SAFU »

03May 2017
Jenifer Julius
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAMILIKI na watoa huduma ya pesa na wenye biashara mbalimbali jijini Dar es Salaam, hawana amani kutokana na uvamizi unaoendelea kufanywa na majambazi katika maduka yao.

02May 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MIAKA kadhaa iliyopita niliandika katika ukurasa huu kuhusu matangazo ya waganga wa kienyeji wakitangaza kuwa na dawa ya kumuongezea mwanafunzi akili za darasani.

02May 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

TAFITI mbalimbali zinaeleza juu ya umuhimu na faida ya elimu kwa mtoto, hivyo kwa jamii na taifa kwa ujumla wake.

02May 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

NIMEPATA mrejesho kutoka kwa wasomaji mbalimbali kuhusu makala niandikazo kusahihisha maneno yatumiwayo vibaya na waandishi au watu wazungumzavyo mitaani.

01May 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“MAANDAMANO” ni matembezi ya watu kwa lengo maalumu kama vile kuadhimisha au kushinikiza jambo.

30Apr 2017
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Hoja Binafsi

KWA tafsiri isiyokuwa rasmi neno mhuni limekuwa likitumika kumaanisha ni mtu yeyote anayefanya matendo ambayo siyo ya kistaarabu yasiyofurahisha mbele ya jamii.

30Apr 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

HALI ya masoko mengi nchini hairidhishi kutokana na kukithiri kwa uchafu na kuhatarisha afya za walaji na wafanyabiashara ndani ya maeneo hayo.

30Apr 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Uchambuzi

WATANZANIA milioni 12 huugua malaria kila mwaka, huku watoto wachanga na wale walio chini ya miaka mitano pamoja na wajawazito wakiwa waathiriwa wakubwa wa ugonjwa huu unaodhibitika.

29Apr 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HUU ni msimu wa pili wa mashindano ya Kombe la FA hapa nchini, yanafanyika chini ya utawala wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi.

29Apr 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

KARIBU katika kila uteuzi hukosi kusikia daktari fulani ameteuliwa kuwa dingi kuongoza ofisi ya umma.

28Apr 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mjadala

NIMEKUWA ni mmoja wa watu walio na mtazamo wa upande unaoikubali dhana ya maendeleo kuwa na maana pale kunapokuwa na maendeleo ya watu na siyo ya vitu.

28Apr 2017
Faraja Ezra
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SUALA la vipigo wanavyopigwa wanahabari hivi sasa limekuwa mwiba mkubwa kwao, wakihofu kandika taarifa kwa uhuru.

28Apr 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

UNAPOANZISHA biashara na kupata wateja, kazi kubwa inayofuata, huwa ni kuhakikisha wateja wako unaendelea kuwa nao.
Yaani wanaendelea kufanya biashara na wewe.

Pages