NDANI YA NIPASHE LEO

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Luhaga Mpina.

22Sep 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Luhaga Mpina alitoa amri hiyo juzi wakati akiendelea na ziara ya ukaguzi wa viwanda katika eneo la Mikocheni, Manispaa ya Kinondoni, ili...

lori la Dangote.

22Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa ya Kamishna wa Utawala na Fedha, Peter Gochero kwa vyombo vya habari ilisema jana kuwa wahamiaji haramu hao walikutwa katika lori lenye namba za usajili T181 DKB likiwa na tela lenye namba za...

Kijana Kelvin akiwa katika ndege iliotumika kumsafirisha hadi shule ya upili aliyojiunga nayo.

22Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kelvin Muriuki alikuwa bora katika shule yake katika mtihani wa mwisho wa shule za msingi, lakini umasikini ukamlazimu kufanya kazi katika timbo, familia yake imesema. Muungano huo wa maafisa wa...
22Sep 2017
Mhariri
Nipashe
Nchi yetu ina madini mengi na ya thamani kwa kutaja baadhi tuna dhahabu, almasi, urani, tanzanite, makaa ya mawe na mengine mengi. Pia kuna mifugo, misitu, mabonde, mbuga za wanyama, mito, maziwa,...
22Sep 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Aidha, serikali imeainisha sababu takribani nne kueleza ni kwa nini iko tayari kutekeleza wajibu huo kwa kumpeleka Lissu katika hospitali yoyote ile duniani pindi familia yake ikiridhia, ikiwamo...
22Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Mbao wavunja rekodi ya kipa Manula ya kucheza dakika 316 bila kufungwa msimu huu...
Sare hiyo ni ya pili kwa msimu huu ambayo sasa imefikisha pointi nane na ikikaa kwenye nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi hiyo huku ikiwa ya kwanza kwa Mbao ambayo ilipanda daraja katika msimu wa...
21Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tukio hilo limetokea jana majira ya saa 2; 30 usiku wakati mwanamke huyo akiwa na mumewake nyumbani kwao, gafla simu ya mwanaume iliita ndipo mkewe akaichukua na kupokea,... akasikia sauti ya...

Mbunge wa Bukoba Mjini-Chadema, Wilfred Lwakatare.

21Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba amewaachia huru washtakiwa hao leo Septemba 21 mara baada ya Wakili wa Serikali Mwandamizi, Kishenyi Mutalemwa kuomba kesi hiyo ifutwe chini ya kifungu cha 91(1) cha...
21Sep 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Kwa mujibu wa Katibu Mwenezi Taifa wa ACT- Wazalendo, Ado Shaibu, amesema Zitto alisafirishwa kwa gari kutoka Dar es salaam  saa kumi alfajiri na kufika Dodoma saa tatu asubuhi."Zitto...
21Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mratibu mkazi wa umoja wa mataifa nchini, Alvaro Rodriguez amesema mpango huo wa miaka minne utasaidia kurekebisha mazingira, utamaduni na uchumi na utatoa fursa kubwa kwa wanawake na vijana kujenga...

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu.

21Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yameelezwa leo Septemba 21 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoni Tanga. Waziri Mwalimu amesema...

Freeman Mbowe akiwa na Lazaro Nyalandu nchini Kenya.

21Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Nyalandu amekuwa akifuatilia ripoti ya madaktari wa Lissu ili kuangalia uwezekano wa kumsafirisha kwenda Marekani kwa madaktari bingwa ili aweze kuendelea na matibabu.Kupitia akaunti yake ya facebook...

Zitto Kabwe.

21Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hata hivyo amewataka wanachi na wanachama wa chama hicho kuwa watulivu katika kipindi hichi ambacho kiongozi wao yupo chini ya ulinzi.Kupitia ukurasa wao wa Chama katika mtandao wa kijamii ameandika...

Rais Dkt. John Magufuli akiagana na wananchi baada ya kuzindua barabara ya lami ya kilomita 26 kutoka Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA) katika mkoa wa Kilimanjaro hadi Mererani mkoani Manyara leo Septemba 20, 2017.

21Sep 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Rais Magufuli alisema hayo wakati wa uzinduzi rasmi wa barabara ya lami ya kilomita 26 kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mkoani Kilimanjaro hadi mji mdogo wa Mirerani jana...

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude.

21Sep 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Katika michezo mitatu msimu huu, Mkude amecheza mmoja tu akitokea benchi wakati Simba ikiumana na Mwandui FC. Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili jana, Mkude alisema kupoteza namba kwenye...

Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya UBA, Peter Makau.

21Sep 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya UBA, Peter Makau, wakati wa uzinduzi wa kituo hicho alisema lengo lao ni kuboresha huduma kwa wateja ili...
21Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Msemaji wa klabu hiyo, Onesmo Ndunguru, alisema tayari wameweka mkakati wa kukusanya michango kupitia namba za simu ili kukabiliana na ukata ndani ya klabu hiyo. Hivi karibuni klabu hiyo iliingia...

KIUNGO wa Yanga, Thabani Kamusoko.

21Sep 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Kamusoko aliukosa mchezo uliopita dhidi ya Majimaji kutokana na maumivu, lakini Meneja wa klabu ya Yanga inayodhaminiwa na Kampuni ya Kubashiri Matokeo ya SportPesa, Hafidh Saleh, amethibitisha...

wasichana wakifanya mazoezi.

21Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Lakini zaidi, vitambi vinavyoonekana kwa wanawake wengi vinatokana na wingi wa mafuta tumboni. Tuliona visababishi na pia namna ya kuondokana na tatizo hilo.Leo tunaendelea kuona vitu unavyoshauriwa...
21Sep 2017
Rose Jacob
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili, Meneja wa kiwanda cha kusindika nafaka na  mazao mchanganyiko kilichopo mkoani Mwanza, Kurwa Rwegasila, alisema wakulima 23,000 watauza mazao yao katika kiwanda hicho...

Pages