NDANI YA LETE RAHA LEO

19Jun 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Naanza kujiuliza kama tena kuna Mtanzania anaweza kujiuliza kwa nini soka letu na hata michezo kwa ujumla haipigi hatua. Kwa nilichokuwa nakisikia, hata haihitaji elimu ya shule ya msingi kugundua...
12Jun 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Azam imeomba kuanzia msimu ujao kuwe na wachezaji 10 wa kigeni. Inasema imeomba hivyo kutokana na tathmini waliyoifanya kwenye michuano ya kimataifa, na kugundua kuwa moja ya tatizo lililowafanya...

Abdul Kiba

12Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Kambi ya Wasafi na ya Kiba zinaonekana kuwa na uhasama mkubwa unaotokana mashabiki kujaribu kuwashindanisha Diamond na Ali Kiba, kaka wa Abdu. Lakini Abdu amesema anaweza kujiunga na lebo...

Hassan Mwasapili

12Jun 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Pia takwimu mbalimbali ilizonazo gazeti hili zinaonesha kuwa beki huyo wa pembeni amewafunika mabeki wengi akiwamo beki kisiki wa Azam, Pascal Wawa, ambaye alikuwa akitaja kati ya mabeki waliocheza...
12Jun 2016
Mhariri
Lete Raha
Pia timu hizio zitarudiana Julai 2, 2016 ugenini ili mshindi wa jumla kusonga mbele. Serengeti Boys itaingia kwenye mchezo huo ikitoka kwenye ziara ya India ambako walishiriki mashindano ya vijana...

Timu ya Stand United

12Jun 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Straika huyo wa zamani wa Oljoro JKT, Mbeya City na Mwadui ameweka wazi kuwa nia yake ni kucheza na kwamba mpaka sasa mazungumzo kati ya klabu yake na klabu yake na Stand yanakaribia kufika ukingoni...

Benno Kakolanya

12Jun 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Akizungumza na Lete Raha jana, Kakolanya alisema kwamba anataka watu wafahamu kuwa hajaingia kugombea namba dhidi ya makipa hao. “Hawa ni makipa bora ambao ninahitaji kujifunza mengi kutoka kwao....

Issoufou Boubacar Garba

12Jun 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Na Pluijm amempandisha mchezaji huyo kuchukua nafasi ya kiungo kutoka Niger, Issoufou Boubacar Garba, aliyepewa barua ya kuvunjiwa mkataba mapema wiki hii. Pluijm alianza taratibu kumtumia Mhilu...

Juma Abdul (kulia) akiteta na Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm (kushoto)

12Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Mchezo huo wa Kundi A utafanyika Uwanja wa Unite Maghrebine mjini Bejaia, Algeria na Yanga itawasili nchini humo siku mbili kabla ya mechi. Abdul aliumia kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la...

Juma Abdul (kulia) akiteta na Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm (kushoto)

12Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Mchezo huo wa Kundi A utafanyika Uwanja wa Unite Maghrebine mjini Bejaia, Algeria na Yanga itawasili nchini humo siku mbili kabla ya mechi. Abdul aliumia kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la...

Victor Wanyama

01Jun 2016
Lasteck Alfred
Lete Raha
Mkwasa aliwataja nyota hao kuwa ni kiungo wa Southampton ya Uingereza, Victor Wanyama, na beki wa Zesco ya Zambia, David Owino ‘Calabar’, ambaye alikuwa atue Simba msimu uliopita. Katika mechi ya...

Mrisho Mpoto

01Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Nay alisema kuwa Mpoto anafikiria na kuumiza kichwa anapoandaa kazi zake na anatumia akili nyingi, ndiyo maana yeye (Nay) akajiwa na fikra itakuwaje msanii huyo akiamua kuingia rap. "Labda Fid Q...

Linah Sanga

01Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Msanii huyo alisema kuwa kutopata mtoto mapema haina maana kwamba ana matatizo yoyote ya uzazi bali ni malengo tu ambayo amejiwekea katika maisha yake. Linah amekiambia kituo kimoja cha redio kuwa...

MEXIME

01Jun 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Mexime anatarajiwa kuchukua mikoba ya Adolph Rishard ambaye amekalia 'kuti kavu' ndani ya timu hiyo. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana jijini, tayari mazungumzo ya awali na Mexime...
01Jun 2016
Mhariri
Lete Raha
Hiyo inafuatia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wiki iliyopita kuingia Mkataba wenye thamani ya Sh. Bilioni 1 na kampuni ya Azam Media Limited kwa ajili ya michuano hiyo. Azam TV imenunua haki...
01Jun 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Yanga watatakiwa ‘kuvunja benki' ili kumnasa mshambuliaji wa kimataifa wa Azam FC, Kipre Tchetche, wanayemuwania. Straika huyo raia wa Ivory Coast bado ana mkataba wa mwaka mmoja na klabu...

NAHODHA wa Simba, Mussa Hassan 'Mgosi

25May 2016
Renatha Msungu
Lete Raha
Mgosi aliyasema hayo wakati akizungumza na gazeti hili, kuhusiana na timu yao kuporomoka hadi nafasi ya tatu badala ya pili. Alisema hilo lisiwakatishe tamaa bali wanapaswa kuwa kitu kimoja na...

kocha wa Taifa Stars, Boniface Mkwasa

25May 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Akizungumza na gazeti hili jana, kocha wa Taifa Stars, Boniface Mkwasa alisema kuwa kikosi hicho kilitarajia kuanza mazoezi jana jioni kwa ajili ya kuanza maandalizi ya mchezo huo unaotambuliwa na...

Azam FC

25May 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Mshindi wa mechi hiyo atafuzu kucheza mashindano ya Kombe la Shirikisho (CAF) mwakani na hata Azam FC wakifungwa, tayari watafuzu kushiriki michuano hiyo ya kimataifa kwa sababu Yanga ambao ni...

Zacharia Hans Poppe

25May 2016
Somoe Ng'itu
Lete Raha
Poppe, kKapteni wa zamani wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), alisema kwamba orodha hiyo itawasilishwa kwa Kamati ya Usajili na kujadiliwa ili kupata orodha fupi ya wachezaji wa kusajiliwa. Hata...

Pages