NIPASHE

Dkt Willbrod Slaa.

23Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ataapishwa baada ya utaratibu kukamilika. 
23Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalisemwa na Mtaribu wa Ukimwi wa Wilaya hiyo, Juliana Swai, alipokuwa akizungumza na Nipashe hivi karibuni juu ya maendeleo ya mapambano dhidi ya ugonjwa huo. “Wagonjwa ambao wanajijua na...
23Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa ya Wizara ya Maliasili na Utalii iliyotolewa jana ilisema Jenerali Milanzi alisema hayo wakati akifungua mkutano wa kimataifa wa kujadili mbinu za kupambana na ujangili. Mkutano huo...
23Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, kutungwa kwa sheria ya kuzuia ukatili majumbani na kufanyiwa marekebisho ya sheria kandamizi ikiwamo Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971. Wazo la kutaka kuanzishwa kwa mahakama hiyo lilitolewa na...

simba dume aliyefanyiwa upasuaji.

23Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali waliotembelea Mamlaka ya Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro, Dk. Atanas Mnyaki alisema simba huyo kwa sasa amehifadhiwa katika kitengo cha matibabu...

nyumba za lugumi.

23Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 23,2017 jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Yono, Scholastika Kevela amesema wamejipanga na kujizatiti kuhakikisha hakuna mtu...
23Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkuu wa Wilaya hiyo, Claudia Kitta, alipiga marufuku hiyo juzi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Kanjunjumele, uliofanyika kwa ajili ya kupokea msaada wa mifuko 100 ya saruji...
23Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Madaktari hao watafiti wanasema kuwa, hata wanaotibiwa, kuna baadhi ya mazingira ya maradhi hayo yakawarejea baada ya muda. Watafiti wamebaini kwamba kuna uwezekano aliyetibiwa kansa ya titi,...
23Nov 2017
Nipashe
Wapo waliofanya kazi hiyo kwa zaidi ya miaka 10 na kugeuza shughuli yao ya kujiingizia kipato, huku katika sura ya pili ikiwa na athari kubwa kwa afya ya wahusika. Serikali imekuwa ikipambana kwa...
23Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ni utafiti uliofanywa kwa kuhusisha jumla ya raia milioni 3.4 wa Sweden, ambao wana umri kati ya miaka 40 na 80. Sababu kuu ya kitaalam inaeleza kuwapo uhusiano huo ni kwamba, kila mtu anapokuwa...

KIPIMO CHA UGONJWA WA KISUKARI.

23Nov 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Waziri aeleza namna inavyojikwamua
Wakati sehemu kubwa ya jamii duniani inataabika na ugonjwa huo, hata kufikia hatua ya kuwa jambo zito la kidunia, wadau waandamizi wakakaa na kuanzisha Siku ya Sukari Duniani kila mwaka na kwa mwaka...
23Nov 2017
Mary Mosha
Nipashe
Aidha, Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), imedaiwa kukosa mifumo rafiki katika utozaji wa kodi kwa wasindikaji hayo jambo linalowawia vigumu kupanua wigo wa usindikaji wa bidhaa hiyo. Mchungaji...
23Nov 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Akizungumza jana alipotembelea mradi wa shamba la zabibu la Chinangali II wilayani hapa, Dk. Mahenge alisema, zao hilo ni dhahabu ya kijani na taarifa zinaonyesha heka moja ambayo imefuata taratibu...
23Nov 2017
John Ngunge
Nipashe
Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani, alitoa agizo hilo baada ya kutembelea kiwanda hicho na kupata maelezo ya utengenezaji na ukarabati wa transfoma. Kiwanda cha Tanelec kina uwezo wa kuzalisha...

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage.

23Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza jana na wasimamizi wa uchaguzi katika Manispaa ya Moshi, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage, alisema vyombo vya ulinzi vinapaswa kutotisha wananchi hadi kushindwa kufika katika...

Dilipkumar Patel.

23Nov 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Hukumu hiyo ilisomwa na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Mfawidhi, Cyprian Mkeha baada ya kupitia ushahidi wa mashahidi wanne wa Jamhuri. "Bila kuacha shaka mahakama hii imekubaliana na ushahidi wa...

askari Polisi akichukua rushwa kwa dereva wa gari alilolikamata.

23Nov 2017
Idda Mushi
Nipashe
IGP Sirro alisema chama hicho kinachotoa huduma kwa askari na wafanyakazi raia wa jeshi hilo, hali iliyofanya wengi wao kutumia fursa ya mikopo kufanya maendeleo yao wenyewe. IGP Simon Sirro,...

ALIYEKUWA Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila akipokea tuzo baada ya kuibua sakata la tegeta Escrow.

23Nov 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Akizungumza na Nipashe kwa njia ya simu, akiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam, Kafulila alisema kwa kipindi kirefu amekuwa Mbunge pekee aliyesimamia ajenda ya ufisadi katika Bunge la Tanzania...

Edward Lowassa.

23Nov 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Kauli hiyo ya Lowassa imekuja siku moja baada ya wanasiasa kadhaa, akiwamo aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi, Lawrence Masha, kutangaza kurejea CCM. Hata hivyo, Lowassa amesema bado ana...

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Anna Mghwira.

23Nov 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa ACT, Samson Mwigamba, mshauri wa zamani wa chama hicho, Prof. Kitila Mkumbo, Katibu wa Programu ya Kitaifa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu, Edna Sunga na wakili wa...

Pages