MICHEZO & BURUDANI »

HASSAN Banyai.

22Sep 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe

HASSAN Banyai, ametangaza rasmi kuachia ngazi kuifundisha timu ya Njombe Mji inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya kwanza kutokana na kutishiwa usalama wake na mashabiki wa timu hiyo...