NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

14May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ilidaiwa kabla ya kuuawa, mrembo huyo alikuwa na majambazi wenzake watatu wa kiume waliokuwa wakiwapora mali wakazi wa eneo hilo. Awali, Polisi walijulishwa na raia wema kuhusiana na mahala...
14May 2017
Jenifer Julius
Nipashe Jumapili
Usafiri huu una watu kutoka sehemu mbalimbali wenye tabia tofauti hivyo hata mienendo yao hutofautiana, kuna wengi wamezoea kupiga chabo, kudokoa na baadhi maneno machafu. Kati ya yanayojiri...
08May 2017
Peter Mkwavila
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa alisema watu hao walikamatwa kufuatia msako uliofanywa kwenye maeneo mbalimbali.Aliwataja waliokamatwa ni...
08May 2017
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Rachel Chuwa alisema mbali na afya, sekta nyingine iliyoathirika na hali hiyo ni elimu ambayo ina watumishi nane...
07May 2017
Nipashe Jumapili
Akizungumza katika ufunguzi wa Kamati ya Maadili ya Shehia ya Tomondo, Mahmoud alisema kuwa mitandao ya kijamii imekuwa ikitumiwa vibaya; hasa kuangalia mambo yasiyostahiki. Alisema hali hiyo...
07May 2017
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Kwa upande wa Meya wa Jiji la Arusha , Calist Lazaro amesema kuwa taarifa za awali zinaonyesha kuwa tayari Serikali imekwishalipia gharama za majeneza na sanda ya kuhifadhia miili ya marehemu ambao...
07May 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Magufuli alitoa agizo hilo jana Ikulu jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza kwenye mkutano wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC). Alisema kuanzia kesho taasisi hizo zifanye kazi kwa saa 24....
07May 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Ndugu zake wamesimulia tabia yake na kilichotokea siku ya tukio. Mazishi yake yanasubiri kuwasili kwa wazazi wake, ndugu na jamaa kutoka mkoani Geita.Marehemu ameacha watoto watano, wa kike wawili na...

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema).

07May 2017
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
Akichangia mjadala wa makadirio ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Lema alisema: “Kama itanyesha mvua ya radi basi itaambatana na mwanga na cheche zitazowamulika walaghai, watesaji na...
07May 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Ukipita barabara kuu za jiji karibuni zote, utakutana na majani marefu katikati au pembeni ya njia hizo kuanzia Bagamoyo, Morogoro, Nyerere, Mandela na Sam Nujoma. Barabara za mitaani, nazo...
07May 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa habari hizo, tukio hilo lilitokea juzi katika mtaa wa Mwatulole Kata ya Bualahala, wilaya ya mkoa wa Geita. Katika tukio hilo ilielezwa kuwa kundi la watu wanne, wakiwamo waliopoteza...

William Lukuvi

07May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo imechukuliwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, baada ya kubainika kuwa utaratibu wa umilikishaji wa ardhi haukufuatwa. Lukuvi ambaye alikuwa...
07May 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Watu wenye tabia hiyo hutumia mwanya wa kufanya udhalilishaji huo inapotokea usafiri kuwa wa shida na kusababisha msongamano wa watu ndani ya daladala jijini Dar es Salaam na kwingineko. Hulka...

Said Soud,

07May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza jana jijini hapa, Mwenyekiti wa TRFA, Said Soud, alisema lengo kuu ni kutaka kuziongeza klabu za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza kuwa wanachama wa chama hicho. Mwenyekiti huyo alisema...

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu

07May 2017
Jumbe Ismaily
Nipashe Jumapili
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Injinia Godfrey Sanga, aliyasema hayo kwenye kipindi cha maswali ya papo hapo, alipokuwa akijibu swali la Diwani wa Kata ya Ibaga, tarafa ya Kirumi, Salumu...

RC RUVUMA.DK BINILITH MAHENGE

07May 2017
Stephen Chidiye
Nipashe Jumapili
Tukio hilo lilitokea juzi kati ya askari wa Gereza la Mifugo na Kilimo lililoko katika Kijiji cha Majimaji, Tunduru mkoani Ruvuma kati ya saa 1.30 na saa 2:00 usiku, baada ya askari wa kambi...

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein

07May 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Watumishi wa serikali walianza kupokea kima cha chini cha Shilingi 300,000 kuanza mwezi uliopita ukiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais wa Zanzibar ya kupandishwa mishahra aliyoitoa wakati wa...
07May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Safari ya watoto kwa mtihani ilivyoacha makovu ya maisha
Wakati hali hiyo ikitokea, majeruhi watatu ambao kati yao wawili ni wanafunzi, walipokewa katika Hospitali ya Rufani ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru, wakitokea Hospitali Teule ya Karatu majira ya...
07May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ofisa Biashara, Charles Lawrence, alisema hayo jana kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime, Elias Ntiruhungwa, kwenye kikao cha halmashauri kuu cha waendesha bodaboda....

CAG MUSSA ASSAD

07May 2017
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Katika kujiweka sawa na kuondokana na hati hizo, mkoa umepitisha maazimio 21 ambayo yaliwekwa katika mkutano maalumu wa kupokea taarifa ya CAG ya mwaka 2015/2016 uliowahusisha, Mkuu wa Mkoa,...

Pages