NDANI YA NIPASHE LEO

25May 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
*** Sportpesa wamwaga mamilioni kuzirudisha dimbani, Tusker FC, AFC Leopards, Gor Mahia nazo zaja...
Mbali na timu hizo, pia Singida United ya Singida na Taifa Jang'ombe kutoka Zanzibar zinatarajiwa kushiriki mashindano hayo kutoka Tanzania huku Kenya ikiwakilishwa na mabingwa Tusker FC, AFC...
25May 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Kipa chaguo la kwanza wa timu hiyo Mghana Daniel Agyei, alisema jana kuwa wamejipanga kuongeza umakini kwa sababu wanataka kumaliza msimu wa 2016/17 kwa furaha. Hata hivyo, Agyei alisema mchezo...
25May 2017
Margaret Malisa
Nipashe
Wakati wapasuaji wako 16 tu, serikali kuwatumia pesa wagonjwa kwa simu
Pia kuna wastani wa kila mwanamke anayefariki kutokana na matatizo ya uzazi, kuna wengine 20 wanaobakiwa na madhara ya kiafya, baada ya kujifungua, ikiwamo ugonjwa wa Fistula. Ni taarifa...
25May 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO), zinaonyesha wanawake 207 kati ya 100,000 duniani wanafariki kila mwaka kutokana na madhara ya ujauzito au wakati wa kujifungua. Pia, watoto wachanga...
25May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Zipo sababu mbalimbali zinazoweza kusababisha kukosa hamu ya chakula na pale inapotokea mama anapaswa kuwa mtulivu na makini katika kuchunguza nini kinaweza kuwa chanzo cha mtoto kukosa hamu ya kula...

Ofisa Misitu wa Wilaya ya Kondoa, Emmanuel Kasisi.

25May 2017
Beatrice Philemon
Nipashe
Akielezea ni kwa kiwango gani halmashauri ya wilaya ya Kondoa imeweza kubadilisha baadhi ya mifumo ya kiutawala katika usimamizi shirikishi wa misitu, Ofisa Misitu, Wilaya ya Kondoa, Emmanuel...
25May 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mwitikio wa Kitaifa wa Tume hiyo, Audrey Njelekela, alitoa kauli hiyo mjini hapo katika kikao cha wadau wa mapambano dhidi ya Ukimwi. Alisema kufuatia mchakato wa...
25May 2017
Rose Jacob
Nipashe
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Dk. Leonard Subi, alitoa tahadhari hiyo wakati wa mafunzo ya kudhibiti ugonjwa wa Ebola yaliyofanyika jijini hapo, yakiwa na lengo la kutoa elimu kwa wakazi wa mkoa huo...
25May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Diwani huyo, Mgendi Patrick (56), alifunguliwa mashtaka na kufikishwa jana katika Mahakama ya Halmashauri ya mji wa Bunda na waendesha mashtaka wa Takukuru, Erick Kiwia na Florida Mutalemwa....
25May 2017
Mary Mosha
Nipashe
Ushauri huo ulitolewa na Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Dk. Twalib Kidaya, baada ya kupokea vifaa maalumu kwa ajili ya miradi ya kilimo katika eneo hilo. “Tanzania ina kila kitu kinachohitajika...
25May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kamishna wa Madini nchini, Benjamin Mchampaka, alisema elimu hiyo itawasaidia usalama wao na migodi na hivyo kuepusha ajali. Alisema sekta ya madini inakua kwa kasi kutokana na madini kugunduliwa...

Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga.

24May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hatua hiyo imekuja baada ya wanafunzi watatu kufariki maji na watoto wengine 24 wa shule ya msingi kuzama majini katika Kijiji cha Butwa, wilayani Geita. Watoto ambao walifariki ni Kumbuka Bruno...
24May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ombi hilo limesababisha 'zogo' bungeni huku baadhi ya watunga sheria hao kusema hawatakubali kukatwa posho zao kwa kuwa rambirambi zimekuwa zikielekezwa kutekeleza miradi ya Serikali. Katika hatua...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba.

24May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwigulu aliyasema hayo leo Bungeni mjini Dodoma wakati akitoa maelezo juu ya matukio yanayoendelea mkoa wa Pwani. Alisema kuwa kamata kamata itaendelea katika wilaya za Kibiti, Mkuranga na Rufiji...
24May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rais Magufuli alifichua siri hiyo leo Ikulu jijini Dar es salaam wakati akipokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa Dhahabu. Alisema alichukua uamuzi huo kutokana na Profesa huyo kueleza Kamati ya...
24May 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Baada ya kumalizika kwa kikao cha Bunge siku hiyo kilichokuwa kinajadili makadirio ya bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa mwaka ujao wa fedha, Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge, alitangaza...

Mwakilishi Mkazi wa UN nchini, Alvaro Rodriguez.

24May 2017
Prosper Makene
Nipashe
Tanzania kwa sasa inatekeleza mkakati wa kuingia uchumi wa kati kupitia ujenzi wa viwanda. Hayo yalisema jijini Dar es Salaam na Mwakilishi Mkazi wa UN nchini, Alvaro Rodriguez, wakati wa...
24May 2017
Jackson Kalindimya
Nipashe
Hii ni kutokana na ukweli kuwa maji ni uhai.Eneo lisilo na maji ni vigumu sana viumbe hai kuishi.Maisha hufanana na kifo au kukaribia kifo. Kufuatia mvua kubwa zinaoendelea kunyesha sehemu...
24May 2017
Salome Kitomari
Nipashe
JPM kukabidhiwa taarifa ya kila kilichomo kwenye makontena yasafirishwayo majuu
Hatimaye kitendawili kuhusiana na kilichomo ndani ya makontena ya mchanga wa dhahabu yanayosafirishwa na kampuni za madini kwenda ughaibuni, kinatarajiwa kuteguliwa leo, wakati tume iliyoundwa na...
24May 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Majeruhi Doreen Mshana, Wilson Tarimo na Sadia Ismail walinusurika katika ajali iliyosababisha vifo vya wanafunzi 32 na wafanyakazi watatu wa shule hiyo iliyotokea Mei 6 katika eneo la Malera...

Pages