NDANI YA LETE RAHA LEO

09May 2016
Mhariri
Lete Raha
Sababu za TFF kuipokonya Azam FC pointi tatu imedaiwa ni kumtumia beki Erasto Edward Nyoni katika mechi hiyo namba 156 ya Ligi Kuu akiwa ana kadi tatu za njano. TFF imesema kitendo hicho...

Mbwana Samatta

09May 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Nahodha huyo amecheza kwa dakika zote 90 kwa kiwango cha kumfurahisha yoyote katika mchezo huo wa nyumbani, Uwanja wa Cristal Arena mjini Genk. Shukrani kwao, wafungaji wa mabao hayo kiungo...

Timu ya Costal Union iliyoshuka daraja.

09May 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Timu hiyo ya Tanga ina pointi 22 na imebakisha mechi moja, ambayo hata wakishinda haiwezi kuifikia African Sport iliyo juu ya mstari wa kushuka daraja angalau kwa sasa ikiwa na pointi 26. Mgambo...

Mchezaji Atupele Green

09May 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Atupele mwenye kipaji cha kufunga ambaye alicheza pamoja na akina Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu katika timu za vijana nchini, ni mongoni mwa wachezaji wanaotajwa kuwa kwenye rada za Wekundu wa...

Kikosi cha Yanga

09May 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Jana, Yanga imeibuka na ushindiwa mabao 2-0 dhidi ya Sagrada Esparanca ya Angola katika mchezo wa kwanza wa mchujo kuwania kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika jioni ya leo...

Dogo Janja a.k.a Janjaro.

04May 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Alisema mtaani kwake Ngarenaro, Arusha alikotokea kuna wadogo zake, kaka zake na baadhi ya ndugu zake, ambao hataki hata kufikiria itakuwaje akisikia mmoja wao ameingia katika janga hilo, hivyo ni...

kocha wa stand united, Patrick Liewig akiwa na mwandishi wa Lete raha Mohmoud Zubeiry.

04May 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Mfaransa huyo alilieleza Lete Raha kuwa wachezaji hao wamesimamishwa kutokana na utovu wa nidhamu kwa kuwa wanacheza chini ya kiwango. "Sikuja Stand kumuonea mtu, lakini kilichopo kwa Chanongo,...
04May 2016
Mhariri
Lete Raha
Na Malinzi alitoa programu nzuri ya maendeleo ya vijana na kuanza kuendesha mashindano ya vijana kuanzia chini ya umri wa 13 ili kuhakikisha baadaye tunakuwa na timu nzuri za vijana kuanzia U-17 na U...
04May 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Katika fainali hizo ambazo zilidhaminiwa na Kampuni ya Simu ya Vodacom, mshambuliaji Sultani Kasikasi wa Uswahilini aliibuka mchezaji bora wa mchezo huo baada ya kuifungia timu yake mabao 3...

Amissi Tambwe na Simon Msuva.

04May 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Hakika dunia itabaki kuzizungumzia safu za ushambuliaji za kutisha kwenye Ligi Kuu ya Hispania, MSN na BBC, na mambo yanayofanywa na wakali sita waliozaa vifupisho hivyo. MSN, safu ya ushambuliaji...
04May 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Straika huyo wa timu ya taifa ya England alisherehekeapamoja na wachezaji wenzake nyumbani kwake wakati mtokea benchini, Eden Hazard, akifunga zikiwa zimesalia dakika saba tu na kufanya matokeo yawe...
04May 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Kaimu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Wakili Levocatus Kuuli amesema leo mjini Dar es Salaam kwamba, Dennis aliyeadhibiwa wakati anacheza kwa mkopo Geita Gold ya Daraja la Kwanza, amfutiwa adhabu kwa...

'Shilole a.k.a Shishi Baby'.

04May 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Alisema kwa sasa hana muda wa kuzungumzia mambo mahusiano ya kimapenzi zaidi ya muziki ambao ni kazi aliyochagua kuifanya ili kuendesha maisha yake ya kila siku. "Wapo watu ambao wamekuwa...

Niyonzima na Juma Abdul wakishangilia goli.

04May 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Kamusoko aliye katika msimu wake wa kwanza Yanga SC baada ya kujiunga nayo kutoka Platinums FC ya kwao Julai mwaka jana, amesema Juma Abdul na Niyonzima, ambaye ni Nahodha wa Rwanda wana vipaji...

Juma Nature.

04May 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Alisema wapo baadhi ya wasanii ambao wamepotea kabisa baada kupata umaarufu kidogo tu na kisha kuanza kuringia mashabiki na kusahau kuwa wao ndiyo waliowafikisha hapo walipo. "Siyo vizuri...

kocha msaidizi wa Azam FC, Denis Kitambi.

04May 2016
Renatha Msungu
Lete Raha
Hata hivyo, alisema bado itakuwa ndoto,kutokana na mabingwa haowatetezi wana idadi kubwa ya magoli ya kufunga, huku ikiruhusu magolimachache. Akizungumza mara baada ya mchezo huo, Kitambi alisema...

Abdi Banda kulia.:picha ya maktaba.

27Apr 2016
Renatha Msungu
Lete Raha
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na uongozi wa klabu hiyo jana, Banda pia atatakiwa kuomba radhi kwa maandishi kufuatia makosa yake yakiwamo ya "kutuma ujumbe kupitia mitandao ya kijamii...

faridi mussa akiwa na wakala wake.:picha ya maktaba.

27Apr 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Farid alitarajiwa kupewa dakika kadhaa za kucheza mechi usiku wa Jumatatu, kabla ya kuanza majaribio yake rasmi Tenerife, inayotumia Uwanja wa Heliodoro Rodriguez Lopez. Wakala wa Farid, ameshauri...

timu ya taifa, taifa stars.

27Apr 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Mchezo huo wa kirafiki wa kimataifa utachezwa mjini Nairobi, Kenya Mei, 29 mwaka huu, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kwa timu zote mbili kujaindaa na michezo ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa...
27Apr 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Katibu Mkuu wa Yanga Baraka Deusdedit amesema kwamba kitendo cha mashabiki kumpiga mawe mwamuzi wa pembeni na kumjeruhi, kamwe hakiwezi kuvumilika katika mchezo wa mpira wa miguu unaotawalia na kauli...

Pages