NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

William Lukuvi

07May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo imechukuliwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, baada ya kubainika kuwa utaratibu wa umilikishaji wa ardhi haukufuatwa. Lukuvi ambaye alikuwa...
07May 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Watu wenye tabia hiyo hutumia mwanya wa kufanya udhalilishaji huo inapotokea usafiri kuwa wa shida na kusababisha msongamano wa watu ndani ya daladala jijini Dar es Salaam na kwingineko. Hulka...

Said Soud,

07May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza jana jijini hapa, Mwenyekiti wa TRFA, Said Soud, alisema lengo kuu ni kutaka kuziongeza klabu za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza kuwa wanachama wa chama hicho. Mwenyekiti huyo alisema...

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu

07May 2017
Jumbe Ismaily
Nipashe Jumapili
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Injinia Godfrey Sanga, aliyasema hayo kwenye kipindi cha maswali ya papo hapo, alipokuwa akijibu swali la Diwani wa Kata ya Ibaga, tarafa ya Kirumi, Salumu...

RC RUVUMA.DK BINILITH MAHENGE

07May 2017
Stephen Chidiye
Nipashe Jumapili
Tukio hilo lilitokea juzi kati ya askari wa Gereza la Mifugo na Kilimo lililoko katika Kijiji cha Majimaji, Tunduru mkoani Ruvuma kati ya saa 1.30 na saa 2:00 usiku, baada ya askari wa kambi...

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein

07May 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Watumishi wa serikali walianza kupokea kima cha chini cha Shilingi 300,000 kuanza mwezi uliopita ukiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais wa Zanzibar ya kupandishwa mishahra aliyoitoa wakati wa...
07May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Safari ya watoto kwa mtihani ilivyoacha makovu ya maisha
Wakati hali hiyo ikitokea, majeruhi watatu ambao kati yao wawili ni wanafunzi, walipokewa katika Hospitali ya Rufani ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru, wakitokea Hospitali Teule ya Karatu majira ya...
07May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ofisa Biashara, Charles Lawrence, alisema hayo jana kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime, Elias Ntiruhungwa, kwenye kikao cha halmashauri kuu cha waendesha bodaboda....

CAG MUSSA ASSAD

07May 2017
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Katika kujiweka sawa na kuondokana na hati hizo, mkoa umepitisha maazimio 21 ambayo yaliwekwa katika mkutano maalumu wa kupokea taarifa ya CAG ya mwaka 2015/2016 uliowahusisha, Mkuu wa Mkoa,...

Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako

07May 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Ni vizuri serikali ikiweka wazi hapa kwamba udanganyifu wa elimu ya juu uko wa aina mbalimbali kwa mfano, kupata cheti batili bila kusoma na wengine kuonekana wana elimu batili na cheti halali...
07May 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Hata hivyo, imebainika kuwa kupanda huko kwa bei kwa sasa kumetokana na viwanda vingi kufunga viwanda kwa ajili ya maandalizi ya uzalishaji wa msimu ujao. Katibu Mtendaji wa chama hicho, Deo...

cag, profesa mussa asad.

30Apr 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Pia amesema kuwa mifumo ya usimamizi na utawala wa fedha iimarishwe pia na utaratibu wa misamaha ya kodi iangaliwe upya kuongeza ufanisi. Prof. Ngowi aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam...

mkuu wa wilaya ya ilala, sophia mjema akizungumza na dereva bajaji katika soko la feri.

30Apr 2017
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika kufanya kwa vitendo kampeni ya usafi ya kila jumamosi ya mwisho wa mwezi DC Mjema alitembelea kituo cha daladala cha stesheni na kukuta magari mengi ya...
30Apr 2017
Steven William
Nipashe Jumapili
Wafanyabiashara hao walitiwa mbaroni juzi katika operesheni iliyofanywa na maofisa afya katika kuhakikisha wilaya ya Muheza inakuwa na mazingira masafi kila mtaa. Mganga Mkuu wa Wilaya ya Muheza,...
30Apr 2017
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Kupanda kwa kiwango hicho cha uzalishaji sukari nchini kumebainishwa na Mwenyekiti wa mfuko wa maendeleo wa sekta ya sukari Tanzania (SIDTF), Deo Lyatto, wakati wa kikao cha wataalamu wa sukari cha...
30Apr 2017
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Ni wazi kuwa suala la uhuru wa kujieleza ndani ya Bunge ambalo linaoongozwa na Spika Job Ndugai wakati mwingine baadhi ya wabunge wanavuka mipaka kutokana na kufanya mambo ambayo yanaleta mgongano...

Sipora Liana,

30Apr 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Wito huo ulitolewa na Mkurugenzi wa Jiji hilo, Sipora Liana, wakati akifungua mkutano wa Klabu ya Wafanyabiashara wa Benki ya NMB (NMB Business Club) zaidi ya 500, kutoka Manispaa za Ilala,...
30Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Alichosema mkoani Dodoma Jumatano iliyopita, ninaweza kukiita pigo kwa wapinzani na wenye ndoto za kuvunja Muungano au kubadili mfumo wake. Rais Magufuli anaesema: "Nitaulinda Muungano...

Rais John Magufuli akiongea na wananchi wa Kwa Sadala, Wilaya ya Hai, waliomsimamisha kwa muda wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, alipowasili tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo .

30Apr 2017
Godfrey Mushi
Nipashe Jumapili
Msafara wa viongozi hao uliwavutia mamia ya wananchi wakati ukiwa kwenye Jimbo la Hai linaloongozwa na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama cha...
30Apr 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Masoko mengi yako katika mazingira machafu kupindukia na wakati wa mvua hali huwa mbaya zaidi inayomfanya mtu kutotamani kwenda kufuata bidhaa kwenye sehemu hizo. Kinachomhofisha ni kukutana...

Pages