NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

14May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ilidaiwa kabla ya kuuawa, mrembo huyo alikuwa na majambazi wenzake watatu wa kiume waliokuwa wakiwapora mali wakazi wa eneo hilo. Awali, Polisi walijulishwa na raia wema kuhusiana na mahala...
14May 2017
Jumbe Ismaily
Nipashe Jumapili
Wananchi hao walifafanua kuwa licha ya maeneo yao kuchukuliwa na serikali kwa ajili ya kupisha mradi huo, lakini kiasi cha malipo ya fidia waliyopokea ni kidogo ikilinganishwa na tathmini iliyofanywa...
14May 2017
Jenifer Julius
Nipashe Jumapili
Usafiri huu una watu kutoka sehemu mbalimbali wenye tabia tofauti hivyo hata mienendo yao hutofautiana, kuna wengi wamezoea kupiga chabo, kudokoa na baadhi maneno machafu. Kati ya yanayojiri...
14May 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Ni ajali mbaya kutokea nchini kwa wanafunzi 32 kufariki kwa wakati mmoja, walimu wawili na dereva na kuacha wanafunzi watano majeruhi na mmoja aliyenusurika. Wanafunzi hao walikuwa wanakwenda...
14May 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Miongoni mwa mambo yaliyochangiwa katika mjadala wa wizara hiyo ni kuibuka kwa vitabu vyenye makosa ya kimaudhui ambazo vimeshasambazwa na kuanza kutumika katika shule mbalimbali. Kutokana na...
14May 2017
George Tarimo
Nipashe Jumapili
Wakizungumza kwenye mkutano baina ya wadau wa sekta hiyo, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na Wizara ya Maliasili na Utalii, uliofanyika mjini Iringa mwishoni mwa wiki, baadhi ya wadau hao walisema...

Kaimu Mkurugenzi wa Tanesco, Dk. Tito Mwinuka.

14May 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Aidha, kutokana na uharibifu wa miundombinu ya barabara, mafundi wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco), walishindwa kufika kwa wakati katika maeneo yenye matatizo na hivyo kusababisha baadhi ya maeneo...
14May 2017
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Wapendwa hawa walifariki kwa ajali ya gari iliyotokea wilayani Karatu, mkoani Arusha. Unapozungumzia wanafunzi wa darasa la saba maana yake ni watoto wadogo waliozaliwa kuanzia mwaka 2004 tena hapo...
14May 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo aliitoa Kocha Msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja, baada ya timu yake kufikisha pointi 65 na ikiwa imebakiwa na mechi moja ya funga dimba dhidi ya Mwadui FC kutoka Shinyanga. Mayanja...
14May 2017
Rose Jacob
Nipashe Jumapili
Mongella ametoa agizo hilo wakati akizungumza na wadau wa elimu wilayani humo kuhusu changamoto mbalimbali zinazoikabili Sekta ya Elimu katika wilaya hiyo, serikali itawachukulia hatua walimu...

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi  (NEEC) hilo, Beng’I Issa.

14May 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Aidha, vijana hao wanatakiwa kujiunga na vikundi vya kiuchumi hususan wanajishughulisha na usindikaji na kuongeza thamani mazao, ufugaji, uvuvi, usafirishaji, biashara, miradi inayotumia mali ghafi...
14May 2017
Robert Temaliwa
Nipashe Jumapili
Wito huo ulitolewa juzi wilayani hapo na Mkurugenzi wa kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu cha Amani Orphance kilichopo chini ya Shirika la Empowering Children and...
14May 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Katika suala la kuwasafirisha watoto kwa kutumia usafiri wa mabasi, kuna mambo kadhaa ya kuzingatia, moja wapo ni chombo chenyewe kinachotumika kubeba watoto hao. Jambo la pili ni madereva...
14May 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
***Wazidi kutisha kileleni, ubingwa, kiatu njia nyeupe...
Mabingwa hao watetezi jana walirejea kileleni baada ya kufikisha pointi 65 sawa na Simba, lakini wakiwa na mechi mbili mkononi wakati mahasimu wao wakibakiza mchezo mmoja. Simon Msuva aliifungia...
14May 2017
Robert Temaliwa
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa juzi na Ofisa Elimu Mkoa wa Pwani, Germana Sendoka, katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya elimu, wakati alipokuwa akitoa taarifa ya hali ya kitaaluma na changamoto zinazoikabili...

Baadhi ya mafundi wa TRL wakiwa kandoni mwa eneo la reli lilililoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha katika wilaya ya Muheza, Tanga, jana.
(Picha: Steven William)

14May 2017
Steven William
Nipashe Jumapili
Safari hii, mvua hizo zinazoelezewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) kuwa hazijawahi kurekodiwa tangu mwaka 1949, zimekata mawasiliano ya usafiri wa treni ya Shirika la Reli (TRL), ambao hutegemewa...

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo.

14May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ndikilo aliyasema hayo juzi wilayani hapa wakati akihitimisha ziara yake katika wilaya sita za mkoa wa Pwani. Alisema migogoro hiyo haina tija baina ya makundi hayo mawili, hivyo hawapo tayari...

Abdi Banda.

14May 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Akizungumza na gazeti hili jana, Banda alisema mbali na timu hiyo kutokuwa na uhakika wa kushiriki katika mashindano ya kimataifa mwakani, lakini atakuwa tayari kusaini mkataba mpya kama atalipwa...
14May 2017
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
• Mwenyewe aja juu, aanika msimamo...
Akichangia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji bungeni mjini hapa Jumatano, Kitwanga alitishia kuhamasisha zaidi ya wananchi 10,000 kwenda kuzima mtambo wa...
14May 2017
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Mtuhumiwa huyo inadaiwa alimchoma kisu mumewake baada ya kugundua ameoa mke mwingine.  Inadaiwa baada ya kugundua mume wake, Tani Ali Tani (41), ameoa mke mwingine, alimchoma kisu akiwa nyumbani...

Pages