NDANI YA NIPASHE LEO

22Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Nation wafuasi wa kiongozi wa muungano wa Nasa Raila Odinga waliandamana ili kuonyesha kutoridhishwa kwao na uamuzi huo. Maandamano hayo yalibadilika na kuwa ya...
22Nov 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Nachuma ni mmoja wa Wabunge machachari ambaye hata hivyo katika mgogoro wa kiuongozi unaoendelea ndani ya chama chake, yuko upande wa Mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba. Ikumbukwe...
22Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mnangagwa anatarajiwa kuwa rais ajaye wa Zimbabwe. Amesema alitorokea nje ya nchi wiki mbili zilizopita baada ya kubaini kuwa kuna njama za kumuua. Rais Mugabe anakabiliwa na shinikizo kutoka kwa...

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.

22Nov 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Simba ambaye aliwahi pia kushikilia nafasi kadhaa za uwaziri katika utawala wa serikali ya awamu ya nne, alikuwa akimuunga mkono Lowassa bila kificho katika harakati zake za kutimiza ndoto ya ‘safari...

KOCHA wa Yanga, George Lwandamina.

22Nov 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
***Lwandamina asema uwapo wao utaongeza makali Jumamosi na kuwapa uhakika …
Baada ya ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Mbeya City Jumapili iliyopita, Yanga inayodhaminiwa na Kampuni ya Kubashiri Matokeo Michezoni ya SportPesa, sasa imeelekeza nguvu zake kwenye mchezo huo...

WAZIRI UMMY MWALIMU.

21Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dk. Kazaura aliyasema hayo alipokuwa akitoa taarifa za hali halisi ya ugonjwa wa homa ya ini katika Hospitali ya Rufani ya Mtakatifu Gaspari katika kipindi cha kuanzia mwaka 2015/2016 hadi mwaka 2017...
21Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yamo kwenye risala ya Hospitali ya Rufani ya Mtakatifu Gaspari na Chuo cha Uuguzi iliyosomwa na Mwalimu Muuguzi, Epafradito Frank kwa mgeni rasmi wakati wa kilele cha maadhimisho ya sikukuu ya...

Robert Mugabe

21Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Zimbabwe imekuwa katika presha kwa siku kadhaa baada ya wanajeshi wa nchi hiyo kumweka kizuizini Rais Mugabe huku wakifanya utaratibu wa kumtaka aondoke madarakani. Barua ya kujiuzulu kwake...

Edwin Rutageruka.

21Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
21Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwenyekiti wa mamlaka ya mji huo, Adam Kobelo, akizungumza katika kikao cha Baraza la Mamlaka hiyo, alisema kiasi cha Sh. 7,000 kinachotozwa kwa kilo moja ni kikubwa na kinamuumiza mlaji.  Alisema...

Waliokuwa wanachama wa vyama vya upinzani wakiwasili ukumbuni kuomba ridhaa ya kurudi CCM.

21Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tofauti na Profesa Mkumbo aliyekuwa kada wa ACT, pia wengine waliotangazwa kuhamia CCM ni Mwenyekiti wa Bavicha, Patrobas Kitambi , Lawrence Masha, Samson Mwigamba, Edna Sunga na Albert Msando....

Mwenyekiti wa UWT Sophia Simba.

21Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Uamuzi huo umetolewa leo Novemba 21, 2017 baada ya Sophia Simba kuandika barua ya kuomba radhi kuomba kurudishwa kwenye chama ambapo barua hiyo imesomwa mbele ya kikao hicho na Rais Magufuli. "...
21Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Sasa endelea na sehemu ya pili ya makala hii ambapo mada ya leo inajikita jinsi ya kutambua vipaji vyetu na vya watoto wetu: JINSI YA KUTAMBUA KIPAJI CHAKO HII ni mada pana sana ila kwa leo...

wanafunzi wa shule hiyo.

21Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hoja hiyo inatolewa kwa niaba yao na Mwalimu Method Pastory katika mahojiano yaliyofanyika shuleni hapo, kubaini stadi, mbinu na mazingira yaliyosababisha kuwa miongoni mwa ‘kumi bora’ katika matokeo...
21Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Alielimisha kuwa ukaguzi huu hukusudia gari liweze kufanyiwa ukaguzi kwa nia ya kufahamu ikiwa lina hitilafu yoyote ili mmiliki wake aweze kulifanyia marekebisho kulingana na ubovu uliogundulika...

KOCHA wa Mbeya City Ramadhan Nsanzurwimo.

21Nov 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Mbeya City juzi ilikutana na balaa hilo kwenye Uwanja wa Uhuru jijii Dar es Salaam, hicho kikiwa kipigo cha pili kwenye mechi mbili mfululizo ikiwa ni baada ya wiki iliyopita kuchapwa bao 1-0 na...

Makamu Mwenyekiti wa SIREFA , Omari Hamisi.

21Nov 2017
Jumbe Ismaily
Nipashe
Aidha, kamati hiyo ya utendaji pia imetoa muda wa siku 14 kwa katibu huyo kujieleza sababu zilizochangia kushindwa kutekeleza majukumu yake ya kikatiba tangu alipochaguliwa. Akithibitisha...

MKUU wa mkoa wa Dodoma Dk. Binilith Mahenge.

21Nov 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Dk. Mahenge alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wafanyakazi wa halmashauri hiyo katika ziara yake ya kujitambulisha kwa wananchi wa Mkoa wa Dodoma. Alisema ukusanyaji wa mapato uliopo sasa...

Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Mhandisi Richard Luyango.

21Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Agizo hilo limefuatia malalamiko ya wakulima waliojisajili katika mfumo ulioanzishwa, wenye lengo la kusaidia wakulima, wafugaji na wajasiriamali wa mkoa huo, kutatua changamoto na utambuzi wa...
21Nov 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Akizungumza jana, baada ya kutembelea eneo lenye mgogoro na kuzungumza na pande zote mbili, Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Sitaki, alimwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya hiyo kutoa...

Pages