HABARI »

22Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Rais John Magufuli amesema hakuna Mwanafunzi aliyebeba ujauzito atakayerudi shule katika utawala wake. Akaongeza kuwa hawezi kufanya kazi ya kusomesha wazazi.