MAONI YA MHARIRI »

01Jan 2018
Nipashe

KWANZA kabisa, Nipashe tuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuumaliza mwaka 2017 salama na kuuanza mwaka 2018, tukiwa...

31Dec 2017
Nipashe Jumapili

HATIMAYE serikali imekata mzizi wa fitina juu ya kilio cha muda mrefu cha matumizi ya fedha za kigeni, hususan dola ya Kimarekani, katika ununuzi...

30Dec 2017
Nipashe

MIKIKIMIKIKI ya ligi kuu Tanzania Bara imerejea tena ambapo jana ilianza raundi ya 12 baada ya kusimama kwa muda wa wiki tatu kupisha michuano ya...

29Dec 2017
Nipashe

BAADHI ya nchi jirani zimekuwa zikitajwa mara kwa mara kuwa raia wake wanaishi nchini kinyume cha sheria.

28Dec 2017
Nipashe

KUKATIKA ovyo kwa umeme kumekuwa kukilalamikiwa sana na wananchi mkoani Mtwara kwamba kunawakwamisha kufanya shughuli zao za maendeleo.

27Dec 2017
Nipashe

VITENDO vya upandishaji holela wa nauli za mabasi ya mikoani vimeendelea kusababisha kero, taabu na usumbufu mkubwa kwa abiria katika kipindi cha...

26Dec 2017
Nipashe

JUZI wakati wa ibada ya mkesha wa Krismasi na mahubiri ya jana ya maadhimisho ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo takribani miaka 2000...

25Dec 2017
Nipashe

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara na waliokuwa mabingwa watetezi wa Kombe la Shirikisho, Simba, juzi ilitolewa katika mbio zake za kutetea ubingwa...

24Dec 2017
Nipashe Jumapili

MKOA wa Kigoma juzi ulikumbwa na simanzi na majonzi kutokana na vifo vya watu wanne kutokana na boti ndogo ya MV Pasaka iliyokuwa imebeba...

23Dec 2017
Nipashe

TIMU ya Taifa Zanzibar juzi iliandaliwa hafla ya pongezi na Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya fainali na...

Pages