SAFU »

16Sep 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Maisha Ndivyo Yalivyo

UKUBWA wa nchi ya Tanzania yenye watu milioni 40 na ushei twashindwaje kuwa na timu tatu bora za kandanda zitakazotuwakilisha kwenye michezo ya kimataifa?

16Sep 2017
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

IBARA ya 22 na 23 za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 inaeleza kuwa 'kila Mtanzania anayo haki ya kufanya kazi na kupata ujira.”

16Sep 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

LEO naandika kwa hasira na uchungu hakuna mfano.

15Sep 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Mjadala

HILI la usafiri wa Bodaboda sio la kulifumbia macho. Kwa namna uhalisia ulivyo, mamlaka zinazohusika na usalama barabarani zinapaswa kuchukua hatua za haraka za kisheria kukomesha ajali za...

15Sep 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza kushughulikia 'figisufigisu' zinazodaiwa kufanywa na wagombea wa nafasi mbalimbali ambao wanadaiwa kukiuka Katiba na Kanuni za Uchaguzi ndani ya chama hicho...

14Sep 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UZALISHAJI wenye tija katika kilimo nchini unahitajika sana kwa sasa hivi baada ya Serikali ya Awamu ya Tano kutoa kipaumbele katika Tanzania ya viwanda.

13Sep 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA jitihada za kujionyesha kuwa wewe ni bora kitaaluma mambo mengi ya udanganyifu hufanyika ikiwamo walimu na vifaa kuazimwa ili kuwavuta wazazi au wateja.

12Sep 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJAWAPO ya maeneo ambayo hutengwa na idara za mipango miji kwenye halmashauri nchini ni yale yaliyo maalum kwa ajili ya matumizi ya umma.

12Sep 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

SALAAM ALEIKUM Jamii. Hili ni tamko la maamkizi yenye dua watu wanapokutana. Salamu itolewayo wakati wowote wa siku na kwa watu wa marika yote na hujibiwa ‘aleikum salaam.’

12Sep 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

KWA mtazamo wa juu juu unaweza kudhani ni jambo la kawaida na wala halihitaji kuchukuliwa hatua zinazostahili, lakini ukweli unabaki ni mtindo huu kwa namna moja ama nyingine unachangia uchafuzi...

11Sep 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

NILISOMA kitabu kimoja cha riwaya zamani sana. Sikikumbuki jina, ila kilikuwa na kisa cha wakazi wa eneo moja Kigamboni kuogopa kupita au kukatisha kwenye nyumba moja isiyokaliwa na mtu yeyote....

11Sep 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KITENDO cha Shirikisho la soka Tanzania kupitia kwa bodi ya Ligi Kuu kuiruhusu Azam FC kuutumia uwanja wake wa Azam Complex kwa michezo inayozihusisha klabu za Simba na Yanga, kuna kitu cha...

10Sep 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, bado niko kwenye anga la mahusiano kwa vijana wetu. Wapo wanaolilia kuingia kwenye ndoa na wapo ambao tayari wameingia lakini wanatamani kutoka.

Pages