NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

11Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
baada ya kushindwa kujenga katika eneo la uwekezaji lilipo kata ya Pongwe nje kidogo ya Jiji la Tanga. Hatua hiyo inafuatia mwekezaji wa kampuni ya Good PM kushindwa kufanya uwekezaji kwenye eneo...
11Jun 2017
Stephen Chidiye
Nipashe Jumapili
Kaimu Ofisa wanyamapori wa Wilaya ya Tunduru, Limbega Ally, alisema uharibifu huo ulifanyika kuanzia mwezi Januari hadi Juni, mwaka huu. Aidha, alisema pamoja na uharibifu wa mazao hayo, watu...
11Jun 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Lengo la fursa hiyo ni kuwawezesha kufanyabiashara bila bugudha na kujipatia kipato kwa maendeleo yao na familia zao. Wafanyabiashara hao maarufu kama ‘machinga’ hutumia maeneo ya wazi na...
11Jun 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Profesa Romanus Ishengoma wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), akiwasilisha mada kuhusu ‘Tanzania bila mkaa na kuni inawezekana’ anasema hali ya kuteketeza misitu nchini ni ya kutisha. “Kila...
11Jun 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Kimara Terminal, kwenye kituo kikuu na daraja la abiria wanaotumia mabasi ya mwendo wa haraka ni sehemu ya mfano, sehemu hii jioni haipitiki kutokana na wamachinga kupanga bidhaa kila mahali kiasi...
11Jun 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samweli Manyele, akiwa katika ziara ya kutembelea Ofisi za Kanda ya Ziwa na ya Kaskazini, anasema mpango uliopo ni kuweka mashine za kisasa za kupimia sampuli...
11Jun 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Fedha hizo, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa wakati wa mkutano wa Chama cha Wabunge cha Kupambana na Rushwa Afrika (APNAC), ni miongoni mwa zile zilizotengwa kwenye bajeti ya kwanza ya uongozi wa...
11Jun 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Usimamizi wa ukusanyaji kodi na matumizi bora ya fedha hizo ni muhimu kwa vile wananchi wanapewa elimu ya kulipa kodi ili wahamasike kuchangia maendeleo yao wenyewe, kwa hiyo baada ya serikali...
04Jun 2017
Robert Temaliwa
Nipashe Jumapili
MKUU wa Wilaya ya Bagamoyo, Majid Mwanga, amewapiga marufuku askari mgambo wilayani hapa wanaokamata pikipiki zinazobeba abiria, maarufu kama bodaboda na kuonya kuwa hiyo si kazi yao. Mwanga...
04Jun 2017
Joctan Ngelly
Nipashe Jumapili
Masawe alihukumiwa kutumikia adhabu hiyo baada ya kupatikana na kosa la kujipatia kiasi hicho cha fedha kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa mtumishi wa mahakama hiyo, Rehema Charles. Alijipatia...
04Jun 2017
Mohab Dominick
Nipashe Jumapili
Meneja wa Tanesco Mkoa Maalum wa Kahama, King Fokanya, alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari na kuongeza kuwa hali hiyo inasababisha shirika kutotekeleza mipango yake...

Makamu mwenyekiti wa chama hicho (Bara), Philip Mangula.

04Jun 2017
Ibrahim Yassin
Nipashe Jumapili
Mangula ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili na Usalama ya CCM Taifa, anatarajia kufanya ziara ya siku moja  Kyela akiwa na viongozi waandamizi wa chama hicho. Mwakifunga, ambaye pia ni...

Dk. Harrison Mwakyembe.

04Jun 2017
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
Leo katika sehemu ya 13 ya ripoti hii, inaelezwa jinsi changamoto hiyo ilivyosababisha athari hasi kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Wizara ya Katiba na Sheria. Akiwasilisha hotuba...

oseph Omog.

04Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Simba chini ya Omog imemaliza msimu wa mwaka 2016/17 kwa kushika nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara na kutwaa taji la Kombe la FA, ambalo limewapa tiketi ya kushiriki michuano ya Kombe la...

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa.

04Jun 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa mwaka 2010 miamala ya kifedha kwenye simu ilikuwa kwenye bilioni lakini sasa imefika trilioni...
04Jun 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ladaiwa ndiyo chanzo taifa kunyonywa, Spika ashtuka, naye akoma kama JPM
Lawama hizo zinaelekezwa kwenye chombo hicho wakati huu ambapo kumekuwa na majibizano makali kuhusiana usafirishaji wa mchanga wa dhahabu ughaibuni. Hivi karibuni, Rais John Magufuli ‘JPM’...
04Jun 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa takwimu za BoT za Februari, 2017,limeliingizia taifa Dola milioni 346.6 karibu Shilingi bilioni 767.4 ikiwa ni makusanyo ya juu zaidi ikilinganishwa na yale ya Dola milioni 185 (...

Simon Msuva.

04Jun 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
***Zamalek yamwekea mkataka wa miaka minne mezani, Yanga yasugua kichwa ikitaka...
Msuva aliibuka mshambuliaji bora msimu uliomalizika sambamba na Abdulrahman Mussa wa Ruvu Shooting, kila mmoja alifunga mabao 14. Taarifa zilizopatikana jijini jana zimeeleza kuwa endapo Msuva...
04Jun 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Baadhi ya wabunge, katika kuchangia hotuba hiyo, walisimama kidete kutaka mikataba hiyo ifumuliwe ili taifa linufaike na rasilimali zake hizo ambazo miongoni mwao walidai zinachotwa na wajanja...
04Jun 2017
Steven William
Nipashe Jumapili
huenda zikapata suluhisho kutokana na Halmashauri ya Wilaya kwa kushirikiana na wananchi kuanza mipango ya ujenzi wa chumba cha upasuaji cha kisasa katika Kituo cha Afya cha Ubwari, kilichoko Kata...

Pages