MAONI YA MHARIRI »

22Jul 2017
Nipashe

TIMU yetu ya soka ya taifa ‘Taifa Stars’ ipo Rwanda na leo inacheza na wenyeji wao hao kwenye mchezo wa kuwania nafasi ya kufuzu kwa fainali za...

21Jul 2017
Nipashe

MOJA ya changamoto ambazo zimekuwa zikionekana kuwa kikwazo kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini ni wanasiasa kutokuwa na uvumilivu...

20Jul 2017
Nipashe

ZAO la alizeti limebainishwa na utafiti kuwa ni fursa kwa kuwa linaweza kuwakomboa Watanzania wengi kutoka katika umaskini.

19Jul 2017
Nipashe

SHUGHULI kadhaa za kijamii, zikiwamo zinazohusu ibada na dini kwa ujumla, zimekuwa zikisababisha maafa kwa watu kadhaa.

18Jul 2017
Nipashe

KATIKA utekelezaji wa mpango wa serikali ya awamu ya tano wa Tanzania ya viwanda kuelekea katika uchumi wa kati, zipo taarifa zinazotia moyo za...

17Jul 2017
Nipashe

JUZI kulikuwa na mchezo wa kimataifa wa kuwania kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (CHAN) kati ya...

16Jul 2017
Nipashe Jumapili

BARAZA la Taifa la Mitihani (Necta), jana lilitangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita iliyofanyika Mei hadi Juni, mwaka huu, huku...

15Jul 2017
Nipashe

SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF), wiki hii imetoa ratiba kamili ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2017/2018.

14Jul 2017
Nipashe

SERIKALI imeonekana kukosa uvumilivu kwa vituo vya kuuza mafuta nchini, kutokana na ukaidi wao wa kutumia mashine za kielektroniki za kutolea...

13Jul 2017
Nipashe

IMEBAINIKA maji ya Mto Msimbazi yanayotumiwa kwa shughuli mbalimbali na wakazi wa Jiji la Dar es Salaam siyo salama kwa viumbe hai

Pages