SAFU »

22Jun 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

HIVI karibuni taasisi ya TWAWEZA ilitoa matokeo ya utafiti wake katika ripoti iitwayo 'Matarajio na Matokeo, Vipaumbele, Utendaji na Siasa Nchini Tanzania', ukionyesha kiwango cha Rais Dk. John...

22Jun 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

USUGU wa foleni za magari katika jiji la Dar es Salaam si jambo geni. Watumiaji na wakazi wa jiji hilo ni shuhuda wa kile kinachoendelea siku hadi siku.
Kwamba, kama una safari ya haraka...

21Jun 2017
Jackson Kalindimya
Nipashe
Mjadala

KUNA kila dalili kuwa, kasi ya maisha kupanda kuanzia mwaka ujao wa fedha wakati utekelezaji wa bajeti ya serikali utakapoanza kwa ongezeko la Sh. 40 kwa kila lita ya mafuta.

21Jun 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MJADALA wa katiba mpya jana uliibuliwa upya katika hafla maalum ya kutoa matokeo ya Utafiti wa Matarajio na Matokeo ya Vipaumbele, Utendaji na Siasa nchini uliofanywa na Taasisi ya Twaweza-

20Jun 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Mjadala

MOJA ya habari zilizotikisa nchi hivi karibuni ni ripoti ya uchunguzi wa madini ya mchanga wenye madini (makinikia) iliyoundwa na rais, kuonyesha jinsi gani nchi inaibiwa madini yanayokadiriwa...

20Jun 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“HASARA humfika mwenye mabezo.” Mabezo ni dharau au mapuuza yanayotokana na kudharaudharau. Aghalabu hasara humpata mtu mwenye tabia ya kupuuzapuuza mashauri apewayo.

20Jun 2017
Faraja Ezra
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA kipindi kirefu tumekuwa tukitafuta   sababu hasa zinazochangia ongezeko la vifo vya akina mama wajawazito nchini katika baadhi ya maeneo hususani vijijini.

19Jun 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

USAJILI unaoendelea Bongo kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara unatia shaka. Si kwa sababu timu zinasajili wachezaji wabovu na wasio na uwezo, la hasha.

19Jun 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HOMA ya uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imezidi kupamba moto baada ya wadau mbalimbali kujitokeza kwa wingi kuchukua fomu kuwania uongozi wa Shirikisho hilo.

18Jun 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

HIVI karibuni Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ambao ndiyo mmiliki mwenye hisa kubwa wa kampuni ya Acacia Mining Limited. Profesa John Thornton, amejadiliana na Rais John Magufuli, namna ya...

18Jun 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

MAPEMA wiki hii Waziri anayesimamia Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora visiwani Zanzibar, wakati akizungumza na waandishi wa habari, aliona umuhimu wa kufanyiwa marekebisho kwa...

18Jun 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

KUNA umuhimu wa kuchukua hatua kabla ya matukio kutokea kwa lengo la kupunguza madhara mapema, badala ya kusubiri hadi maafa na athari ndipo hatua kuchukuliwa.

17Jun 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SINA utaalamu wa miti yenye mbao ngumu ila najua aina mbili za miti ya aina hiyo, yaani Mninga na Mpingo. Mbao zake hupendwa sana na mafundi seremala kwa ajili ya kutengenezea samani, milango na...

Pages