SAFU »

09May 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

MTU anayetaka kujifunza hapaswi kuogopa kuuliza asilolijua. Hii ni methali ya kuwanasihi watu wasione haya au ubaya kuuliza kama wanataka kujifunza. Kuuliza si ujinga.

08May 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2016/17 ukikaribia ukingoni, viongozi wa klabu na wachezaji wanaoshiriki ligi hiyo ya juu nchini wanatakiwa kuipitia kwa umakini mikataba waliyonayo ambayo...

08May 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Mjadala

MABINGWA wa soka Afrika Mashariki, Azam FC, ni moja ya klabu bora kwa ukanda huu-

07May 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

KUKUTANA na majani marefu yanayofikia urefu wa karibu mita moja katikati ya barabara jiji la Dar es Salaam ni hali ambayo anaonekana kuwa huenda litakuwa la kawaida.

07May 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

KUMEKUWAPO na malalamiko ya mara kwa mara ya udhalilishaji wa kijinsia kwenye usafiri wa umma hasa kwa wanawake, unaofanyika pale abiria wanapojazana kupindukia.

07May 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, April 9, mwaka huu nilijadili hapa mada iliyohusu ‘umaskini unavyotikisa familia zetu’. Nikaeleza pia roho ya madeni inavyochangia dhana hiyo. Leo hebu nichambue kidogo aina za...

06May 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

JAPO ni jambo la aibu, sina budi kulieleza. Mwenzenu nilipokuwa nikiwakoga na maulaji yangu kwenye ofisi ya umma, sikuwaambia ukweli.

06May 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAHENGA walisema “Ushikwapo shikamana .” Maana yake unaposhikwa na mtu shikamana au nawe jitahidi.

05May 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LUGHA ya Kiswahili ni moja kati ya zile zinzokua na kukubalika kwa kasi kubwa hata kuzungumzwa, kuandikwa na kufundishwa katika vyuo mbalimbali duniani.
 

05May 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mjadala

NIMEKUWA mmoja wa watu walio na mtazamo wa upande unaoikubali dhana ya maendeleo kuwa na maana pale inapohusisha maendeleo ya watu na siyo ya vitu.

04May 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HIVI karibuni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha TLP, Augustino Mrema, alikaririwa na vyombo vya habari akitishia kuvua nguo hadharani, iwapo mbunge wa Vunjo , James Mbatia hatatimiza ahadi ya kumpa...

04May 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mjadala

NIMEKUWA mmoja wa watu walio na mtazamo wa upande unaoikubali dhana ya maendeleo kuwa na maana pale inapohusisha maendeleo ya watu na siyo ya vitu.

03May 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mjadala

NIMEKUWA mmoja wa watu walio na mtazamo wa upande unaoikubali dhana ya maendeleo kuwa na maana pale inapohusisha maendeleo ya watu na siyo ya vitu.

Pages