NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

11Jun 2017
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
imebainika kuwa bado kuna baadhi ya maeneo vilevi hivyo vingali vikiuzwa kama kawaida, ikiwamo katika maeneo kadhaa ya jiji la Mwanza. Uchunguzi uliofanywa na Nipashe, umebaini kuwa biashara ya...

Felix Ngamlagosi.

11Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, imesema Felix Ngamlagosi amesimamishwa kazi kuanzia leo tarehe 11 Juni, 2017 na haijaweka bayana sababu ya kusimamishwa...
11Jun 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, ameonya kuwa kamwe kikosi chake hakitaruhusu kuwapo kwa magari kuukuu yenye kuhatarisha maisha ya watu. Mpinga ametoa onyo hilo baada ya...
11Jun 2017
Anceth Nyahore
Nipashe Jumapili
Waliipongeza serikali kwa hatua yake ya kuwakumbuka wafugaji na hatimaye kuwaondolea ushuru wa makanyagio wa kati ya Sh. 2,000 hadi 5,000 kwa mifugo hiyo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na...
11Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
baada ya kushindwa kujenga katika eneo la uwekezaji lilipo kata ya Pongwe nje kidogo ya Jiji la Tanga. Hatua hiyo inafuatia mwekezaji wa kampuni ya Good PM kushindwa kufanya uwekezaji kwenye eneo...
11Jun 2017
Stephen Chidiye
Nipashe Jumapili
Kaimu Ofisa wanyamapori wa Wilaya ya Tunduru, Limbega Ally, alisema uharibifu huo ulifanyika kuanzia mwezi Januari hadi Juni, mwaka huu. Aidha, alisema pamoja na uharibifu wa mazao hayo, watu...
11Jun 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Lengo la fursa hiyo ni kuwawezesha kufanyabiashara bila bugudha na kujipatia kipato kwa maendeleo yao na familia zao. Wafanyabiashara hao maarufu kama ‘machinga’ hutumia maeneo ya wazi na...
11Jun 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Profesa Romanus Ishengoma wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), akiwasilisha mada kuhusu ‘Tanzania bila mkaa na kuni inawezekana’ anasema hali ya kuteketeza misitu nchini ni ya kutisha. “Kila...
11Jun 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Kimara Terminal, kwenye kituo kikuu na daraja la abiria wanaotumia mabasi ya mwendo wa haraka ni sehemu ya mfano, sehemu hii jioni haipitiki kutokana na wamachinga kupanga bidhaa kila mahali kiasi...
11Jun 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samweli Manyele, akiwa katika ziara ya kutembelea Ofisi za Kanda ya Ziwa na ya Kaskazini, anasema mpango uliopo ni kuweka mashine za kisasa za kupimia sampuli...
11Jun 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Fedha hizo, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa wakati wa mkutano wa Chama cha Wabunge cha Kupambana na Rushwa Afrika (APNAC), ni miongoni mwa zile zilizotengwa kwenye bajeti ya kwanza ya uongozi wa...
11Jun 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Usimamizi wa ukusanyaji kodi na matumizi bora ya fedha hizo ni muhimu kwa vile wananchi wanapewa elimu ya kulipa kodi ili wahamasike kuchangia maendeleo yao wenyewe, kwa hiyo baada ya serikali...
04Jun 2017
Robert Temaliwa
Nipashe Jumapili
MKUU wa Wilaya ya Bagamoyo, Majid Mwanga, amewapiga marufuku askari mgambo wilayani hapa wanaokamata pikipiki zinazobeba abiria, maarufu kama bodaboda na kuonya kuwa hiyo si kazi yao. Mwanga...
04Jun 2017
Joctan Ngelly
Nipashe Jumapili
Masawe alihukumiwa kutumikia adhabu hiyo baada ya kupatikana na kosa la kujipatia kiasi hicho cha fedha kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa mtumishi wa mahakama hiyo, Rehema Charles. Alijipatia...
04Jun 2017
Mohab Dominick
Nipashe Jumapili
Meneja wa Tanesco Mkoa Maalum wa Kahama, King Fokanya, alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari na kuongeza kuwa hali hiyo inasababisha shirika kutotekeleza mipango yake...

Makamu mwenyekiti wa chama hicho (Bara), Philip Mangula.

04Jun 2017
Ibrahim Yassin
Nipashe Jumapili
Mangula ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili na Usalama ya CCM Taifa, anatarajia kufanya ziara ya siku moja  Kyela akiwa na viongozi waandamizi wa chama hicho. Mwakifunga, ambaye pia ni...

MKUU wa Mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi.

04Jun 2017
Jumbe Ismaily
Nipashe Jumapili
Nchimbi alitoa agizo hilo alipokuwa akizungumza na wanafunzi wa shule za sekondari wanaoshiriki michezo ya UMISSETA mkoani hapa inayofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari ya Mwenge. “Najua...

SPIKA wa Bunge Job Ndugai.

04Jun 2017
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Spika Ndugai  alitoa kauli hiyo juzi kutokana na kitendo kilichofanywa na Mbunge wa Kibamba na Waziri Kivuli wa Wizara ya Nishati na Madini, John Mnyika (Chadema), kudaiwa kuonyesha utovu wa nidhamu...

JAJI Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, Sam Rumanyika.

04Jun 2017
Joctan Ngelly
Nipashe Jumapili
Rumanyika alitoa rai hiyo jana alipozungumza na mahakimu na watendaji wa mahakama katika eneo la Mahakama ya Mwanzo Mwandiga, wilayani Kigoma. Alisema watumishi wa Mahakama wanapaswa kujua hakuna...
04Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Katika ajali za radi wapo watu wengine wanaoishi bila kujua kuwa wanakaa katika maeneo yanayovuta radi kwa mfano kusimama chini ya miti mirefu, kukaa karibu na redio zinazotumiwa betri...

Pages