NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

17Sep 2017
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Washtakiwa walikutwa na meno 70 ya tembo yenye thamani ya Sh. milioni 800. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma jana, Wakili wa Serikali, Salimu Msemo, aliwataja polisi hao wa zamani...
17Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Vyanzo uhaba majaji, mawakili, kukosekana mashahidi, wafungwa na mahabusu kutofikishwa mahakamani....
Kwa mujibu wa kifungu cha 107(A) cha katiba, kazi kubwa ya mahakama kama mhimili ni kutafsiri sheria zilizotungwa na Bunge, kwa hiyo mahakama zinawajibika kutekeleza jukumu la kutoa haki kwa...

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Mbaraka Yusuph.

17Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mbaraka amejiunga na Azam msimu huu akitokea Kagera Sugar na juzi alifunga bao hilo pekee dhidi ya timu yake hiyo ya zamani lililowapa Azam pointi tatu muhimu. Mbaraka aliliambia Nipashe kuwa...
17Sep 2017
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
***Ngoma aokoa kikosi kuloa tepetepe, Mtibwa, Singida Utd zachanua...
Katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyopigwa Uwanja wa Majimaji mjini Songea, Yanga ambayo inadhaminiwa na Kampuni ya Kubashiri Matokeo ya SportPesa, ililazimika kusubiri hadi dakika ya 79...

Mwenyekiti wa Kampeni ya Uzalendo Kwanza, Steve Nyerere.

17Sep 2017
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo, Mwenyekiti wa Kampeni ya Uzalendo Kwanza, Steve Nyerere, alisema kama wasanii wanaopiga kampeni ya kuhamasisha uzalendo kwanza, wameguswa na uzalendo wa...

Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Mwanasha Tumbo.

17Sep 2017
Steven William
Nipashe Jumapili
Mbwana alichukua hatua hiyo kutokana na tuhuma zilizoenea katika mitandao ya simu kwamba amejihusisha na tukio la kuungana na  viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilayani Muheza...

ASKARI WAKIWA DORIA. PICHA YA MAKTABA

10Sep 2017
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Aidha , limewataka waajiri katika sekta ya ulinzi kuacha kuajiri wazee endapo wakifanya hivyo, wawaweke katika vitengo vya ofisini na si kwenye malindo ya usiku. Hayo yalisemwa na Mrakibu...
10Sep 2017
Rose Jacob
Nipashe Jumapili
Japo mboga alizokula hazikutajwa, polisi ilileza kuwa mtuhumiwa wa kitendo hicho ni Victoria Wiliamu (25), mkazi wa mtaa wa Loleto Nyakato, wilayani Ilemela mkoani Mwanza. Alifanya kosa hilo la...
10Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Pia wametakiwa kukusanya taarifa sahihi za uhalifu, kuwachukulia hatua kwa wakati wahalifu na kuacha kuchelewesha mashataka. Mlingwa alitoa maagizo hayo wakati akifunga semina ya mafunzo ya...

Mchungaji Josephat Gwajima.

10Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mchungaji Gwajima amesema hayo leo Septemba 10 alipokuwa akifanya maombezi maalum kwa ajili ya mbunge huyo aliyepigwa risasi tano mwilini mwake Septemba 7, 2017 akiwa mjini Dodoma, Gwajima anasema...
10Sep 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Wapo wanaotamani kuingia lakini wanakumbana na vikwazo lukuki kiasi kwamba wanakata tamaa. Nimeeleza mara nyingi hapa kwamba hakuna tatizo linalotokea kwa bahati mbaya, lazima lina chanzo. Na pindi...
10Sep 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Takwimu zilizotolewa na Idara ya Maendeleo ya Vijana-Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, mimba za utotoni zimeongezeka kutoka asilimia 23 mwaka 2010 hadi asilimia 27,...

Waziri wa Afya , Ummy Mwalimu pamoja na wadau wakizindua taarifa ya hali ya ndoa za utotoni nchini mapema mwaka huu. PICHA : MTANDAO

10Sep 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Nachelea kusema ya moyoni kwa vile kiini cha tatizo hili hakizungumziwi, kila mara yatasikika ya kuwarejesha masomoni au kuwapa mafunzo mengine mbadala. Si vibaya lakini wadau waende mbali zaidi...

Oscar Munisi, Mwenyekiti wa Umoja wa Wasaga Sembe.

10Sep 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
“Si hivyo tu, sisi ndilo soko kuu la mahindi la Afrika Mashariki na Kati. Kabla mfanyabiashara wa Zambia, Malawi, Kongo au Kenya hajafika Kibaigwa Dodoma au Makambako Iringa kununua mahindi ni...
10Sep 2017
Nipashe Jumapili
Manungu unatumiwa na Mtibwa Sugar wakati Mabatini ni uwanja wa nyumbani wa Ruvu Shooting na ule wa Mwadui Complex ukitumiwa na Mwadui FC katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo inaendelea hapa...

Wakazi wa Dodoma, wakifurahi wakati wa maadhimisho ya Miaka 40 ya Safari Lager yaliyofanyika Cape Town Complex, mwishoni mwa wiki iliyopita. PICHA: MPIGAPICHA WETU

10Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Baada ya uzinduzi rasmi wa maadhimisho ya miaka 40 ya Safari Lager tangu kuanza kuzalishwa kwake hapa nchini mwaka 1977, sasa shamrashamra hizo zimehamia mikoani na mwishoni mwa iliyopita wakazi wa...

mshambuliaji John Bocco.

10Sep 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
***Viatu vyake vyawashinda Chamazi, Azam ikiishika Simba iliyoanza kwa kasi baada ya...
Hali hiyo iliwafanya mabingwa hao wa Kombe la FA, Simba, kulazimishwa sare ya bila kufungana na Azam FC, ikiwa ni baada ya kuanza kwa kishindo cha mabao 7-0 kwenye mechi ya ufunguzi dhidi ya Ruvu...

Ofisa Habari wa TFF, Alfred Lucas.

10Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Majimaji ambayo inashiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, imepewa udhamini wa Sh. milioni 150 na Sokabet, ambao ni hamasa kwao katika kupambana na kumaliza kwenye nafasi nzuri Ligi Kuu Bara msimu huu....
10Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Majaliwa alito agizo hilo juzi jioni alipokuwa akizungumza na wakuu hao wa mikoa kwenye kikao alichokitiisha mjini Dodoma kujadili mbinu za kufufua zao hilo. Wakuu wa mikoa walioitwa kwenye kikao...
10Sep 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Wanawake hao wanadaiwa kushindwa kuajiriwa kutokana na ujuzi duni licha ya vyuo vikuu kuzalisha wahitimu kila mwaka. Mkurugenzi Msaidizi wa Ajira kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na...

Pages