NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

28Aug 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Kadhalika, watoto hawaruhusiwi kuwekwa kwenye viti vya mbele, lakini hapa nchini watoto wamekuwa wakikalishwa viti vya mbele bila kufungwa mikanda na wazazi wengine huwaweka watoto hao kwenye kiti cha dereva tena chini ya usukani.
Umuhimu wa kumlinda mtoto ulitakiwa kuwa kipaumbele, ndiyo maana katika nchi zilizoendelea watoto wamepewa umuhimu mkubwa na pale wanapokuwa kwenye magari wanawekewa viti vyenye mikanda ya...
21Aug 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Uamuzi huo ni utekelezaji wa agizo walilopewa Julai 18 mwaka huu na Rais John Magufuli, la kuhakikisha kuwa wanabaki na watumishi askari katika kila eneo, lengo likiwa ni kuepuka kuchafuliwa kwa...
21Aug 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Ofisa Uhusiano wa Tazara, Regina Tarimo, alisema jana kuwa kazi ya kuzitambua na kuweka alama nyumba ambazo zinatakiwa kubomolewa kuanzia Dar es Salaam hadi Tunduma mkoani Songwe, ilifanyika kati...
21Aug 2016
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Agosti 16, mwaka huu, Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), kilitangaza maazimio ya kusitisha kutoa huduma ya kusafirisha abiria kwa siku mbili kuanzia leo. Katibu Mkuu wa Taboa, Enea...
21Aug 2016
John Ngunge
Nipashe Jumapili
Ni kawaida kwa waandishi wa habari na wapiga picha kuhudhuria makabidhiano ya ofisi kwa viongozi mbalimbali wapya na wale wanaoondoka, lakini kwa Ntibenda jana haikuwa hivyo. Licha ya shauku ya...
21Aug 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Baada ya muswada wa marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971, kufikishwa bungeni Septemba, mwaka huu na kufanyiwa marekebisho. Aliyasema hayo jana katika uzinduzi wa mradi wa kukusanya nguvu za...
21Aug 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Kero hiyo iliwahi kupigiwa kelele na kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe wakati alipobaini kuwa serikali imeonekana kuwapuuza wawekezaji wazawa na kuwapa kipaumbele wageni kwa vigezo...
21Aug 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Baadhi ya shule zimefanya vizuri na kutoa wanafunzi wa walioongoza kitaifa, lakini asilimia kubwa ya shule hizi zipo taabani kiasi cha wanafunzi kusoma alimradi kusogeza vidato na siyo kuelimika au kufanya vizuri katika mitihani yao.
Yote hayo yamesababisha mazingira magumu kwa walimu na wanafunzi, matokeo mabaya ya mitihani ya kitaifa kwa asilimia kubwa ya wanafunzi wa shule hizo kugeuka wasindikizaji wa wale wanaofanya vizuri...

taswira ya Machinga Complex ikionekana kutoka juu

21Aug 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Hali hiyo inatokana na taarifa kuwa sasa, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imejitosa rasmi katika kuchunguza kwa kina juu ya kila kilichotokea katika sakata hilo linalohusisha...

timu ya serengeti boys.

21Aug 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Serengeti Boys leo inacheza mchezo wa marudiano dhidi ya vijana wenzao wa Afrika Kusini katika mchezo wa kuwania tiketi ya fainali za Afrika kwa vijana zitakazofanyika mwakani, Madagascar....
21Aug 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe Jumapili
Hiyo si bustani iliyopandwa juu ya maji, bali ni misitu ya mikoko iliyostawi katika delta hiyo iliyosambaa kwa upana wa kilomita za mraba 12,000 kutoka maji ya mto huo unapoingia baharini. Misitu...

Mkurugenzi wa kituo hicho, James Bwire.

21Aug 2016
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
Mashindano hayo yamepangwa kuanza Agosti 25 hadi Septemba tatu katika Mji wa Eldoret mkoa wa Bonde la Ufa yakijumuisha nchi za Uganda, Rwanda, Burundi, Sudan kusini, Zanzibar na wenyeji Kenya....
21Aug 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Nilitaja sababu kadhaa na kuainisha nini cha kufanya ambapo niliishia kipengele cha kuhakikisha chumba chake kinajitegemea na ni kisafi, kitanda kimetandikwa vema na kadhalika. Usije ukampayukia...

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji.

21Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Pia imeahidi kuwawezesha wazalishaji na kuboresha ufanisi na tija ili kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi. Hayo yalisemwa jana na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji, wakati...

Bi. Shakila Said.

21Aug 2016
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa mwanae, Shani, mkongwe huyo aliyejipatia sifa lukuki kutokana na uimbaji wake na sauti yake kali na isiyochuja alifariki muda mfupi tu baada ya kumaliza kuswali. Shani alisema kuwa...

rais dkt John Magufuli.

21Aug 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili
Angepatikana Rais ambaye ni mwepesi wa kukubali yaishe wangesema, huyu naye ni ni mzee ruksa”, angechaguliwa mwenye ulemavu wa miguu ungesikia huyu ni “kiwete”. Rais aliyekamilika wanasema, ni...
21Aug 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Julai 18, mwaka huu, Rais Magufuli aliagiza kuwa vikosi vya ulinzi na usalama, likiwamo Jeshi la Polisi, vinapaswa kusafishwa kwa kuwaondoa watumishi ambao si waaminifu, ambao wanadai kuleta taswira...
21Aug 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Madai yao ni chuki na uhasama wa kisiasa na waathirika wakubwa wanadawa kuwa ni wanachama wa CCM. Lakini kilichojiri juzi kinawalazimisha Wazanzibari kubadilika kwani Jumatatu wiki hii kwenye...
14Aug 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Lengo la mpango huo wa Rais Magufuli ni kuona kuwa chama chake kinanufaika na rasilimali tele zilizotapakaa nchini kote ili mwishowe kiepukane na aibu ya kubembeleza wafadhili ili wapate fedha za...
14Aug 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Ndio maana sasa wananchi wengi wanafahamu kuwa ili uzalishaji ufanyike kwa matumaini ya kuwa na maendeleo, lazima ulinzi wa maisha na mali zao kwa kiwango kikubwa utegemee ushiriki wao katika Ulinzi...

Pages