NDANI YA NIPASHE LEO

20Sep 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Wengi wao walikuwa wakihusisha ugumu huo wa maisha na mipango ya serikali isiyotekelezeka na hasa katika ubunifu wa ajira, utawala bora na kukosekana kwa uwazi katika uwajibikaji kwenye vyombo vya...

Msajili wa Hazina, Dk. Oswald Mashindano.

20Sep 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Msajili wa Hazina, Dk. Oswald Mashindano, alisema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati akihojiwa na waandishi wa habari huku akisema kuna baadhi ya wajumbe wa bodi hawana weledi katika ufanyaji kazi...

Mkurugenzi wa Utekelezaji na Utawala wa SportPesa Tanzania, Tarimba Abbas.

20Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki, Mkurugenzi wa Utekelezaji na Utawala wa SportPesa Tanzania, Tarimba Abbas, alisema kampuni hiyo itaendelea kushirikiana na serikali kuhakikisha...

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Abdallah Bulembo.

20Sep 2017
Joseph Mwendapole
Nipashe
Bulembo alitangaza jana akirejea uamuzi wake wa awali kwa kutowania nafasi hiyo licha ya kwamba baadhi ya wazee ndani ya CCM walidaiwa kumtaka abadilishe uamuzi wake huo. Akizungumza na waandishi...
20Sep 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Tamasha hilo limepangwa kufanyika Jumamosi ijayo kwenye Uwanja wa Chuo cha Sheria Ubungo. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa kituo hicho, Andrew Mwangomango, alisema bonaza hilo...
20Sep 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Fedha hizo zimekusanywa katika operesheni iliyofanyika Septemba 15 hadi jana ambayo ilihusisha kukamata magari binafsi, pikipiki na mabasi ya abiria maarufu kama daladala. Kamanda wa Kanda hiyo,...

wazabuni.

20Sep 2017
Nipashe
Hayo yalielezwa na Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia ujenzi wa mradi huo, Mhandisi Leonard Masanja, wakati wa mkutano na wazabuni hao uliofanyika jijini Dar es Salaam, Jumatatu. Mkutano huo...

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk. Adelhelm Meru.

20Sep 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Viwanda hivyo ni miongoni mwa 56 ambavyo vimekufa na kushindwa kuzalisha, kati ya viwanda 156 vilivyobinafsishwa na serikali miaka 15 iliyopita. Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na...
20Sep 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Alikuwa na ndoto za kusomea Shahada ya Uzamivu katika Sheria za Ardhi
Ingawa Jaji Mkuu Profesa Juma amekuwa katika mhimili huo wa nchi kwa muda mrefu, lakini anakabiliwa na changamoto nyingi ambazo zimesababisha wananchi walio wengi wasiwe na imani na mhimili huo....

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa.

20Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Majaliwa alitoa agizo hilo jana wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wafanyakazi wa kiwanda cha kutengeneza sabuni ya unga cha Keds kilichopo Kibaha na kiwanda cha kutengeneza vigae cha Twyford...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe (kushoto), akionyesha eneo lililolimwa na wananchi ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Arusha.

20Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Prof Maghembe aliitaka Tanapa, kupitia uongozi wa hifadhi hiyo, kuhakikisha watu waliolima ndani ya eneo la hifadhi hiyo kinyume cha sheria kung’oa mazao yao pamoja na kusitisha kabisa shughuli...

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbas.

20Sep 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Uamuzi huo ulitangazwa jana jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbas. Utekelezaji huo pia huo ulianza jana. Dk....

mwenyekiti wa Kamati ya Maboresho ya Elimu kutoka Asasi ya Kuunganisha Vijana Kimaendeleo Ruangwa (Akuvikiru), Mussa Mchupila akitoa elimu kwa wakazi wa Kijiji cha Mkaranga. PICHA: SABATO

20Sep 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mojawapo ya changamoto hizo ni ufujaji wa fedha za umma unaoweza kufanywa na watendaji wasio waaminifu, kwa sababu ya kutokuwapo kwa ufuatiliaji wa rasilimali za umma (Pets), unaopaswa kufanywa na...
20Sep 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Wote hawa wanatamani serikali iwajengee nyumba, lakini hili la Mkuranga linashangaza ni kitendo kinachotia uchungu, pale wajanja wanapotumia zaidi ya Sh.mil. 300 kujenga nyumba kwenye eneo la mkondo...
20Sep 2017
Mhariri
Nipashe
Mpango huo ulioanza kutekelezwa mwaka jana, lengo lake lilikuwa kuhakikisha kila mtoto anapata fursa ya kupata elimu kuanzia shule ya msingi hadi sekondari. Kabla ya kuanza kutekelezwa, watoto...
20Sep 2017
Theodatus Muchunguzi
Nipashe
Tangu aingie madarakani taktibani miaka miwili sasa, amechukua hatua kadhaa za kuhakikisha kwamba mapato ya serikali yanaongezeka sambamba na kuweka nidhamu katika matumizi ya fedha za umma....
20Sep 2017
Steven William
Nipashe
Tukio hilo lilitokea  juzi jioni eneo la Buhuri Kata ya Mtindiro. Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga, Benedict Wakulyamba, alisema Yasin alikwenda katika bwawa hilo la kuhifadhi maji kwa lengo la...

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla.

20Sep 2017
Ibrahim Yassin
Nipashe
Makalla alifanya ziara ya siku moja juzi wilayani humo, ambapo alikagua ujenzi wa barabara kutoka Kikusya-Matema inayoendelea kujengwa kwa kiwango cha rami na baada ya hapo alikwenda uwanja wa Siasa...

ZITTO KABWE, AKIANGALIA NYUMBA YAKE ILIYOUNGUA MOTO.

20Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Jumamosi iliyopita, nyumba ya Zitto iliyopo Mwandiga mjini Kigoma iliungua moto ulioteketeza kila kitu kilichokuwamo wakati kiongozi huyo wa Chama cha ACT-Wazalendo akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
20Sep 2017
Flora Wingia
Nipashe
Mada kuu ilijikita kwenye swali lililouliza;- Mfumo wa sasa wa kupiga kura kupitisha bajeti ya serikali, una tija kwa wananchi? Mwongozaji wa kipindi alikuwa Jacquline Selemu akiwa na wageni...

Pages