NDANI YA NIPASHE LEO

22Sep 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Ibada hiyo pia ilihudhuriwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai, Mbunge wa Kibakwe George Simbachawene, Mbunge wa Mpwapwa George Lubeleje, Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira...

Basi la Kidia ambalo lilipata ajari baada ya kugonga ng'ombe.

22Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aliyefariki katika ajali hiyo ni Malisa Heaveson (25) ambaye ni kondakta wa basi hilo, huku majeruhi wakiwa ni Wang Xiang (25) Raia wa China, Lukasi Peter (23) askari wa JKT Kambi ya Makutupora...
22Sep 2017
Marco Maduhu
Nipashe
Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa tano asabuhi, mtu huyo alipopiga simu kwa jeshi hilo akiomba msaada kuwa nyumba yake inawaka moto na yeye yumo ndani. Hata hivyo, jeshi hilo lilipofika eneo...
22Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na watu wenye Ulemavu Eric Shitindi alipokuwa akifungua semina ya siku mbili ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya...
22Sep 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Hivi karibuni, akiwa mjini Manyara Rais Magufuli aliagiza kujengwa kwa uzio kuzunguka migodi mikuu ya Tanzanite katika eneo la Mererani, Simanjiro mkoni Manyara ikiwa ni njia mojawapo ya kuzuia...
22Sep 2017
Woinde Shizza
Nipashe
Akizungumza jana nyumbani kwake baada ya kuruhusiwa kutoka Hospitali ya Rufani ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru, alikokuwa amelazwa kwa zaidi ya wiki moja, Ndaskoy alisema tukio hilo lilitokea Agosti...

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Mhandisi Edwin Ngonyani (kulia) akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Makao Makuu ya kampuni hiyo alipotembelea na kuzungumza na Bodi hiyo. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Mhandisi Omar Nundu.

22Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mhe. Ngonyani ametoa maelekezo hayo alipofanya ziara fupi ya kutembelea Makao Makuu ya TTCL, ambapo amepata fursa ya kuzungumza na Bodi na Menejimenti ya TTCL. Alitumia hadhara hiyo kutoa mrejesho...

Zitto kabwe akihojiwa na kamati ya bunge.

22Sep 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Zitto alikamatwa na Jeshi la Polisi juzi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNIA), akitokea mkoani Kigoma na kupelekwa Dodoma mbele ya kamati hiyo kujibu tuhuma hizo. Katika...

HASSAN Banyai.

22Sep 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Banyai ndiye aliyefanikiwa kuipandisha Njombe Mjii FC kushiriki Ligi Kuu Tanzania Bara na alisaini mkataba wa mwaka mmoja mapema kabla ya ligi haijaanza wa kuiongoza klabu hiyo. Akizungumza na...

Ali Kiba na Patoranking.

22Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kiba ambaye amefanya kolabo kwa kushirikiana na mwanamuziki nguli kutoka Nigeria, Patoranking, amesema katika mahojiano hivi karibuni kuwa anajivunia kuwa miongoni mwa wanamuziki wanaoshiriki kwenye...
22Sep 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Katika eneo hilo, Mamlaka za serikali za mitaa kwa kipindi kirefu imekuwa ikitumia gharama kubwa katika zoezi zima la uandaaji wa mipango na bajeti. Pia, halmashauri zimekuwa zikitumia muda mrefu...
22Sep 2017
Gurian Adolf
Nipashe
Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Judith Binyura, alisema jana kuwa mtuhumiwa huyo alikamatwa juzi baada ya mwanafunzi huyo (jina linahifadhiwa) kumtaja kwamba ndiye aliyempa ujauzito huo. "Tumekuwa na...

MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita.

22Sep 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jijini jana, Meya Mwita alisema amefikia uamuzi huo kutokana na kampuni ya Mwamkinga Auction Mart and Brokers kufanya kazi kwa kutozingatia matakwa ya mkataba....

Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete.

22Sep 2017
Romana Mallya
Nipashe
Hivi karibuni, baadhi ya watu wamekuwa wakifungua akaunti bandia wanazozitambulisha kwa majina yanayoshabihiana na rais huyo mstaafu na kisha kutoa maoni kuhusiana na masuala mbalimbali yanayoendelea...

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mussa Iyombe.

22Sep 2017
Renatha Msungu
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari juzi, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mussa Iyombe, alisema agizo hilo limetolewa na Rais John Magufuli kama awali...

KOCHA Mkuu wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, George Lwandamina.

22Sep 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Lwandamina alisema jana kuwa kikosi chake kinafahamu Ndanda ni moja ya timu inayowasumbua kila wanapokutana, hivyo wataingia uwanjani wakiwa wamejipanga kucheza kwa kiwango cha juu, ili watimize...
22Sep 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko, alisema hayo juzi alipokutana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura, alipotembelea TPA. Alisema kutokana na uboreshaji uliofanyika...

Mwenyekiti wa Kikundi cha  Mulala Cultural Tourism Enterprises kilichopo kijiji cha Mulala, Kata ya Songoro wilaya ya Arumeru, Anna Pallangyo akionyesha nyumba ya asili ya Wameru.

22Sep 2017
Beatrice Philemon
Nipashe
Hii itawawezesha watalii kupata taarifa kuhusu aina ya utalii wa utamaduni unaopatikana hapa nchini. Ingawa utalii huu una uwezo wa kuisaidia jamii ya Watanzania hasa wanaoishi vijijini, lakini...
22Sep 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Wito huo ulitolewa juzi na Mkurugenzi Mtendaji wa Ecobank Tanzania, Mwanahiba Mzee, wakati wa uzinduzi wa mfumo maalumu wa kufanya miamala ya kibenki inayojuliakana kama ‘Ecobank App’ ambayo itakuwa...
22Sep 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Nachelea kusema haya ni mafanikio. Hiyo ilikuwa ni Machi mosi hadi Machi 9 mwaka huu, ambapo Kamanda Sirro alifafunua kuwa mapato yalipungua kwa vile wahusika wameanza kutii sheria. Baadaye...

Pages