SAFU »

05May 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADHI wazazi nchini wanamiliki magari binafsi. Umuhimu wa chombo hicho ni kumuwezesha mmiliki kurahisisha usafiri kutoka eneo moja kwenda jingine.

04May 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI wa kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka jana Rais wa sasa John Magufuli alitoa ahadi nyingi kwa Watanzania.

03May 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MVUA zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini zimekuwa zinasababisha madhara makubwa maeneo mbalimbali.

03May 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

Nitazungumzia mambo kadhaa! La kwanza ni kuhusiana na mtalaa wenyewe!

03May 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

LUGHA ya Kiswahili ina maneno mengi tusiyoyajua ingawa yamefafanuliwa kwa ufasaha katika kamusi mbalimbali.
Tuchukue mfano wa neno ‘abiri.’ Ni neno lenye maana zaidi ya moja kutegemea...

02May 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

KUNA wakati nchi hii inashangaza sana, ndiyo maana wananchi wengi wamekuwa wakimuunga mkono rais John Pombe Magufuli katika harakati zake za kutumbua majipu.

02May 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WANASHERIA wana msemo usemao haki si tu itendeke, lakini ionekane imetendeka.

01May 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, wiki iliyopita katika uchambuzi wa mada yetu ‘Nini maana ya Ndoa’, tulipata tafsiri fupi kwamba ni muunganiko wa mwanaume na mwanamke kuishi pamoja kama mume na mke kwa muda wote...

01May 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

TIBA

Tulitaja baadhi ya dawa zinazotumiwa kukabiliana na tizo hili ni pamoja na kuondoa kinyesi kigumu kwenye utumbo mpana na kuanzisha uendaji wa haja kubwa ambao ni rahisi na usiokuwa na...

01May 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

MWEZI uliopita, serikali kupitia Bodi ya Sukari, ilitangaza bei elekezi ya sukari nchini ya Sh. 1,800 kwa kilo.

30Apr 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘SHINDANO’ - nomino li/ya (ma) ni tendo la kupimana uwezo katika jambo kama vile mchezo; makabiliano yenye lengo la kuwania jambo baina ya pande mbili au zaidi.

30Apr 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

BAADA ya kufichuliwa ukwepaji mkubwa wa njuluku kule Panama, nafanya mipango kwenda huko kuibua wafichaji wa Kibongo ambao wameponea chupuchupu kutotajwa japo wengi wengine bado wamo kwenye...

29Apr 2016
Lulu George
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MKOA wa Tanga umepata fursa ya kujengwa mradi wa bomba la mafuta kutoka Tanga hadi Uganda.Kimsingi hii ni fursa nyeti na adimu sana kuipata, kwani inalenga kuinua uchumi wa mkoa na Taifa kwa...

Pages