NDANI YA NIPASHE LEO

Fid Q.

27May 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Burandani hizo zitaenda sambasamba na utoaji wa elimu kwa wananchi juu ya uhuru wa kutuma pesa bila mipaka kupitia mitandao mbalimbali ya simu nchini. Akizungumza na waandishi wa habari jana...

Meneja wa Kampuni ya bia Tanzania (TBL)wakala wa kuwaunganisha wateja Afrika Mashariki, George Kavishe.

27May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Meneja wa Kampuni ya bia Tanzania (TBL)wakala wa kuwaunganisha wateja Afrika Mashariki, George Kavishe, alisema mashabiki hao sita ni sehemu ya mashabiki 30...
27May 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Wabaini Yanga kuisaidia Mbao iwatibulie mchezo wa leo
Hata hivyo taarifa zilizopatikana jana mjini hapa, viongozi wa Simba wameshtukia 'janja' ya Yanga kutaka kuwasaida wapizani wao leo hivyo wameweka mikakati kuzuia hujuma yoyote itakayowakwamisha...
27May 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo, alisema hayo bungeni mjini hapa, alipokuwa akijibu swali Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Joyce Sokombi...
27May 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof.Jumanne Maghembe, alisema bungeni jana. Alisema hayo alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Bunda Mjini (Chadema), Ester Bulaya. Bulaya alitaka kujua serikali...

MKUU wa Mkoa wa Manyara, Dk. Joel Bendera.

27May 2017
Jaliwason Jasson
Nipashe
Akizungumza katika mkutano maalumu wa Chama cha Wafanyabiashara, Wakulima na wenye Viwanda (TCCIA), mkoani hapo juzi. Bendera alisema kodi hizo zinawaumiza wafanyabiashara.Mkutano huo ulibaini kwa...

Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Theresia Mahongo.

27May 2017
John Ngunge
Nipashe
Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Theresia Mahongo, alisema hayo katika maadhimisho ya Wiki ya Elimu iliyofanyika katika Shule ya Tumaini Junior. Aliwaonya baadhi ya wazazi wanaomaliza kifamilia mashauri...
27May 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Hatua hiyo inatokana uamuzi wa hivi karibuni wa serikali kuruhusu kiwanda hicho kuingia mikataba ya ubia na wadau watakaojitokeza kuwekeza katika uendelezaji wa zao hilo ikiwamo kuongezwa kwa viwanda...
27May 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Mkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu, alisema ongezeko hilo limetokana na usimamizi mzuri wa idara husika pamoja na serikali katika kuhakikisha wananchi wanaendelea kupata dawa na matibabu ya...
27May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, Valerian Juwal, alisema fedha hizo ni sehemu ya asilimia tano ya mapato ya ndani ya halmashauri yanayotengwa kwa ajili ya makundi ya vijana na wanawake. “...

Selemani Jafo.

27May 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akikagua ujenzi wa daraja hilo, kufuatia maagizo aliyoyatoa mwezi Februari, mwaka huu, baada ya kutembelea na kukuta kukiwa na kasi ndogo ya ujenzi. Kufuatia...
27May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ndiyo maana leo, makala hii ya Mionzi ya Sheria inaporudi ulingoni napenda kuzungumzia suala la fidia ya ardhi. Hii ni stahili ambayo mwenye ardhi analipwa pale ardhi yake inapotwaliwa iwe kwa...
27May 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Wengi walisikika wakitukana matusi ya nguoni ambayo pamoja na ulevi wangu siwezi kuyarudia. Kisa chenyewe kilianza pale ilipogundulika kuwa moja ya vitabu hivi hatarishi kimeandika eti Dodoma is...

mtungi.

27May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Leo katika safu hii tuutazame mtungi ambao unaelekea kutoweka ni maeneo macheche ya Tanzania Bara na Zanzibar kwenye familia chache, ambazo huutumia kuhifadhi maji. Hapa Zanzibar kwa muda mrefu...
27May 2017
Vivian Machange
Nipashe
Kwenye ngazi ndiko unakopitia kwenda maeneo mengine ndani ya nyumba hasa pale inapokuwa ni ya ghorofa au ina mifumo ya kushuka chini kwenye basement. Mbali na hilo, muundo wa ngazi pia unahusika...
27May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ndiyo maana wakati mwingine kuna maelezo kuwa mwarobaini ni tiba ya malaria, ini, tumbo na pia mbegu zake na juisi ya majani huzalisha viautilifu. Lakini, yote tisa kumi kuna mzeituni mti...
26May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalibainishwa jana Bungeni na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Kaliua(CUF), Magdalena Sakaya. Sakaya alitaka kujua ni ajali ngapi za...
26May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kamati ya Saa 72 imekaa kupitia mambo mbalimbali na moja ya uamuzi wake ni kuhusiana na wachezaji wa timu hiyo kumuangusha mwamuzi wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbao FC na imewamua...
26May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook na kueleza kuwa watoto hao, Sadia Ismael na Wilson Tarimo waliokuwa wamelazwa katika hospitali ya...

‘Pedeshee Ndama Mtoto wa Ng’ombe’.

26May 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Ndama alifanya hivyo jana baada ya upande wa Jamhuri kumsomea maelezo ya awali ya kesi ya kutakatisha dola za Marekani 540,000 mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Victoria Nongwa. Wakili wa Serikali...

Pages