NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

16Jul 2017
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Aidha, inadaiwa mkopo huo si wake bali alikuwa amemdhamini rafiki yake aliyetoroka na pesa hizo ambazo, hata hivyo kiasi chake hakikufahamika. Ndugu zake walidai kuwa Sarah alimwita rafiki yake...
16Jul 2017
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Mkoa wa Dodoma, Mariam Mzuzuri, wamewapa wanafunzi wasichana mkoani Mbeya mbinu kadhaa za kukwepa ‘mafataki’ wanaowarubuni ili kujiweka mbali na hatari ya kuharibiwa maisha yao. Tulia na Mazrui...
16Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Shangazi wa mtoto Hadija Mlinda, aliiambia Nipashe kuwa udanganyifu huo wa kumpora mtoto ulitokea Jumatano wiki hii nyumbani kwao, akiwa na ndugu zake, baada ya mgeni huyu kuwahadaa kuwa ni shangazi...

Katibu Mkuu, Dk. Vincent Mashinji.

16Jul 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Wabunge hao ni Cecil Mwambe wa Ndanda mkoani Mtwara ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Zubeda Sakuru wa Viti Maalum mkoa wa Ruvuma. Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, Kamishna...
16Jul 2017
Dege Masoli
Nipashe Jumapili
Akizungumza  katika mkutano maalumu wa baraza la wazazi  kujadili majina ya wagombea nafasi mbalimbali, Katibu wa CCM  Korogwe Mjini, Ally Issa,  alisisitiza suala la uadilifu na kwamba hakuna mtu...

Msajili wa bodi hiyo, Rhoben Nkori.

16Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Msajili wa bodi hiyo, Rhoben Nkori, alisema kwenye taarifa yake kuwa bodi imewataka wananchi na wakandarasi wawe wanatoa taarifa katika ofisi za bodi za Makao Makuu Dar es Salaam na Kanda zake ili...
16Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza katika makabidhiano hayo, Abood alisema bahati nasibu ni mchezo unaoweza kutoa fursa nzuri kiuchumi, huku akimtaka mshindi huyo azitumie vizuri fedha zake ili ziweze kumnufaisha kiuchumi...
16Jul 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Kama ndivyo, inaelezwa kuwa dawa aina hiyo zinaweza kuwa hatarishi kwa afya ya watu badala ya kuwa tiba kwao endapo zitatumika ovyo pasi na kujua viambata vyake na kiwango kilichomo kabla ya kutumiwa...
16Jul 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
TFDA yaonya ulaji ‘Viagra’ feki wanaume wajihadhari kupasua mioyo Vyakula vya mizizi na baharini vyatajwa kuwa ni supa
Wakati nikifikiria kuandika makala hii nilikutana na vibao vya matangazo madogo kwenye mitaa tofauti jijini Dar es Salaam, hususan Buguruni, Vingunguti, Magomeni, Manzese, Ubungo, Kimara na Tabata...

Luteni Jenerali mstaafu, Abdulrhaman Shimbo.

16Jul 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Luteni Jenerali Shimbo aukumbuka ‘ukomandoo’ kuiokoa Shelisheli, Asimulia miaka mitatu ya ubalozi China
Baada ya kustaafu utumishi wa jeshi, aliapishwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete, kuwa balozi China Juni 11, 2013, ambako alikaa hadi hadi Desemba mwaka jana. Luteni Jenerali mstaafu Shimbo, kabla...
16Jul 2017
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Nionavyo, ni hatari mikataba hiyo kupitia bungeni. Kwa sababu uhasama wa wabunge wanaoabudu itikadi za chama tawala dhidi ya upinzani unaweza kuitumbukiza nchi pabaya. Inaweza kutokea vipengele...

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla.

16Jul 2017
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Makalla alitoa tahadhari hiyo juzi wakati akizindua zoezi la kupiga chapa mifugo katika Wilaya ya Mbarali ambalo lilifanyika katika Kijiji cha Azimio Mapula ambapo alisema lengo la Serikali ni kutaka...
16Jul 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Wengi wa wasaidizi hao, huchukuliwa kwa wazazi wao wakiwa na umri mdogo na wanapofika kwenye nyumba za mabosi wanaowachukua, hufanyishwa kazi nyingi kuliko uwezo wao. Matukio ya kunyanyaswa kwa...
16Jul 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Mtu mwenyewe alinizalisha watoto watano. Basi akapata mwanamke mwingine akahamia huko akaniacha na mtoto wangu wa mwisho na mali ambazo ni nguruwe nane na ng’ombe za kulima. Sasa zile ng’ombe...
16Jul 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Katika matokeo hayo yaliyotangazwa Zanzibar na Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Dk. Charles Musonde, ufaulu wa mwaka huu umekuwa asilimia 96.06 kulinganisha na asilimia 97.94 ya mwaka jana. Licha...
16Jul 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Ukichunguza zaidi unajihoji hivi ni kweli serikali haikuwa na uwezo wa kusimamia na kukomesha hali hii, ambayo madhara yake ni mengi ikiwamo kuzuia magari ya zimamoto kufika baadhi ya mitaa, kutoa...
16Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hata hivyo, katika hali isiyo ya kawaida wagombea hao wanadai kuwa wamekuja kuangalia mechi ya kusaka tiketi ya kucheza fainali zijazo za Kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN), ambayo...
16Jul 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Mohamed alipata tuzo hiyo baada ya kuonyesha kiwango kizuri katika mechi ya kusaka mshindi wa tatu ambayo Taifa Stars iliikabili Lesotho na ndani ya dakika 90 za kawaida, timu hizo zilitoka suluhu na...
16Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
***Ni kwa ajili ya kuiua Yanga ngao ya jamii, straika Mghana kunogesha mambo Sauzi...
Simba na Yanga zinatarajiwa kumenyana katika mechi hiyo itakayokuwa maalum kwa ajili ya ufunguzi wa msimu wa 2017/18. Kundi la kwanza la wachezaji wa Simba linatarajia kuondoka nchini leo kwenda...
16Jul 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Rwanda (Amavubi) katika mechi ya kwanza ya kusaka tiketi ya kucheza fainali michuano hiyo iliyopigwa jana kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa....

Pages