NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

12Nov 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Hali hii ya mimba za aina hiyo imesababisha kuwapo kwa mjadala kwamba wanafunzi wanaopata mimba warudishwe shuleni mara wanapomaliza muda wao kulea, lakini serikali ilishatoa msimamo wake kuwa...

Aliyekuwa mkuu wa mkoa ruvuma,dk binilith mahenge (wa pili kushuto) akivuka mto ruvuma kwa mtumbi. (picha ndogo) kazi ya utandazaji mabomba ya maji kutoka mtambo wa ruvu chini ikiendelea.

12Nov 2017
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
*Imo miradi ya majisafi Dar, reli ya kisasa, umeme, ndege ATCL
Magufuli aliingia madarakani kumrtihi mtangulizi wake, Jakaya Kikwete, baada ya kuibuka nja ushindi wa zaidi ya asilimia 58 katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, 2015. Wakati akiingia...

vitunguu swaumu.

12Nov 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Rejea mbalimbali za masuala ya lishe na afya zinaonyesha kuwa vitunguu swaumu ni miongoni mwa jamii ya vyakula vyenye kutibu baadhi ya magonjwa na pia huukinga mwili dhidi ya mashambulizi ya maradhi...

spika job ndugai.

12Nov 2017
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
Kiongozi huyo wa bunge amesema amebaini udhaifu katika utendaji wa kamati zake hizo akizitolea mfano Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji pamoja na ile ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ambazo wiki hii...

Kamanda kanda maalum ya DAR ES SALAAM, LAZARO MAMBOSASA.

12Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Chanzo ndani ya jeshi la Polisi kiliiambia Nipashe kuwa uamuzi wa kutimuliwa kwa askari huyo ulifikiwa baada ya kuwekwa ndani na uchunguzi wa awali kufanyika ili mwishowe kutoa fursa kwa mchakato wa...

Gari dogo Toyota LandCruiser, T 862 DJW likitoka jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza likiwa limeharibika vibaya na watu wote wawili waliokuwa ndani kufa papo hapo baada ya kugongana na basi la kampuni ya Taqwa namba T 159 CWH Nissan, likitokea Kampala nchini Uganda kwenda Dar es Salaam jana katika kijiji cha Kideka Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida. PICHA: ELISANTE JOHN

12Nov 2017
Elisante John
Nipashe Jumapili
Ajali ilitokea mkoani humo majira ya saa 5:00 na saa 6:00 mchana wakati basi hilo lenye namba T 159 CWH, aina ya Nissan, lililokuwa likitokea Kampala nchini Uganda kwenda Dar es Salaam, lilipogongwa...

MUONEKANO WA NYUMBA YA DK SHIKA KWA NJE NA NDANI.

12Nov 2017
Halima Kambi
Nipashe Jumapili
Uchunguzi wa Npashe ulohusisha kutembelea mahala anaposhi, eneo la Tabata Mawenzi jijini Dar Salaam jana, ulibaini kuwa Dk. Shika anakaa kwenye nyumba hiyo iliyopo Mtaa wa Amani kwa kipindi cha...

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz, .

12Nov 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
*Kijasho chawatoka maofisa waliosuka ‘dili’ aliloshtukia JPM la kulipa mtu likizo bil.7/-
Uchunguzi huo, ambao unadaiwa kuanza kuwatoa jasho wahusika tangu suala hilo ilipowekwa hadharani na Rais John Magufuli wiki iliyopita wakati akiwa Bukoba, umeanza kufanyika katika taasisi mbalimbali...

Dkt. Hassan Abbas.

05Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Dkt. Abbasi amesema hayo wakati akitoa tathmini ya miaka miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli toka alipoapishwa Novemba 5, 2015 na kusema kuanzia mwezi huu...

Ofisa Afya wa Kasumulu, anayeiwakilisha GCLA, Deudatus Kilamiya, akieleza wana habari (hawapo pichani) namna maabara inavyotekeleza majukumu yake. PiICHA: MARY GEOFREY

05Nov 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Mpaka wa Kasumulu ulioko mkoani Mbeya unaotumika kuingia Malawi na Tunduma unaopatikana mkoa wa Songwe unaotumika kuingia Zambia, yote hutumiwa kupitisha kemikali kinyume cha sheria na taratibu...
05Nov 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Ukatili huo ambao unaoweza kuitwa uovu uliokithiri ni sehemu tu ya unyama wanaofanyiwa wanawake sehemu mbalimbali hapa nchini, ambao kwa bahati mbaya haufahamiki. Mwezi Novemba ndiyo uliotengwa...
05Nov 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Kikosi hicho, Fortunatus Musilimu, anasema, malalamiko dhidi ya madereva wanaotozwa faini na askari barabarani kwamba wanajali zaidi makusanyo kuliko kutoa elimu, hayana la kusikilizwa...
05Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kwenye matokeo hayo shule nyingi zilizoingia kumi bora kitaifa zilikuwa na wanafunzi chini 100 hali ambayo imeibua hisia za wadau wakitaka mfumo wa kuzipanga shule hizo uboreshwe ili uendane na...
05Nov 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Niliahidi wiki iliyopita kuwaletea mada hii ya leo, lakini baada ya kupata ujumbe toka kwa wasomaji wengi ikabidi nizichapishe kwanza ili uone wasomaji wengine wanayo yapi yanayowatatiza na hawajui...
05Nov 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Mifuko hiyo imesaidia kwa kiasi kikubwa hasa wananchi wenye kipato cha chini na wasiokuwa na uwezo wa kujilipia gharama za matibabu wanapopatwa na magonjwa ya dharura. Kadi za bima ya afya...
05Nov 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Akizungumza na gazeti hili jana, Niyonzima, alisema pia anashangaa kufananishwa na mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu wakati kila mmoja anajukumu lake. Niyonzima alisema ili kudhihirisha yeye na...
05Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Meneja Maendeleo wa Vision Sports, Raymond Mchani, kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Vision Sports, Ally Nchahaga, akizungumzia mbio hizo juzi, aliwataka washiriki kusoma vigezo na masharti ya...

KOCHA wa zamani wa Yanga, Hans van der Pluijm.

05Nov 2017
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Mtibwa nayo yashikwa, ligi yazidi kuwa ngumu...
Yanga inayodhaminiwa na Kampuni ya Kubashiri Matokeo Michezoni ya SportPesa kama ilivyo kwa Simba na Singida United, matokeo hayo yanaifanya kufikisha pointi 17 kileleni, lakini ikiwa mechi moja...

Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog.

05Nov 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Katika kujiandaa na mchezo huo na kuonyesha imekuja jijini hapa kwa kazi moja ya kusaka ushindi, Simba inayodhaminiwa na Kampuni ya Kubashiri Matokeo Michezoni ya SportPesa, ilitumia usafiri wa ndege...
05Nov 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Licha ya wanafunzi hao kupoteza maisha, pia wengine sita walijeruhiwa katika tukio hilo ambalo limetikisa katika maeneo mbalimbali ya nchi. Wanafunzi waliopoteza maisha ni wa umri wa miaka minane...

Pages