NDANI YA LETE RAHA LEO

Mbwana Ally Samatta.

27Apr 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Samatta alicheza kwa dakika 45 tu za kwanza Jumapili usiku, wakati timu yake, KRC Genk ikifungwa 2-1 na Gent katika mchezo wa mchujo wa Ligi Kuu ya Ubelgiji kuwania kucheza michuano ya Ulaya, tena...

kocha wa Yanga SC, Hans van der Pluijm.

27Apr 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Pluijm ameiambia Lete Raha jana kwamba katika wakati huu ambao anahitaji pointi zote tatu katika kila mechi kati ya sita zilizobaki anahitaji kucheza kwa tahadhari zaidi, kwanza akihakikisha haruhusu...
24Apr 2016
Mhariri
Lete Raha
Hiyo inafuatia Yanga kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrikana Al Ahly ya Misri kwa jumla ya mabao 3-2,baada ya kufungwa 2-1 Uwanja wa Borg El Arab mjini Alexandria katika mchezo wa marudiano hatua...

Straika Donald Ngoma

24Apr 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Kutokana na urefu, nguvu na kipaji cha soka alichojaliwa, mabeki wa Al Ahly walionekana kumfuata kwa tahadhari, huku pia kukiwa na wasaidizi ambao walikuwa tayari kumsaidia yeyote atakayepitwa na...

Baadhi ya wachezaji wa Yanga

24Apr 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Kwenye kikosi cha Yanga panashuhudiwa wachezaji wenye nidhamu, wanaojali muda, wachezaji makini na wapambanaji. Mwambusi anakiri Kocha msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi, anasema, "Wachezaji wetu...
24Apr 2016
Barnabas Maro
Lete Raha
Moja ya methali zao yasema: “Mla ni mla leo, mla jana alileni (kala nini)? Walikuwa na maana kuwa mtu aliyekula leo ndiye mlaji wa kweli, aliyekula jana kala nini? Ni methali ya kutumiwa...
24Apr 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Lakini si Yanga iliyotolewa, wala Simba ambayo ningenyanyua mdomo na kalamu yangu kuipongeza. Nitakuwa ninaishusha hadhi Yanga kuisifia kuwa eti imejitahidi au imecheza mpira wa hali ya juu...

MGOSI

24Apr 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Mgosi alisema kuwa hataki kuingia kwenye vita ya maneno, lakini akadai wingi wa mechi mfululizo waliopitia Yanga unaweza kuwachosha na kuwafungulia njia ya ubingwa Simba. “Ni ngumu kucheza...

kikosi cha yanga

24Apr 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
.LEO WANA SHUGHULI NA WAGOSI WA NDIMA MKWAKWANI, PLUIJM ASEMA…
Mashabiki hao wanakuja kuisapoti timu yao katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya wenyeji, Coastal Union...

Gareth Bale

20Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
jana kuwa atakosa mechi ya leo la La Liga dhidi ya Villarreal kutokana na majeraha ya misul;i. Winga huyo wa kimataifa wa Wales alifunga gol lake la 16 katika La Liga msimu huu katika ushindi...

Farid Mussa

20Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Tunisia kwenda Hispania kwa ajili ya majaribio ya kucheza soka ya kulipwa katika moja ya klabu mbili za La Ligalakini hofu imeingia baada ya mchezaji huyo kupata majeraha. Kocha wa Azam, Stewart...

serengeti boys

20Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
yatakayozishirikisha nchi za Marekani, Malasyia na Korea Kusini na wenyeji mapema mwezi Mei, 2016. Chama cha Soka nchini India (AIFF) kimeandaa mashindano ya vijana wenye umri chini ya miaka...

rafael alpha

20Apr 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Amesema anashangaa wakati wote orodha ya wafungaji wa mabao mengi wa Ligi Kuu inapotolewa jina lake limekuwa haliorodheshwi hata kwenye tovuti ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)."Mimi...

kikosi cha coastal union

20Apr 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Coastal watamenyana na Yanga Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga Aprili 24, mwaka huu, siku ambayo Azam FC itamenyana na Mwadui FC kwenye Uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga katika Nusu Fainali nyingine...

Julio

20Apr 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Jamhuri, maarufu kwa jina la utani Julio amesema kwamba hiyo inatokana na yeye na timu yake kujiamini watatwaa ubingwa wa TFF, maarufu kama Kombe la Azam Sports Federations Cup (ASFC) 2016 hivyo...

Mohammed Dewji

20Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Mo Dewji, mfadhili wa zamani wa Simba anataka kurudi, lakini kwa staili nyingine, ambayo kidogo imewapa kigugumizi viongozi wa timu hiyo. Mara ya mwisho, Mo aliwapa Simba hadi Desemba 31 kuwa...

yanga

20Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
MACHO na masikio ya Watanzania wengi leo yanaelekezwa kwenye Uwanja wa Borg El Arab mjini Alexandria, Misri ambako Yanga itakuwa ikimenyana na wapinzani wao wa kihistoria kwenye michuano ya...

snura mushi

17Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
NYOTA wa kibao cha 'Chura', Snura Mushi, amebamba katika mitandao ya kijamii kufuatia video zake za 'hatari' zinazoonyesha kinadada wenye maumbo yaliyojazia wakicheza kukata 'mauno' kwa pozi la...

baraka prince

17Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Alisema kuwa tayari amejifunga na hatarajii kubadili msimamo wake kwa Najma, kwa madai kwamba ameona ndiye anayefaa kuwa mke wa kuoa kuliko hao waliokuwa wakijitangazia ufalme. "Nimejipa...

kikosi cha madrid

17Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Mabingwa mara 10 wa Ulaya wamepangwa kuikabili klabu hiyo ya Ligi Kuu ya England katika droo ya nusu-fainali iliyopigwa juzi Ijumaa, huku mechi ya marudiano ikipigwa kwenye Uwanja wa Santiago...

Pages