MAONI YA MHARIRI »

09Jun 2016
Nipashe

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, jana alisoma bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2016/17 bungeni jana, ambayo pamoja na mambo...

08Jun 2016
Nipashe

WAZIRI wa Fedha, Uchumi na Mipango, Dk Phillip Mpango, leo anasoma Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2016/17 mbele ya Bunge la Jamhuri ya...

07Jun 2016
Nipashe

KUNA taarifa za kustusha kuhusiana na kasi ya uharibifu wa mazingira, hasa katika maeneo yaliyo pembezoni mwa vyanzo vya maji.

06Jun 2016
Nipashe

TANZANIA haitakuwa miongoni mwa mataifa yatakayoshiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazochezwa mwakani nchini Gabon.

05Jun 2016
Nipashe Jumapili

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ilisusia kushiriki vikao vya Bunge vinavyoongozwa na Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson, kwa juma moja lililopita...

04Jun 2016
Nipashe

KLABU ya Soka ya Yanga ya jijini Dar es Salaam inatakiwa kufanya uchaguzi mkuu kwa ajili ya kuweka madarakani viongozi wapya kwa mujibu wa katiba...

03Jun 2016
Nipashe

JESHI la Polisi Mkoa wa kipolisi wa Kinondoni, mkoani Dar es Salaam limesema kwamba limeandaa mpango maalum utakaotumika kutunza kumbukumbu za...

02Jun 2016
Nipashe

WAWEKEZAJI wa ndani wamepewa habari njema, kwamba chini ya Serikali ya Awamu ya Tano ya Rais Dk. John Magufuli watapewa upendeleo mkubwa kiasi...

01Jun 2016
Lete Raha

HATIMAYE kwa mara ya kwanza katika historia ya soka ya Tanzania, msimu ujao kutakuwa na Ligi Kuu ya wanawake.

01Jun 2016
Nipashe

KWA muda mrefu, imekuwa ikiibuka migongano baina ya baadhi ya Wabunge hususani wa Upinzani na Kiti cha Spika, wakati vikao vikiendelea.

Pages