NDANI YA LETE RAHA LEO

kikosi cha yanga kikifanya mazoezi

25May 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Kundi B linaundwa na timu za Kaskazini mwa Afrika tupu ambazo ni Etoile du Sahel ya Tunisia ambao ni mabingwa watetezi, Ahly Tripoli ya Libya, FUS Rabat na Kawkab zote za Morocco. Mechi za...

Aveva

18May 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jana kwenye hoteli ya Collessium, barabara ya Nyerere, Dar es Salaam, Aveva alisema wachezaji hao walifanya vitendo ambavyo vimewaondolea uaminifu...

Aveva

18May 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jana kwenye hoteli ya Collessium, barabara ya Nyerere, Dar es Salaam, Aveva alisema wachezaji hao walifanya vitendo ambavyo vimewaondolea uaminifu...
18May 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Yanga iliwasili Dundo usiku wa jana baada ya safari ya kutwa nzima wakipitia Luanda, ambako waliunganisha ndege nyingine kwa saa mbili kwenda mji wa Dundo ambako ni maskani ya Sagrada Esperanca....
15May 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Mgeni rasmi katika mchezo huo Waziri wa Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, Mwigulu Nchemba (MB) ambaye pia ni shabiki mkubwa wa mabingwa hao waliotetea ubingwa wao baada ya kuunyakua msimu uliopita ingawa ni...

Amissi Tambwe.

15May 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Tambwe ambaye kabla ya jana alikuwa akiongoza kwenye ufungaji wa mabao Ligi Kuu akiwa na magoli 21, alisema Yanga ilijiwekea malengo ya kutwaa ubingwa kwa idadi kubwa ya mabao hivyo kama straika...

kocha wa mwadui fc, jamhuri kihwelo.

15May 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Julio alisema kuwa baada ya kuona mapungufu kwenye kikosi chake kwa msimu huu, amepanga kuboresha baadhi ya maeneo kwa kuwasajili wachezaji saba wapya. “Nina mpango wa kuwasajili Atupele, Maguli...

Farid Mussa Malik.

15May 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Akizungumza baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) juzi jioni, Garcia alisema kwamba amemshuhudia Farid katika majaribio yake klabu ya Deportivo Tenerife nchini...
15May 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Babadiliko hayo yataanzia mwaka ujao na hiyo inatokana na matumaini ya Tanzania kuongezewa nafasi ya kuingiza timu kwa hatua za awali za michuano ya Afrika kutoka mbili za sasa, yaani moja moja kila...

Clinton Paul Larsen kushoto.

15May 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Kocha huyo mzaliwa wa Durban, KwaZulu-Natal mwenye umri wa miaka 45, amemuambia wakala Rodgers Mathaba anayemsimamia Ajib kwamba amevutiwa na uchezaji wa mshambuliaji huyo wa Simba SC ya Tanzania...
15May 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Jumanne iliyopita, Mei 10, alifunga bao la 'kideo' kwenye uwanja wa Sokoine mjini Mbeya likiwa ni bao lake la saba kuifunga Mbeya City katika msimu mitatu. Lilikuwa ni bao lake la 21 na kumfanya...

Hans Pluijm

11May 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Walitumia jina la Berekum kutokana na sehemu ilipo klabu na Chelsea kutokana na kuvutiwa na uendeshaji wa klabu ya Chelsea. Baada ya kuchezea madaraja ya chini, msimu wa 2010/2011 ilipanda daraja...

Timu ya Ndanda

11May 2016
Renatha Msungu
Lete Raha
Hiyo inafuatia makubaliano ya timu hizo, Yanga na Ndanda FC ambayo yamebarikiwa na Bodi ya Ligi pamoja na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Yanga iliipigia magoti Ndanda FC kuomba mechi ichezwe...

Hassan Kessy

11May 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Ingawa akadai kuwa ilikuwa ni lazima beki huyo aondoke Simba kwasababu haikuwa sehemu salama kwake kutokana na jinsi walivyokuwa wanakiuka mkataba. Tippo alisema kuwa Simba ilifeli kutimiza vyema...
11May 2016
Mhariri
Lete Raha
Simba inatarajiwa kumenyana na Majimaji leo Uwanja wa Majimaji mjini Songea katika hatua ya lala salama ya Ligi Kuu na nyota sita wa kigeni, kipa Vincent Angban (Ivory Coast), mabeki Emery Nimubona (...

Kocha mkuu wa Yanga Hans van Pluijm (kulia) akiwa na msaidizi wake, Juma Mwambusi

11May 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Yanga hawakuhitaji kusubiri hadi mechi yao ya jana ugenini dhidi ya Mbeya City ili kutwaa ubingwa, shukrani kwa kichapo hicho cha mahasimu wao wa jadi. Lakini Yanga walifanya nini hadi kutwaa...

Ibrahim Hajib (kushoto) akimtoka beki wa Majimaji FC, Ally Mohamed

11May 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Tayari Hajib na Ndabile wapo, Durban makao makuu ya klabu hiyo baada ya kuwasili, jana wakitokea Dar es Salaam. "Mipango ya awali ilikuwa tumlete Kaizer Chiefs, lakini huyu wakala huku, kasema...

Jamal Mnyate (kushoto)

11May 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Ni goli ambalo liliipa ubingwa wa England, Leicester City ambayo haikuwa na mechi yoyote siku hiyo. Maili nyingi kutoka huko, nchini Tanzania mchezaji wa Mwadui FC, Jamal Mnyate anafanya kama...

Hans Poppe

11May 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Akizungumza jana mjini Dar es Salaam, Hans Poppe amesema kwamba kundi hilo linawashawishi wachezaji kucheza chini ya kiwango na kuleta migomo baridi ili kuuchafulia uongozi uliopo madarakani....

Farid Mussa (mbele) akimzidi ujuzi katika soka beki wa Yanga SC, Juma Abdul (chini)

09May 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Ameongezewa wiki moja nyingine ya majaribio.Winga huyo machachari wa Azam FC na timu ya taifa (Taifa Stars) ameonekana kulivutia benchi la ufundi la timu hiyo na wanataka kumsajili kwa mkopo wa...

Pages