NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

George Lwandamina.

08Oct 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
***Tatizo ni hesabu za nafasi kuelekea kuivaa Kagera Sugar...
Yanga inayodhaminiwa na Kampuni ya Kubashiri Matokeo ya SportPesa, ina pointi tisa katika nafasi ya sita wakati wapinzani wao Simba ambao wana pointi 11 sawa na Azam FC na Mtibwa Sugar ndio wako...
08Oct 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Ngambi Robert ndiye aliyefunga bao kwa upande wa Malawi katika dakika ya 35 akipiga mpira mrefu uliomshinda kipa Aishi Manula kuudaka. Taifa Stars ilisawazisha bao hilo kupitia kwa Simon Msuva...
08Oct 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Asasi ya kiraia ya kisheria inayojishughulisha na masuala ya kisheria na kijamii mkoani hapa ndiyo inatekeleza mradi wa kupiga vita na kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia, imani potofu na...
08Oct 2017
Ashton Balaigwa
Nipashe Jumapili
Licha ya mwaka jana serikali kuanzisha kampeni ya madawati shule hiyo haina madawati hadi sasa na jitihada zinafanyika kuwaomba wadau kusaidia. Maguruwe iliyoko wilayani Mvomero, mkoa wa Morogoro...

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk. Charles Tizeba.

08Oct 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Aidha, serikali imesema haijapiga marufuku kusafirishwa kwa nafaka nje ya nchi, bali kinachotakiwa ni kwa mazao hayo kuongezwa thamani kabla ya kusafirishwa. Hayo yalisemwa juzi jijini Dar es...
08Oct 2017
Robert Temaliwa
Nipashe Jumapili
Sambamba na hiyo, ameipongeza Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya kutokana na juhudi kubwa inazozifanya katika kuhubiri upendo na amani muda wote kwa wanaumini wao bila kuchoka. Akizungumza juzi...
08Oct 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ombi hilo lilitolewa juzi na Katibu wa Kikundi cha Ujasiriamali cha Maendeleo ya Wanawake, Watoto na Wazee (Mfumawamta) kilichoko Kundunchi Mtongani katika Manispaa ya Kinondoni, Seleman Nassoro,...
08Oct 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Mabadiliko hayo ya jana ni makubwa ya kwanza kufanyika tangu Rais alipotangaza baraza lake la kwanza Desemba 10, 2015 baada ya kuingia madarakani. Hata hivyo alifanya mabadiliko madogo kujaza...
08Oct 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa taarifa za Kikosi cha Usalama Barabarani faini hizo zimesaidia kupunguza ajali pamoja na baadhi ya madereva kufuata sheria bila ya kushurutishwa. Pamoja na jitihada hizo, lakini...
08Oct 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa taarifa yao iliyotolewa jana na taasisi hiyo, ni watoto tisa kati ya hao ndio waliofanyiwa operesheni iliyohusisha ufunguaji wa kifua. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kwa Watoto...

Mwenyekiti wa Jukata, Dk. Hebron Mwakagenda.

08Oct 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Aidha, jukwaa hilo limesema kuna haja ya kuyaweka kwenye Katiba mambo makubwa ambayo Rais ameyafanya ili nchi na Watanzania wa kizazi hiki na kijacho wanufaike. Hayo yalisemwa jana jijini Dar...

MWENYEKITI wa Baraza la Mchele nchini, Julius Wambura.

08Oct 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Wambura aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa kufungwa kwa Kongamano la Baraza la Nafaka Afrika Mashariki (EABC). Alisema Afrika bado inaagiza chakula kingi kutoka nje ya nchi licha ya...
08Oct 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa wataalamu, walaji wa bamia hunufaika kwa kupata utitiri wa viinilishe vilivyomo kwenye zao hilo, ambavyo mwisho wa siku humpatia mlaji faida za kiafya takribani 20, ikiwamo ya kuongeza...

Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.

08Oct 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Taarifa iliyosambazwa kwa vyombo vya habari na Idara ya Habari-Maelezo jana, ilieleza kuwa msimamo huo uliotolewa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na...
08Oct 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Uchambuzi uliofanywa na Nipashe kwa kutumia taarifa zilizofichuliwa na Rais John Magufuli kuhusiana na tanzanite pamoja na taarifa za masoko mbalimbali ya madini hayo, umebaini kuwa hivi sasa...
08Oct 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Kairuki aliyekuwa Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora), aliteuliwa kuwa Waziri wa Madini katika mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa...

Gari la watafiti walilokuwa wakilitumia likiwa limechomwa moto. picha: maktaba

01Oct 2017
John Ngunge
Nipashe Jumapili
Mauaji ya watafiti hao Theresia Nguma, Faraji Mafuru na Nicas Magazini, yalifanyika Oktoba mosi, mwaka jana, baada ya baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Iringa-Mvumi wilayani Chamwino, Mkoa wa Dodoma,...
01Oct 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa kwanza na baadhi ya wanachama na viongozi wa Musoma Municipal TCCIA Saccos juzi, Kaimu Mrajis Msaidizi wa Vyama hivyo mkoani Mara, Richard Majalla, alisema awali...
01Oct 2017
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Ujio wa mradi huo pia utawafanya kuondokana na janga la njaa pamoja na kukuza uchumi katika familia zao. Mradi wa kilimo hicho cha umwagiliaji kijijini humo umefadhiliwa na serikali ya Japan...
01Oct 2017
George Tarimo
Nipashe Jumapili
Aidha, amesema imechangia asilimia 25 ya fedha zote za kigeni zilizokusanywa mwaka jana na kwamba ndiyo iliyoingiza mapato makubwa kuliko sekta nyingine nchini. Waziri Maghembe aliyasema hayo...

Pages