kama Mayomo, mkazi wa kijiji cha Kitonga kata ya Vigwaza wilayani Bagamoyo, alisema juzi kuwa anataka kufanya hivyo ili jamii itambue uwezo wake. Mpembenwe alisema kwa...

Sheikh wa Wilaya ya Arusha, Abraham Salum wa kwanza kushoto akiwa pamoja na viongozi wa dini mkoa wa Arusha

08Jun 2016
John Ngunge
Nipashe
“Jeshi la Polisi pekee haliwezi kukabiliana na uhalifu bali kwa kushirikiana na viongozi wa dini na wa kisiasa wataweza kuushinda uhalifu,” alisema. Alisema viongozi wa dini na siasa ni wadau...

Pages